usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania Watano wafariki kwa ajali Bunju B usiku wa Jumamosi 26 Machi, 2022. Walikuwa wakitokea kwenye starehe

    Watano Wafariki kwa ajali Bunju B Usiku wa Jmosi wakitokea Juliana Pub wakaja kumalizia huku njia ya Moga kuna baa inaitwa Lava Lounge. Wakanywa tena hadi saa 10 wahudumu Waliwasihi sana walivyolewa hivyo wkalale logde ya huko huko msiendeshe lakini hawakuwasikiliza, Wakaondoka, ndio wakati...
  2. nyboma

    JamiiForums Tanzania Ni uzembe sana kwa mwanamme kulipia room (hoteli) usiku wa saa nane kisha uka CASHOUT asubuhi ya saa mbili

    Ni uzembe wa hali ya juu sana kwa mwanamme kumtamani mwanamke katika maeneo ya starehe, unamnunulia vinywaji, unaondoka nae lets say saa nane usiku unampeleka katika hoteli unalipia gharama zote halafu ikifika saa mbili ama tatu una CASH OUT. Huu ni ujinga na uzembe wa hali ya juu, kwangu...
  3. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Mtakie usiku mwema umpendaye

    Nawatakieni usiku mwema 1: mnaoanzishaga thread nzuri zinazochukua mda wangu kukuza maarifa binafsi 2: aliyeanzisha grupu la kujifunza kupika iliniokoa siku moja geto na kuonekana mwamba wa mapishi 3: Rick boy Sina la kuongezea wewe ota tu umepewa uteuzi wizara ya mapenzi Na wengine wooote...
  4. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Kufariki kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne Thaqaafa Sec Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 20/03/2022, uzembe wa shule hii umulikwe

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza. Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukohoa usiku

    Habari wakuu naomba kutanguliza shukrani kwa wote watakao changia uzi huu na kutoa msaada. Nina changamoto ya kukohoa wakati wa usiku ninapoanza kulala tatizo hili lilianza mwaka jana kama mwezi wa 11 hivi lakini lilikuwa linanitokea kwa baadhi ya siku ila kwa sasa linatokea kila siku. Tatizo...
  6. Ngareroo

    JamiiForums Tanzania Nikija kuoa sitompiga Mke wangu usiku

    Habari za muda hii wadau wa MMU.!?I hope mko poa.. Kwa kisa nilichokishuhudia siku ya sikukuu ya mwaka mpya mwaka huu nikasema sitokuja kumpiga mke wangu nikifanikiwa kuoa. Ni kama mida ya saa8 usiku nipo road natoka Club kwa miguu mdomdo maeneo ya Kwa Mrombo uku Chuga. Njia nzima Niko alone...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Freeman Mbowe alienda Ikulu Usiku?

    Huwa naikumbuka sana picha ya Rais Samora Machel aliyopiga na P W Botha ,Wazir Mkuu wa Africa Kusini,tarehe 13 March 1984. Wakati huo nilikuwa darasa la Tatu.Baba alikuwa akienda mjini anarudi na Gazeti la Mfanyakazi hata kama ni la wiki tatu! Picha ile inamionesha Rais Samora akisaini...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TANROADS Mkoa wa Kilimanjaro ifuatilie malori yanayobeba soda kutoka kiwanda cha Bonite Bottlers kwenda Arusha usiku, yanazidisha uzito

    Somo limeeleweka. Tanroads fuatilieni malori ya kutoka kiwanda cha soda cha bonite bottlers Moshi , yanayochukua soda kiwandani hapo kupeleka Arusha wanaharibu barabara kwa kuzidisha uzito na Hakuna mizani ya kuyapima malori hayo Kati ya barabara ya Moshi kwenda arusha. Cha kushangaza na...
  9. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo kuhisi kiu usiku ni tatizo?

