usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Freeman Mbowe alienda Ikulu Usiku?

    Huwa naikumbuka sana picha ya Rais Samora Machel aliyopiga na P W Botha ,Wazir Mkuu wa Africa Kusini,tarehe 13 March 1984. Wakati huo nilikuwa darasa la Tatu.Baba alikuwa akienda mjini anarudi na Gazeti la Mfanyakazi hata kama ni la wiki tatu! Picha ile inamionesha Rais Samora akisaini...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TANROADS Mkoa wa Kilimanjaro ifuatilie malori yanayobeba soda kutoka kiwanda cha Bonite Bottlers kwenda Arusha usiku, yanazidisha uzito

    Somo limeeleweka. Tanroads fuatilieni malori ya kutoka kiwanda cha soda cha bonite bottlers Moshi , yanayochukua soda kiwandani hapo kupeleka Arusha wanaharibu barabara kwa kuzidisha uzito na Hakuna mizani ya kuyapima malori hayo Kati ya barabara ya Moshi kwenda arusha. Cha kushangaza na...
  3. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo kuhisi kiu usiku ni tatizo?

    Wakuu Salaam Kwenu nyote Nina mtoto ana Miaka miwili na miezi kama minne siku za karibuni amekuwa na tatizo ambalo sijalielewa, Anakuwa na kiu sana usiku hasa majira ya saa tisa hadi 11 lazima aamke adai Mma(Maji) sijui hii itakuwa ni tatizo ama ni jambo la kawaida? Naomba mwenye ufahamu...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi; Watanzania wengi hujisaidia haja ndogo kwenye makopo usiku

    kwema Wakuu! Tuachane na mambo ya Ukraine na Urusi. Leo sitaki kupotezea muda watu. Moja ya mambo yaliyonishangaza tangu nilipotoka nyumbani miaka 10 iliyopita ni kuona wakazi wengi kuwa na tabia ya kukojolea kwenye makopo au ndoo nyakati za usiku. Hivi inakuwaje mtu alale na Mikojo wakati...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro marathon ni kesho, kinachoendelea Huko Moshi ni ulevi na ngono usiku huu kesho zawadi zote zinaelekea Kenya

    Watanzania huko Moshi Kilimanjaro Kesho ni washerekeaji tu wa Kilimanjaro marathon . Hawana uwezo wa kupata zawadi Hata moja. Wakenya ninasikia wamekuja wengi wamelala tayari kuanza bio Kesho na kuondoka na zawadi zote. Wabongo ni ulevi usiku kucha na ngono Yakima asubuhi Hakuna cha...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

    Rais Vladimir Putin akitia saini amri (the Decree) kutambua majimbo ya Donestk na Luhansk kuwa majimbo huru. Picha na Reuters. Rais wa Russia Vladimir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza majimbo ya Donetsk na Luhansk kama majimbo huru. Majimbo haya mawili yaliyo upande wa Mashariki mwa...
  7. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya ziendelee kufanya tathimini juu ya utoaji wa vibali vya mabasi ya abiria kusafiri usiku. Majaliwa alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda katika kipindi cha...
  8. mshale21

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amtimua mke wake usiku wa kuamkia leo huku akimsindikiza kwa kipigo na matusi

    Wakuu hizi ndoa hizi zina mambo! Iko hivi, Jana mida ya saa nne usiku , nilingia gheto toka kwenye harakat za mapamabano ya maisha , nikapumzika kwanza kwa sebule nikipiga stori na mwandani wangu kwa phone ( maana hause niliyopanga ina sebule ambapo huwa tunakaa kubadilishana mawazo na kila mtu...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yavunja mabanda ya wafanyabiashara stendi ya Kawe usiku

    Serikali imevunja vibanda vya wafanyabiashara wadogo waliokuwa wanafanya biashara hizo katika stendi ya Kawe. Hali ya kushangaza mabanda hayo yamevunjwa usiku na kwa sasa polisi wanaranda kuona kama kuna ghasia yoyote kutokana na tukio hilo Japo kuna raia walioathiriwa na tukio hilo kwa vitu...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, wanaanga waliopo kwenye kituo cha anga cha kimataifa, International Space Station wanapata usiku na mchana?

