usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Habari. Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yaani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable. Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda...
  2. JamiiForums Tanzania Kushtuka kutoka usingizini usiku wa manane

    Habari zenu wanaJF. Natumai wote ni wazima. Mara kadhaa nimejikuta nashtuka usiku wa saa 7 au saa 8 usiku na usingizi kukata kabisa, inaweza kunichukua hata lisaa kupata usingizi tena. Nimejaribu kuuliza hiki kitu kwa watu wa karibu wengine wanasema ni stress za maisha, wengine sina ela...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Kaka naomba unisaidie kunielezea matatizo yangu kwenye ule mtandao wenu wa jamii forums ulionisaodia kipindi kile, wakati huu nahitaji msaada sana Haya ni maneno ya binti ambaye anaitwa Rahma Shaabani Kiwangala, mwenye mtoto mdogo wa takriban mwaka mmoja mkazi wa Manzese mburahati, mtaa wa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex Kikosi Game ishaanza dakika ya 18 bado bila bila Yellow card Michael Masinda kamfanyia Saido faulo, game inaendelea...
  5. JamiiForums Tanzania Kondomu zilizotumika zakithiri stendi ya Same, polisi waamrishwa kufanya doria usiku kuwakamata wanaotumia stendi vibaya

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni amemwagiza Mkuu wa Polisi wa Wilaya hiyo kuanza doria nyakati za usiku katika stendi ya mabasi Same mjini, ili kuwabaini na kuwakamata wanaotumia stendi hiyo kufanya mambo yasiyo na maadili. Amesema kuna baadhi ya watu wamekuwa wakilitumia eneo hilo la...
  6. JamiiForums Tanzania Shabiby yapata ajali usiku wa kuamkia leo, mmoja afariki

    Kwa habari zilizotufikia ni kuwa gari ya usafirishaji abiria ya kampuni ya Shabiby Line, imegonga lori la kontena kwa nyuma na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
  7. JamiiForums Tanzania Nakuwa na akili sana usiku kuliko mchana

    Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida, Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate?
  8. JamiiForums Tanzania Ndoto inayowaogopesha CHADEMA usiku na mchana

    Kama ukimsikiliza aliyekuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo aliyasema haya siku ya jana kuwa kuna kijana toka mwandiga alikuwa na ndoto. Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze...
  9. JamiiForums Tanzania Bondia Changarawe afanya kweli usiku huu italy, amtwanga mvenezuela kwa KO

    BREAKING: BONDIA CHANGARAWE AFANYA KWELI USIKU HUU ITALY, AMTWANGA MVENEZUELA KWA KO! Na Nsangu Kagutta, Italy Yusufu Luccasi Changarawe usiku huu ameing'arisha Tanzania baada ya kushinda pambano lake la kwanza la kutafuta kufuzu kushiriki kwenye mashindano ya Olympic jijini Paris, Ufaransa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya Haiti yatangaza hali ya Hatari na Marufuku ya Kutoka Nje Usiku

    Serikali imetangaza hali ya dharura na amri ya kukaa ndani (kuanzia Saa 12 Jioni - 11 Asubuhi) hadi Machi 6, 2024 kwa Wakazi wa eneo la Ouest linalojumuisha Mji Mkuu katika jitihada za kukabiliana vurugu kwenye Magereza Mawili zilizowawezesha Maelfu ya wafungwa kutoroka Machi 3, 2024 Vurugu...
  11. JamiiForums Tanzania Leo naomba Saa 3 Kamili Usiku tukimbiane hapa JamiiForums

    Nasisitiza tena kuwa naomba leo Saa 3. Kamili Usiku tukimbiane hapa JamiiForums kwani najua kutawaka Moto mkubwa sana na Watu wartachekana na Kuumbuka mno.
  12. JamiiForums Tanzania Mtoto anakohoa sana na wakati wa usiku hadi anatapika

    Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama kukabwa hivi mpaka kutapika (kwa kujigoa) Hivi hospitali kwanini ni wagumu kumchunguza mgonjwa yaani...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusikia vitu kama mchanga unamwaga batini usiku wa manane nimetoka nje kuangalia ila sioni kitu, nini tatizo?

    Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu, tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo iliyojazwa mchanga inamwagwa juu ya bati. Siku ya juzi nilidhani labda ni ndege au mnyama...
  14. JamiiForums Tanzania Haya mnaobeti Al Ahly na Yanga SC leo nawapeni Mzola huu ili mumkamue Kanjibai ( Mhindi ) baadae Usiku

    Al Ahly ( Egpyt ) 1 Yanga SC ( Tanzania ) 6 na Goli 5 atafunga Guede na 1 atafunga Pacome.
  15. JamiiForums Tanzania APHFTA: Tutasitisha huduma za NHIF kuanzia saa sita usiku, wagonjwa mahututi tutawaongezea saa 48

    Imeelezwa vituo vyote Binafsi vya Afya vitasitisha kutoa huduma kwa Wagonjwa wapya wanaotumia Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kuanzia Usiku wa Saa Sita kuamkia Machi 1, 2024 huku wale ambao watakuwa katika Uangalizi Maalum (ICU) wakiongezewa muda wa Saa 48 kuendelea kupata huduma...
  16. JamiiForums Tanzania Je, na wewe uliziona ndege 12 zikitembea kwa mstari jana usiku?

    Usiku wa jana mida ya saa moja kuelekea saa mbili niliona ndege 12 zikiwa zinaenda taratibu sana kwa mwendo wa Pole zikipita kwenye anga la nyumbani kwangu Bahari Beach. Mara ya kwanza nilidhania ni vimondo, ila nikasema hapana, nikadhania sasa haya ndio mambo ya UFO yenyewe, lakini baadaye...
  17. JamiiForums Tanzania Dokta Greyson Babishomba: Kuchat usiku kunaharibu figo

    Dokta Greyson Babishomba akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio Times Fm, amesema kuwa tabia ya kuchat usiku inapelekea figo kuharibika.
  18. JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba leo Saa 3 Usiku tusipoteane hapa Jukwaani JamiiForums!

    Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo. Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
  19. JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku

    Igweee! Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs. Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience. Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya...
  20. JamiiForums Tanzania RC wa Dar, Albert Chalamila atoa maelekezo barabara zijengwe usiku na mchana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa maelekezo ya kuhakikisha ujenzi wa Barabara Jijini Dar es Salaam zinajengwa kwa usiku na mchana ili kuondoa changamoto zilizopo ikiwemo Barabara ya Kibamba hadi Mbiji Magohe na Mpiji Magohe hadi Mbezi. Aidha, Chalamila ameongeza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…