usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Mandonga atoroka Songea usiku wa manane, inadaiwa kadandia roli la sementi, tumuombee afike salama mtu kazi

    Inasemekana baada ya pambano hakurudi hata hotelini; ameondoka usiku mnene bila kuaga. Anasema uchawi umehusika alikuwa anaona mishale tu badala ya ngumi ndiyo maana kapigwa. Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe.
  2. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Magari ya taka yavute vyoo usiku na sio mchana

    Wadau hii imekuwa kero, mtu umekaa mahali unapata chakula unasikia harufu mbaya na kuanza kuhisi kuna mtu amepumua. Baadaye unagundua ni gari linavuta choo kwa jirani. Kwanini magari haya yasiwekewe utaratibu yawe yanavuta usiku, nasema usiku kwa sababu kunakuwa na idadi kubwa ya watu...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa mwanadamu, mimea hulala usiku?

    Hapo chini ni picha za mmea uitwao muhaladari, wengine wanaita mdodoma. Kisayansi unaitwa panama berry tree. Picha ya kwanza imepigwa wakati wa usiku na nyingine wakati wa asubuhi. Kinachoonekana ni kwamba wakati wa usiku majani husinyaa na kufumba kabisa (kulala). Ikifika asubuhi tu unaanza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wizi unaofanywa usiku Dar kwa kukata nyavu za madirisha

    Wadau ukipita sehemu nyingi Dar es salaam yani kwenye mitaa na makazi ya watu unakuta madirisha mengi ambapo nyavu au wavu ukiwa umechanwa ukionesha kuwa kuna wizi ulishawahi tokea Wezi hao hutumia usiku wa manane kuwa ni nyakati ambazo wananchi wengi wamekuwa wamelala, hutumia dawa kama spray...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sijaoa bado. Nimekuwa mtu wa papa sana. Asubuhi Pono usiku sikosi Changu. Naombeni Msaada

    Haya maisha kama ukiwa umezoea sana jambo. unaweza teseka sana. Mimi nimechelewa sana kuanza kutumia papa.siku nimeonja tu nikapenda sana... Nikajikuta nitafuata papa popote pale nile. Natamani nioe ili niwe napata papa wakati wote. Sisi wa kanda ya Ziwa wengi tukija Dar basi ndo unakuwa ulevi...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000? Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

    Mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho amefanikiwa kushinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Tuzo za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Julai 21, 2022. Tuzo hizo zimetolewa Rabat Nchini Morocco ambapo Sakho alikuwa akiwania nafasi hiyo dhidi ya Gabadinho Mhango wa Orlando Pirates na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania "Mwezi mkubwa zaidi" wa 2022 waonekana angani usiku

    Julai 13, saa 11 na dakika 6 jioni, Mwezi ulikuwa karibu zaidi na sayari ya Dunia.
  9. luangalila

    JamiiForums Tanzania Nyie Utopolo mbwembwe nyingiii ila mtaanzia hatua za mwanzo huko

    Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ... Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Ukitegesha alarm usiku lazima uamke muda mfupi kabla ya alarm kulia

    Hili nimelifanyia utafiti muda mrefu sana toka niko shule Kila nikitegesha alarm lazima nitashtuka usingizini kabla ya alarm haijaniamsha Utakuta nimeset alarm ilie saa 10 kamili usiku lakini cha ajabu kwenye saa 10 kasorobo ama saa tisa na dakika 55 nakuwa nimeshtuka kutoka usingizini
  11. aise

    JamiiForums Tanzania Hivi watu mnaokesha au mnaolala usiku wa manane mnapata faida gani?

    Leo nimekaa na washkaji tunatia stori za hapa na pale mara ikaingia stori ya kulala mapema. Kwa kweli mimi ni mtu wa kulala mapema sana, kwa kawaida saa mbili mimi tayari niko home nimetulia. Saa tatu ikifika na siko home ujue nimetingwa na jambo fulani lenye ulazima sana. Sasa washkaji...
  12. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tecno yazindua simu mpya ya Camon 19, yenye kupiga picha kali hasa usiku

    Dar es Salaam, Tanzania, 06 Julai, 2022- TECNO Mobile Tanzania, chapa ya simu za kisasa na bora duniani ambayo imekuwa ikitoa teknolojia ya kisasa zaidi kwa watumiaji, leo imetangaza uzinduzi wa toleo lake la CAMON 19 kwa kushirikiana na Vodacom. Toleo la CAMON 19 limekuja ili kukabiliana na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nilivyokutana na Msukuma kwenye msitu wa Malangamilo

    NILIVYO KUTANA NA MSUKUMA KWENYE MSITU WA MALANGAMILO ILIKUWA JUZI TU yaani usiku wa kuamkia Jana Kabla ya hakujakucha.... Hakuja pambauzika, usiku wa siku hiyo, niliomba Dua kwa sir God aniamshe mapema sana kwani ratiba yangu Ilikuwa tight... Kweli bwana Mungu yupo wazeee, na anajibu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mdundo wa juu wa "Dawazi" waboresha maisha ya usiku ya raia

    Tarehe 21 Juni, Saipura Jumaikare mwenye umri wa miaka 19 alishikilia nguzo ndefu na kutembea kwenye kamba ya waya iliyojengwa kati ya majengo katika mtaa wa chakula wa Grand Bazaar huko Urumqi, China.
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Simba kuwasili usiku huu

    Kuna taarifa zimenifikia kuwa kocha mpya wa simba atawasili usiku huu nchini. Je, kocha huyo ni nani? Tuvute subira
  16. Surya

    JamiiForums Tanzania Majirani wanapiga kelele usiku usiku

    Yani nimesumbuliwa na kelele hadi usingizi umekata, kila nikivuta usingizi nashituliwa na kelele za watu, mara wasichana wengine walikuwa wanasukana kolidoni, aisee nyumba za kupanga ni kero. Nilichofanya sijasemesha mtu, now wanapambana na Dundo la Nguvu la mziki, yaani lile la kutetemesha...
  17. Richard

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson matatani, kupigiwa kura ya kutokuwa na imani

    Leo jioni wabunge wa chama cha wahafidhina watapiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi wa chama hicho na waziri mkuu bwana Boris Johnson. Hatua hiyo yafuatia barua za wabunge wa chama hicho kwa kamati maalum iitwayo 1922 committee ambazo zilipaswa kufikia asilimia 15 yaani sawa na barua 54...
  18. Z kali

    JamiiForums Tanzania Nimenusurika kuambukizwa HIV usiku wa leo, nimekoma

    Habari za humu wakuu Nilijieka kwa mdada fulan hivi ila hatukudumu Sana mahusiano yakapotea tu ghafla, japo haikuwa kuachana rasmi. (Mimi ni mme na baba wa familia) Sasa wiki mbili zimepita wife kasafiri kidogo. Nikiwa kwenye mizunguko yangu siku ya J3 na kutana na yule mrembo ambae tuliacha...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya vimulimuli waunda mandhari nzuri usiku wa kiangazi

    Mamilioni ya vimulimuli waunda mandhari nzuri usiku wa kiangazi
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sijaweza lala usiku kucha, shemeji anachomfanya dada sipendezwi nacho kabisa

    Ni kama anafanya kusudi Yaani Usiku kucha Shemeji anamfanya dada tendo la ndoa kwa kelele. Si mara moja si mara mbili. Dada analalamika kuchoka Shem anataka tu. Sidhani kama ni sahihi. Wananiamsha kwa kelele zao. Nakosa Usingizi kabisa. Najiuliza hili jambo anashindwa kugundua kuwa sauti...
Back
Top Bottom