Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,675
- 37,852
Nikiwa natoka Kimara usiku huu kwenye bus
Kaka mmoja kapendeza mtanashati kansalimia nkamjibu
akaeema naona unarejea nkamjibu ndio
He naomba sh 5000. Nkamwambia na 2000 nikupe hapana naomba alf 5..nkajibu sina
Muda si mrefu akaja konda akaulizia naulii
Nikaona mwamba anatoa 10000 kumpa konda ..nikamwambia amrudishie nitamlipa akagoma kabisa no thx you
Nawaza why amegoma bk 2 yangu
Nawaza kumbe ana kumi ndani
Nawaza why amekataa nauli ku l ipiwa kama mhuhitaji loh...dunia ima mambo