Majirani wanapiga kelele usiku usiku

Majirani wanapiga kelele usiku usiku

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,853
Reaction score
15,812
Yani nimesumbuliwa na kelele hadi usingizi umekata, kila nikivuta usingizi nashituliwa na kelele za watu, mara wasichana wengine walikuwa wanasukana kolidoni, aisee nyumba za kupanga ni kero.

Nilichofanya sijasemesha mtu, now wanapambana na Dundo la Nguvu la mziki, yaani lile la kutetemesha hadi dali, hadi playlist yangu ikwishe ndo nazima, watajua hawajua pumbavu zao.
 
Wakuu hii kitu inakera sana,Mara wacheke alafu ni night mtu umechoka unahitaji kupumzika,nyumba za kupanga pasua kichwa walahi
huku habar wanayo, uzuri mimi nilikua nisha punguza usingiz,
ni vitendo badala ya maneno, watakua wameisoma, hawato rudia tena.
 
Wakuu hii kitu inakera sana,Mara wacheke alafu ni night mtu umechoka unahitaji kupumzika,nyumba za kupanga pasua kichwa walahi

Hama, Pambana usiishi nyumba moja na watu primitives
 
waalibie tu watajua awajui,ongeza sauti mpaka mwisho waanze wao kushtaki kwa mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom