usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaohudhuria Uzinduzi wa Baa Mpya Kawe Lugalo (Kwa Maasai ) usiku huu hebu tupeni Mrejesho

    Nasikia Kiingilio ni Bure na Bia nazo ni bure kwa idadi uitakayo halafu Wanawake wote wanatakiwa Kuvaa Madela ila ndani wawe Watupu tu Vile vile Watumbuizaji wakuu ni Christian Bella na Mboso na hivi sasa Saa 6 na dakika 57 hii Mvua ikiwa inanyesha Mboso ndiyo anaanza Kupanda Stejini. Mimi...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Jobless usiku mwema

    Mungu awatie nguvu
  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kwahili la Mabasi kusafiri Usiku, nampongeza Mbunge Tulia Ackson

    Kwa muda mrefu nilitaka kuandika hili la Sababu za "kitoto" za kuzuia magari yasisafiri usiku, hatimae Mbunge Tulia ameliona Hilo, tusubiri mamlaka zitekeleze. Mimi ni mdau wa safari za usiku sana, kwahio Wacha niwape experience.... 1. Zile Coaster za Arusha zinazuiliwa pale Mkata wa saa Tano...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Foleni usiku huu Morogoro Road Ubungo - Kimara

    Hii foleni sijawahi ishuhidia kabisa, kama upo mjini sasa hivi na unampango wa kwenda Mbezi au Kimara basi endelea kuagiza bia maana hutoboi. Au kama uko vyema chukuwa boda boda au kama umenasa katika foleni shuka tu tafuta namna nyingine, kamba imeanzia Kimara stendi hadi Ubungo mataa na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Boxing: Usiku wa vitasa

    Karibu katika uzi unaohusu boxing , mubashara kupitia Azam Tv
  6. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Sasa Saa Nne Usiku: Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali

    Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali Haina mana wote wanatabia ya uvivu. Huu ni ushuhuda wangu mimi. Siku zote Kuna watu wanadhani wao Kwa kuwa hawahusiki na hawaendi hata hapo temeke hospital wakaona weakness za watumishi, tanesco, maji wakaona upumbav wa baadhi wa...
  7. Yofav

    JamiiForums Tanzania Tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?

    Habarini wakuu, Jana night katika safari zangu za hapa na pale kwenye daladala nipo zangu na deep feeling za kusikiliza music kwa earphones siti ya dirishani macho yakiwa nje kutazama tunavyoikata miti na mito mbalimbali, it was perfect kwangu maana me hupenda kusafiri sana, Huwa safari za usiku...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

    Mlima kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu. KINAPA NA TANAPA AMKENI .
  9. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Natabiri Urusi atatembeza kichapo cha haja leo usiku hapo Ukraine

    Urusi uzuri wake husubiri achokozwe na ndipo hujibu.... Baada ya kuchokozwa na kushambuliwa meli zake kule baharini natabiri pale Kiev leo hakutalalika na tutarajie kichapo cha haja.
  10. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Mingurumo au milipuko usiku huu Dar es Salaam

    Niko Manzese nasikia milipuko muda mrefu mnaisikia au masikio yangu tu? mwanzo nilijua radi ila bado inaendelea kuna nini?
  11. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Wazee wa usiku

    Habari wakuu. Nimeamua kumaliza UJANA wangu kwa kufanya starehe/kula Bata ndani ya Mwaka Huu mmoja 2022. Kuna uwezekano mkubwa sana nikapata mwenza wa Maisha Mke Mwaka 2023/24. Mipango ya Mungu ikitimia. Swali Naulizia sehemu nzuri ya kula bata? Napenda nimalizie kula mziki. Maua mengi, ila...
  12. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Mwenye club figtnes Nzega ujinga uliofanyika usiku wa leo usikubali ujirudie

    Natoka zangu Mwanza nimechoka drive nikasema nipumzike Nzega, Mungu wangu yani mtu ana Birthday yake anaongoza Baa nzima Mmiliki sikujui ujui ila huu ujinga usikubali tena. Nzega siyo kijiji hapo ni senta ya nchi na nje ya nchi miye nimeondoka baada ya huo ujinga so mmiliki wa hilo eneo play...
  13. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kikundi cha kihalifu maarufu kama vibeberu com chabaka wananchi mchana kweupe

    Thread was deleted
  14. M

    JamiiForums Tanzania Usiku wa deni haukawii kucha, kazi kwenu wananchi!

    Usiku wa deni haukawii kucha, Wasudani wanadai shingo ya mtu huko igeuziwe kibra! Mimi simo, ila povu linaruhusiwa!
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya kisiasa iruhusiwe ukimya uliopo ni mbaya sana

    Labda ni mawazo yangu kulingana na mambo ya hapa na pale yanayotokea kwenye nchi yetu. Wakati sijaanza kukusimulia ndoto yangu. Nikuchekeshe kidogo, utajisikiaje kama utapewa adhabu ya kuto kuongea Kwa angalau siku 7? Ni bora unyimwe chakula au unyimwe zawadi yoyote. Bila shaka kuongea ndio...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Waukraine watanyanduana leo usiku?

    Hi! Naomba kuuliza wakuu, Kuna Waukraine waishio Ukraine watanyanduana leo usiku? Maana sio kwa mabomu haya ya Putin.
  17. Gfav

    JamiiForums Tanzania Dar to ARUSHA Leo usiku kurudi J2 usiku

    Wandugu ni nani Ana mpango WA kwenda Arusha na private leo usiku au kesho? Haka ka mda tukaone Familia.
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ang’atwa ulimi na mpenzi wake wakijamiiana usiku

    Gembe Singu (32) mkazi wa kijiji cha Mwamakalanga wilayani Shinyanga anadaiwa kung’atwa ulimi na mpenzi wake, Leticia Elias (40) wakati wakijamiiana. Inadaiwa wapenzi hao walikuwa na ugomvi, na siku ya tukio mwanamke huyo alimuita Singu nyumbani kwake ili wazungumze na kumaliza tofauti zao...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 99% ya Teuzi zote za Awamu hii ya Rais Samia hufanyika Usiku na Siku za Jumapili tu?

    Nasubiri Mirejesho yenu Watu wa Itifaki, Great Thinkers na Wabobezi wa Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania hapa JamiiForums ili mtuelimishe akina GENTAMYCINE tusiojua lolote na chochote.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe 'sometimes' Mikwara husaidia Kukimbiza 'Vibaka' Watoboa Nyavu Usiku Uswahilini Mwetu

    Nimejaribu hii Mikwara Miwili ndani ya Siku Mbili tofauti ambapo Vibaka walitaka Kunichania Nyavu Ghettoni Kwangu waniibie hii Simu yangu ya Kimasikini ya Tecno F1 na imesaidia Kuwatoa Baru ( Kuwakimbiza ) ila Hofu yangu Siku wakija Kushtukia kuwa sina lolote nahisi Watanipanya Rodi vibaya mno...
Back
Top Bottom