"AN/PSQ-42 Enhanced Night Vision Binocular (ENVG-B) ni kifaa cha kuona usiku cha kizazi cha tatu (kisichotoa mwanga) kilichoandaliwa kwa ajili ya Jeshi la Marekani. ENVG-B mpya na FWS-Is zinawaruhusu askari kufanya uchunguzi wakati wa operesheni za mchana na usiku, pamoja na uwezo wa kuona...
Naona kuna raia wanasema umpeleke kituo cha polisi Ili sheria ifanyike Sasa najiuliza Hawa wezi wanavyotuvamia unakuta wanatuua na pesa zetu wanabeba inamaana wao ni wanahaki ya kuua na kuiba pesa ya mtu naombeni maoni yenu wakuu maana wezi wameshatuulia ndugu zetu wezi wanatia watu umasikini...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema wanaomsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu.
Mpina ametoa kauli hiyo wakati akiwa ziarani jimboni humo ambapo amebaini ubadhirifu wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule...
Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,
Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7
Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga
Wametupa bia Nazo...
Habari wadau kuna tabia imezuka hapa jijini Dodoma inapofika usiku polisi wanapaki gari kwenye barabara za mtaani wanaanza kukamata bodaboda na kuwachukulia ……. Inafikia hatua tunakosa huduma za usafiri wa bodaboda kufika nyumbani kwa watu kuwakamata na kuwachulia ….INAKERA SANA TANZANIA BILA YA...
Kwa Hizi figisu kuna kila dalili Mshindi wa uenyekiti atatangazwa usiku wa manane ili kupunguza vurugu. Natanguliza salamu za Pongezi kwa Mwenyekiti FAM kwa ushindi mnono wa kura
Jana bana baada ya kazi kumbe nilipita bar flani kusuuza koo.nikapiga konyagi kubwa ile nikazima,sasa muda umeenda wahudumu wakaniamsha kuwa wanataka kufunga niondoke,me kwa utani nikawaambia niitieni police wanisindikize nyumbani,bahati nzuri kuna gari la doria la police likapita...
Jana usiku nilikua na drive nje ya mji...nikaona dot 2 zinawaka kwa mbele, hatimaye nikagundua ni fisi amechill pembeni ya barabara... TAPETUM LUCIDUM ni layer yenye asili ya mng'ao iliyopo nyuma ya retina katika jicho la kiumbe hai. Sio viumbe wote wanayo, hii wamepewa viumbe baadhi ambao wapo...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Jinsia ni Me
Mkoa : Dar es salaam.
Kazi : yeyote iwe ya kutumia nguvu au akili Niko tayari
Mawasiliano kwa sababu za kiusalama nisingependa kuweka hapa ila kwa pm tunaweza kuwasiliana zaidi
Nimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe
Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama
Niliteseka sana,nililia
Niliumwa tumbo sijawahi kuumwa maisha,nilisema asubuhi sifiki
NImeenda kwenye vipimo naambiwa UTI...
Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku.
Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
Huu haukuwa usiku wa kawaida.
Katikati ya jiji la Maputo, siku ya Ijumaa ya Oktoba 18 , majira ya usiku unaokaribiana kuwa Jumamosi, kulikuwa na kikao kisichokuwa rasmi katika baa moja jijini humo.
Kikao hicho kilihudhuriwa na watu wanne ila watu watatu ndo' walikuwa wanafahamika;
Mmoja ni...
Usiku una mambo mengi mno
Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu.
Kwangu mimi hizi kazi za usiku zimekua too much mpaka nasema hivi ni.lini takua na mpenzi ambaye anaelewa...
Polen najua nawachukulia mda WENU kufurahia MWAKA mpya
Kumekuwa na ajali za ajabu sana MWAKA mpya ambapo
Kama kungekuwa na upimaji wa vilevi huko njian walipotokea
Tungeeweza kuthibiti vifoo kadhaaa
TUNAOMBA leoo tukeshe wote kulinda uhai wetu
Dec imekula sana JAMAN kupitilixa
Mpaka...
WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU MIRADI YA BRT, AAGIZA IKAMILIKE KABLA YA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA.
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa...
Habari,
Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali inayowaumiza abiria hao
Tafadhali mamlaka ziangalie hili
Anonymous
Thread
changamoto
changamoto ya usafiri
daladala
nyakati
usafiri
usiku
nimekunywa pombe Jana usiku hadi muda huu. nimelewa
can some one help??
I have tried drinking alot of water. I took soup in the morning. I still feel drunk.
Ndugu zangu kwenye jambo lolote unalofanya hutafanikiwa bila kuomba ndugu zangu.
Fanya hilo jambo unalofanya lakini omba sana.
Kila unaye mwona amefanikiwa katika jambo fulani anaomba sio kuombewa kuomba mwenyewe.
Na mkiristo anaye omba yeye kama yeye kuombea jambo lake ndio anafanikiwa...
Tumepita sasa hivi hapo, Basi la Asante Rabbi linalofanya safari zake Arusha Mwanza, limegonga Canter baada ya dereva wa basi hilo kujaribu ku-overtake.
Mtu mmoja mwanaume amelala chini pembezoni mwa ajali huku akiwa hajitambui.
Maafisa wa jeshi la polisi wamefika eneo la tukio.
Taarifa zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.