Tundusami Senior Member Joined Feb 7, 2026 Posts 116 Reaction score 269 Mar 5, 2026 #1 Usidanganywe ukafanya mapenzi bila kondomu.
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,537 Reaction score 49,408 Mar 5, 2026 #2 Asante. Ila kuacha kabisa ndio Dili
Killa Cam JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,868 Reaction score 8,031 Mar 5, 2026 #3 Tatizo nikiichapa siku mbili tu basi siku ya tatu napiga bila ya kinga sijui inakuwaje kwakweli 😂😂
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,216 Reaction score 859,606 Mar 5, 2026 #4 Tundusami said: Usidanganywe ukafanya mapenzi bila kondomu. Click to expand... Sidhani kama ni kweli kwakuwa inategemea unafanya na nani! Unaweza kutumia kondomu na bado ukaathirika na magonjwa na kiroho
Tundusami said: Usidanganywe ukafanya mapenzi bila kondomu. Click to expand... Sidhani kama ni kweli kwakuwa inategemea unafanya na nani! Unaweza kutumia kondomu na bado ukaathirika na magonjwa na kiroho
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,823 Reaction score 113,394 Mar 5, 2026 #5 Killa Cam said: Tatizo nikiichapa siku mbili tu basi siku ya tatu napiga bila ya kinga sijui inakuwaje kwakweli 😂😂 Click to expand... sasa hapo kinga yanini
Killa Cam said: Tatizo nikiichapa siku mbili tu basi siku ya tatu napiga bila ya kinga sijui inakuwaje kwakweli 😂😂 Click to expand... sasa hapo kinga yanini