usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania baadhi ya makombora ya masafa marefu ya Iran yametua Israel muda huu, Israel yajiandaa kufanya shambulio zito zaidi usiku wa manane

    Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga. Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Usiku wa Ngugi Dar es Salaam

    https://www.youtube.com/watch?v=kAmm4ucvBDM
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuna makanisa mengine atulali usiku kwa kuomba

    Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano Mtuonee huruma tunapishana kwenye Imani
  4. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Ukraine inapokea kipondo cha karne muda huu, Tangia jana usiku, wanajuta kilicho watuma kuishambulia Russia

    Kama tujuavyo last weekend Ukraine ilifanya mashambulizi ya kimkakati katika AirBases za Russia na kufanikiwa kuharibu baadhi Ndege vita (Bombers) zake. Kwanzia jana Usiku Russia imelipiza kisasi hicho kwa kisago cha mwana ukome ambacho Ukraine ilikua haijawai kupata kamwe, Hili ni fundisho kwa...
  5. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Kuwa Mjanja Maishani, Haya Ndio Mambo 14 Ambayo Watulivu Huwaza Usiku na Kuyafanyia Kazi Wakiamka

    Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.” Katika makala hii...
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania Usimwangalie kwa muda mrefu – la sivyo, atakuja usiku ukiwa umelala

    "USIANGALIE MACHO YAKE – ITAKUFUATA USIKU!" Mtu huyu si wa kawaida. Uso wake umeharibika kwa kuungua na kuoza, macho yake meupe yamevimba kana kwamba yanatazama roho yako moja kwa moja. Kinywa chake wazi kimejaa meno yaliyooza, kama ana kila sababu ya kupiga kelele ya mauti. Nywele zake ndefu...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Usiku wa Ngugi wa Thiong'o Mjini Dar es Salaam

    USIKU WA NGUGI WA THIONG'O ALLIANCE FRANCAISE Leo wachapaji vitabu mashuhuri Mkuki na Nyota walimwadhimisha nguli wa manguli katika fasihi ya Afrika Ngugi wa Thiong'o katika Ukumbi wa Alliace Francaise. Kulikuwa na mjadala uliowashirikisha Prof. Penina Mlama, Mkuki Bgoya na Mohamed Said...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Askofu Gwajima yupo mafichoni, mteja wangu hajakamatwa

    Kanisa hilo mpaka sasa limezungushiwa utepe wa njano wenye maandishi meusi, likiwa chini ya ulinzi wa polisi na hakuna muumini anayeruhusiwa kusogea, tangu alfajiri ya kuamkia Juni 3, 2025. Juni 2, 2025, Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo kutokana na...
  9. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Hivi ipo siku Tanzania tutatembea Usiku wa manane bila shida?

    Habari wakuu hivi ipo siku Tanzania na viunga vyake tutatembea usiku wa manane iwe kwa shida au raha bila kukutana na vibaka/tatu mzuka?
  10. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Mkilala usiku huwa mnasali?

    Hivi utaratibu wa kulala usiku umebadilika au ni kama miaka ya 1990-2009 maana siku hizi wadau wanazima moto tu shwaaah tukutane kwenye kahawa kumsema SAMIA. hebu niambie huwa unasali???
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Saaa sita na robo KOMBE limeelekea na ndege MOROCO tuwatakie vijana usiku mwema na safari njema kwa KAZI nzuri pls.....

    Habari za uhakika Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege KWA KAZI nzuri waliyofanya Naomba...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Chakula maalumu cha usiku kwa ajili matajiri wanunuzi wa Cryptocurrency ya Trump chalalamikiwa kuwa duni.

    Juzi Rais wa Marekani DJT alifanya hafla katika club yake ya golf na kuwaandalia chakula cha usiku matajiri zaidi ya 200 waliowekeza zaidi ya $milioni moja kwa kichwa katika Crypto currency yake ya memecoin. Hata hivyo chakula hicho kimelalamikiwa kwamba kilikuwa duni sana ukilinganisha na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Njiwa kukaa juu ya bati usiku kuna maana gani

    Habari zenu wanajukwaa, leo usiku hapa nyumbani kuna njiwa ametua juu ya bati na amekaa kwa muda mrefu almost masaa mawili sasa ningependa kujua hii ina maana gani, Natanguliza shukrani🙏🏽
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Eti wimbo Oscar Oscar 'Mniombee' upigwe saa Sita Usiku na ushasambaa

    Katibu Mtendaji Wa Baraza La Sanaa Taifa Kedmon Mapana amesema wimbo wa Mtangazaji Oscar Oscar Jr hautaruhusiwa kupigwa sehemu za wazi, utapigwa kuanzia saa sita usiku na utasikilizwa na watu wazima pekee. Mapana ameyazungumza hayo baada ya kumuita Oscar Oscar BASATA kujadili mustakabali wa...
  15. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Matokeo niliyoyaona jana usiku Simba SC 🆚 Rs Berkane

    Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco. Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira...
  16. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Usiku wa leo kuna members watakuwa bize kugombania kuanzisha uzi wa Berkane Vs Simba, hii nayo ni tatizo la afya ya akili

    Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi? Maana hata uchambuzi wa mechi mara nyingi huanza lisaa limoja kabla ya mechi. Fun enough...
  17. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Tuambie kwanini huwa unazima simu usiku?

    Habari machalii… Leo nazungumza na jamaa zangu mnaozima simu ikifika usiku. Kwanini unapenda kuzima simu ikifika usiku? Ikitokea dharura watu wakitaka kukujulisha usiku huo watakupataje? Haya tuambie kwanini unapendelea kuzima simu?
  18. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mwenye kitabu Cha Dar es salaam usiku cha Ben R. Mtobwa anisaidie

    Niko chini ya miguu ya atakeyenisaidia hicho kitabu tajwa hapo juu🙏. Cc Mshana Jr
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kelele zinazosikika usiku huu Kinondoni

    HEshima yenu wakuu. Kuna kelele zinazosikika usiku huu karibu kinondoni nzima kuanzia makaburini mpaka kinondoni hananasifu mpaka kinondoni manyanya yote.. Kelele hizi zinatokea kwenye msikiti.zilianza mapema saa tatu usiku na mpaka usiku huu mnene bado zinaendelea na kwakweli huwezi...
  20. Setfree

    JamiiForums Tanzania Usiku wa leo wanaitaka roho yako!

    Usiku wa leo wanaitaka roho yako! Leo usiku roho yako itachukuliwa! Leo usiku maisha yako yatafikia mwisho, utaondoka duniani... Usishtuke wala usiogope; sio wewe! Maneno hayo aliambiwa mtu fulani tajiri. Shamba lake lilizaa sana. Akawaza moyoni mwake, ‘Nifanye nini? Sina mahali pa kuhifadhi...
Back
Top Bottom