    Wakuu Salaam Kwenu nyote Nina mtoto ana Miaka miwili na miezi kama minne siku za karibuni amekuwa na tatizo ambalo sijalielewa, Anakuwa na kiu sana usiku hasa majira ya saa tisa hadi 11 lazima aamke adai Mma(Maji) sijui hii itakuwa ni tatizo ama ni jambo la kawaida? Naomba mwenye ufahamu...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi; Watanzania wengi hujisaidia haja ndogo kwenye makopo usiku

    kwema Wakuu! Tuachane na mambo ya Ukraine na Urusi. Leo sitaki kupotezea muda watu. Moja ya mambo yaliyonishangaza tangu nilipotoka nyumbani miaka 10 iliyopita ni kuona wakazi wengi kuwa na tabia ya kukojolea kwenye makopo au ndoo nyakati za usiku. Hivi inakuwaje mtu alale na Mikojo wakati...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro marathon ni kesho, kinachoendelea Huko Moshi ni ulevi na ngono usiku huu kesho zawadi zote zinaelekea Kenya

    Watanzania huko Moshi Kilimanjaro Kesho ni washerekeaji tu wa Kilimanjaro marathon . Hawana uwezo wa kupata zawadi Hata moja. Wakenya ninasikia wamekuja wengi wamelala tayari kuanza bio Kesho na kuondoka na zawadi zote. Wabongo ni ulevi usiku kucha na ngono Yakima asubuhi Hakuna cha...
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

    Rais Vladimir Putin akitia saini amri (the Decree) kutambua majimbo ya Donestk na Luhansk kuwa majimbo huru. Picha na Reuters. Rais wa Russia Vladimir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza majimbo ya Donetsk na Luhansk kama majimbo huru. Majimbo haya mawili yaliyo upande wa Mashariki mwa...
  13. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya ziendelee kufanya tathimini juu ya utoaji wa vibali vya mabasi ya abiria kusafiri usiku. Majaliwa alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda katika kipindi cha...
  14. mshale21

    JamiiForums Tanzania Amtimua mke wake usiku wa kuamkia leo huku akimsindikiza kwa kipigo na matusi

    Wakuu hizi ndoa hizi zina mambo! Iko hivi, Jana mida ya saa nne usiku , nilingia gheto toka kwenye harakat za mapamabano ya maisha , nikapumzika kwanza kwa sebule nikipiga stori na mwandani wangu kwa phone ( maana hause niliyopanga ina sebule ambapo huwa tunakaa kubadilishana mawazo na kila mtu...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yavunja mabanda ya wafanyabiashara stendi ya Kawe usiku

    Serikali imevunja vibanda vya wafanyabiashara wadogo waliokuwa wanafanya biashara hizo katika stendi ya Kawe. Hali ya kushangaza mabanda hayo yamevunjwa usiku na kwa sasa polisi wanaranda kuona kama kuna ghasia yoyote kutokana na tukio hilo Japo kuna raia walioathiriwa na tukio hilo kwa vitu...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, wanaanga waliopo kwenye kituo cha anga cha kimataifa, International Space Station wanapata usiku na mchana?

    Mimi nauliza kwenye kituo cha anga huko juu na wao pia wana usiku na mchana na wanatumia saa kama huku duniani? Maana wanakua wametoka kwenye mfumo wa dunia wa kuzunguruka kupata usiku na mchana. Nasubiri maarifa yenu wana jamvi kuu, JamiiForums, kisima cha maarifa
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Umeme unakatwa saa sita usiku, hadi saa 12 jioni

    Hamna mbinu zozote za kupunguza makali ya mgao wa umeme. Umeme umekuwa ukikatwa saa sita usiku na kuwashwa saa 12 jioni. January Makamba na naibu wake wamelidanganya bunge, waliahidi kuchepusha gesi asili kutoka kwenye njia ya mwekezaji na kuingiza kwenye njia ya TPDC, lakini hadi sasa maumivu...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kinondoni yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

    TANESCO imetoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme kwa Wilaya mbalimbali. PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
  19. Counterbook

    JamiiForums Tanzania Unapiga 'gym' na usiku unakojoa kwenye kopo kitaalamu hii tunaitaje?

    Salama, upo au ndio ivo tena umeme huu bora kibatari. Sasa ni hivi kama ilivyo nadra kwa kanali kuogopa kinyonga, una kitambi unaogopa mende, una Nissan Murano, range halafu umepanga kirahisi tu hakuna usawa hapa kama si mizimu basi bombonya fulani by default. Kijana gym sana, kifua kikubwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Barabara za Jiji la Mwanza zakosa huduma za taa za usiku

    Nimepata bahati ya kuingia katika Jiji la Mwanza usiku wa Jana kiukweli mji ni mzuri Sana Cha kunishangaza nimepokelewa na Giza Totoro Sasa najiuliza hivi mamlaka husika hazioni hili tatizo? Nimeongea na wenyeji wangu wadai wamezoea Giza maana Kama taa zote zinatumia mfumo wa umeme jua kwanini...
Back
Top Bottom