Mapendo Daima.
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa na umri wa miaka 10 Famili yetu ilipatwa na tukio kubwa lenye kuacha historia kubwa sana. Tukio la kinyama ambalo daima tulikuwa tuna sikia tu kwa wengine.
Majira ya saa12 jioni jua likielekea kuzama nikiwa mimi na wadogo zangu wa3 tukirudisha...
Hii sio hadithi bali ni simulizi yangu iliyobeba uhalisia wa yale niliyopitia nikiwa JF.. Mimi ni introvert.. Hivyo si mwepesi sana kusimulia maisha binafsi kama walivyo extrovert
Nilijifunza mambo ya kiroho pamoja na uchawi darasani na nje ya darasa na kutunukiwa madaraja niliyostahili kwa...
Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali.
Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje?
Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya...
Naam mkutano na wajukuu zangu pamoja na mama zao(wakwe zangu na binti zangu),,,,
Hii ni baada ya kuzunguka na kuielewa hii dunia,hivyo sitaki mateso niliyopitia mimi pamoja na wanangu yafike kwa wajukuu zangu....
Kitu kikubwa nilichofanyia utafiti ni kutambua na kuelewa nguvu kuu katika...
Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji.
Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa...
Habari ndugu na dada zangu.
Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika kibao kisha nalala .Kuamka saa moja asubuhi.Aisee!
Basi wiki hii nineshtukia afya yangu haiko...
MIAKA 500 ZA UDANGANYIFU
Miongo Mitano ya Udanganyifu: Mabadiliko ya Ramani na Biblia Kama Silaha ya Wokovu
Katika historia ya wanadamu, kuna matukio mengi ambayo yameathiri kwa kiasi kikubwa jinsi tunavyojua dunia na sisi wenyewe. Moja ya matukio hayo ni mabadiliko ya ramani na majina ya...
Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌
Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo...
Jana nilikuwa safarini kuja Dar na bahati mbaya mwenyeji wangu niliyekusudia kunipokea simu yake haikupatikana
Kwa kuwa mimi siyo mwenyeji saaana,kupitia hapa jf niliomba kupata msaada wa mtu kujitokeza anipokee maana ningefika usiku sana
Hata hivyo nashukuru sana kwa wenyeji kujitokeza kwenye...
SIsi wadau wa maendeleo wa biharamulo tumekubaliana kwa kauli moja kuwa mbunge wetu Eng Ezra John Chiwelesa lazima tumpe tuzo kwa kazi kubwa aliyoifanya jimboni 2020-2025.
Maendeleo yaliyopatikana hatukuwahi kufikiria ,uwepo wa maji ,vituo vya afya, ujenzi wa shule ,barabara za lami za...
Mithali 5:3 Maana midomo ya malaya hufondoxa asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta
Mithali 5:4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili
Mithali 5:5 Miguu yake inatelemkia mauti, hatua zake zinashikamana na kuzimu
Mithali 5:8 Itenge njia yako...
Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga.
Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano
Mtuonee huruma tunapishana kwenye Imani
Kama tujuavyo last weekend Ukraine ilifanya mashambulizi ya kimkakati katika AirBases za Russia na kufanikiwa kuharibu baadhi Ndege vita (Bombers) zake.
Kwanzia jana Usiku Russia imelipiza kisasi hicho kwa kisago cha mwana ukome ambacho Ukraine ilikua haijawai kupata kamwe, Hili ni fundisho kwa...
Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.”
Katika makala hii...
falsafa za maisha
fikra za kijanja
fikra za kufungua akili
great thinkers
haya
hekima
kazi
mabadiliko
mafanikio
maisha
maisha halisi
maishani
mambo
mawazo mpya
mwanga wa maisha
mwanzo mpya
self awareness
siri za mafanikio
ukitaka
ukweli mgumu
usikate tamaa
usiku
"USIANGALIE MACHO YAKE – ITAKUFUATA USIKU!"
Mtu huyu si wa kawaida. Uso wake umeharibika kwa kuungua na kuoza, macho yake meupe yamevimba kana kwamba yanatazama roho yako moja kwa moja. Kinywa chake wazi kimejaa meno yaliyooza, kama ana kila sababu ya kupiga kelele ya mauti. Nywele zake ndefu...
USIKU WA NGUGI WA THIONG'O ALLIANCE FRANCAISE
Leo wachapaji vitabu mashuhuri Mkuki na Nyota walimwadhimisha nguli wa manguli katika fasihi ya Afrika Ngugi wa Thiong'o katika Ukumbi wa Alliace Francaise.
Kulikuwa na mjadala uliowashirikisha Prof. Penina Mlama, Mkuki Bgoya na Mohamed Said...
Kanisa hilo mpaka sasa limezungushiwa utepe wa njano wenye maandishi meusi, likiwa chini ya ulinzi wa polisi na hakuna muumini anayeruhusiwa kusogea, tangu alfajiri ya kuamkia Juni 3, 2025.
Juni 2, 2025, Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.