    Mimi nauliza kwenye kituo cha anga huko juu na wao pia wana usiku na mchana na wanatumia saa kama huku duniani? Maana wanakua wametoka kwenye mfumo wa dunia wa kuzunguruka kupata usiku na mchana. Nasubiri maarifa yenu wana jamvi kuu, JamiiForums, kisima cha maarifa
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Umeme unakatwa saa sita usiku, hadi saa 12 jioni

    Hamna mbinu zozote za kupunguza makali ya mgao wa umeme. Umeme umekuwa ukikatwa saa sita usiku na kuwashwa saa 12 jioni. January Makamba na naibu wake wamelidanganya bunge, waliahidi kuchepusha gesi asili kutoka kwenye njia ya mwekezaji na kuingiza kwenye njia ya TPDC, lakini hadi sasa maumivu...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kinondoni yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

    TANESCO imetoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme kwa Wilaya mbalimbali. PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
  13. Counterbook

    JamiiForums Tanzania Unapiga 'gym' na usiku unakojoa kwenye kopo kitaalamu hii tunaitaje?

    Salama, upo au ndio ivo tena umeme huu bora kibatari. Sasa ni hivi kama ilivyo nadra kwa kanali kuogopa kinyonga, una kitambi unaogopa mende, una Nissan Murano, range halafu umepanga kirahisi tu hakuna usawa hapa kama si mizimu basi bombonya fulani by default. Kijana gym sana, kifua kikubwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Barabara za Jiji la Mwanza zakosa huduma za taa za usiku

    Nimepata bahati ya kuingia katika Jiji la Mwanza usiku wa Jana kiukweli mji ni mzuri Sana Cha kunishangaza nimepokelewa na Giza Totoro Sasa najiuliza hivi mamlaka husika hazioni hili tatizo? Nimeongea na wenyeji wangu wadai wamezoea Giza maana Kama taa zote zinatumia mfumo wa umeme jua kwanini...
  15. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi avunja ukimya kwa kuelezea kuhusu covid-19 na umuhimu wa kuchanja

    Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku ==== Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19 Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amejitokeza na kuvunja ukimya kwa kufafanua madhara ya ugonjwa wa...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwanini Masoko yanaungua usiku tu?

    Taarifa nilizonazo ni kwamba Masoko yote haya yanayowaka huwa yanaungua Usiku tu, wala hatujawahi kusikia kuna mahali moto umewaka mchana ukazimwa kwa vile watu hawakulala. Kama kweli moto huu unatokana na ajali tu ama shoti za umeme, ni kwanini shoti au ajali hizo za akina mama lishe zitokee...
  17. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Sitausahau usiku huu safari yangu ya kutoka Arusha kwenda Moshi

    Mwishoni mwa mwaka 2018 nilikuwa natokea Arusha kwenda Moshi ilikuwa ni usiku kama saa nne hivi kutokana na changamoto ya magari (coaster) pale stand ilibidi nipande hadi mianzini pale kucheki kama naweza kupata usafiri. Nikiwa...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ubunge unalipa: Gwajima alishindwa kujenga Kanisa kwa miaka 20, kapata Ubunge juzi tu, Kanisa linajengwa usiku na mchana

    Kama kuna watu wavumilivu ni waumini wa Gwajima, waliabudu kwenye full suit ya mabati pale Ubungo, wakapigwa jua Tanganyika Pakers Kawe, wakarudi kwenye magofu Ubungo. Baada ya ubunge kanisa lake linajengwa kwa kasi usiku na mchana tena ni ghorofa, kweli ubunge unalipa.
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

    Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
  20. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia taifa leo Desemba 31, 2021

    Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji. Stay tuned.
Back
Top Bottom