usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Usiku wa leo Harmonize anaenda kuachia ngoma kali sana

    Harmonize jeshi katangaza balaa usiku wa Leo Kwa mashabiki zake wanaenda kufurahi kwakua anaenda kuachia ngoma Kali sana mbili harmonize ndio mfalme wa bongo fleva ukibisha download ngoma zake halafu Kaa home sikiliza
  2. sanalii

    JamiiForums Tanzania Unaujua usiku mrefu?

    Ni usiku ambao hauchi, kulala hulali, usingizi hauji. Leo nimekuja sehemu imebidi nilale, kuna mbu na joto balaa, hakuna fan, hakuna dawa za mbu, ni kaz juu ya kazi. Nimekumbuka sana nyumbani. Pia soma: Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku Usiku umekua mrefu sana.
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwa nini iringa mjini pamoja na kuwa na baridi kali nyakati za usiku lakini kuna mbu wengi?

    Wakuu Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania. Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa.. Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna Watu wanapata shida kama bodaboda wa Mafinga nyakati za Usiku

    Kwema Wakuu! Nimeshawahi kuishi Mafinga mara kadhaa lakini sijawahi kuona baridi kama ya Juzi jumatatu tarehe 19. Dadeki baridi mpaka ukungu weñye barafu nyepesi ilikuwa inadondoka. Nimefika Saa nane Usiku nikitokea Dsm. Nilitamani nirudi kwèñye Basi, Aiseeh! Pale Stendi nikaona makundi mawili...
  5. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

    Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu. Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
  6. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Nani amewahi kupata ndoto usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili?

    Habari wanajukwaa Nimekua napatwa na Hali ya kutopata ndoto usiku wa ijumamosi kuamkia jumapili hii imekaaje wakuu Mwanzoni nilichukulia kawaida ila Hali hii imejitokeza tena usiku wa kuamkia Leo,ila kwa siku nyingine za wiki Hali huwa kawaida uwepo wa ndoto unakuepo. Nawasilisha.
  7. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Mama wa jirani yangu ameniomba chumvi na sukari saa kumi usiku

    Wakuu habari. Mungu wangu awatie nguvu na moyo wa mapambano awajalie neema na baraka. Naomba kujua Chumvi inahusika vipi kutibu tatizo la tumbo. Jirani yangu(mpangaji mwenzangu) dada wa umri kati ya miaka 15 hadi 20 kanigongea saa kumi kamili usiku anahitaji chumvi na sukari mama yake anaumwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari ya Dodoma - Dar usiku kuanzia saa tatu usiku?

    Habar wadau hivi dodoma Kuna gari zakuondoka usiku wa saa tatu nakuendelea?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Jamani Mungu yupo na anafanya kazi usiku na mchana. Tuache kuonea watu mungu hapendi na kisasi chake

    Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla...
  10. Mama Mdogo

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya Mbwewe na Mkata usiku huu?

    Wadau wana bodi, niko natoka zangu jijini Nairobi kupitia Namanga kurejea Dar na baadaye kwenda nyumbani Katavi. Maajabu baada ya kuvuka Mkata tumekuta mrundikano wa magari, ya kuenda Dar hayaendi na ya kutoka Dar hayapiti. Hamna anayetuambia shida ni nini. Aliye na taarifa za uhakika atujuze...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwenye Dawa ya Presha popote kwani naanza Kujiona sijielewei elewi japo najua Saa 3 Usiku baadae leo nitafurahi mno

    Bila bila Rafiki yangu mkubwa JF hakuna Dawa yoyote ile ya Presha unayoifahamu kwani naona sasa inapanda sana.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali ID yangu hii isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku wa Leo tarehe 8 August,2024 basi jueni kuna tatizo Kubwa la Mtandao huku niliko

    Nimeamua kutoa mapema tu Taarifa hii ili ID yangu isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili ya Usiku wa Leo msinishangae.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali visingizio vifuatavyo hatuvihitaji Kesho tarehe 8 August, 2024 kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku sawa?

    1. Tumewaonea tu Huruma nanyi mshinde ili mfurahi 2. Tumewaachia ili msije Kuuana bure 3. Tumeshachukua letu la Kwanza kwa Mandele hivyo tulitaka nanyi mchukue lenu kwa Nyerere 4. GENTAMYCINE alishasema kuwa Mwamuzi ni Shabiki mwenzenu hivyo tulijua tu tutakufa 5. Tumeshachoka kila mara...
  14. T

    JamiiForums Tanzania 2025 na Usiku mzito wa maamuzi mazito kwa Jamhuri ya Kusadikika🤔

    Mwaka 2025 nimwaka wa wana kusadikika kuamini yakuwa Taifa lao chini ya idara zao bado wanaweza kufanya mambo hayakusadikika ktk masikio ya wana kusadikika. Project zilianza pale wana elite ndani yakusadikika kumpoteza kipenzi chao. Inasemekana kwa hali ilivyokuwa hapakuwa na njia ilibidi elite...
  15. Half american

    JamiiForums Tanzania Ila ndoto nyingine zinachosha, ndoto niliyoiota usiku wa kuamkia leo imenitisha.

    Usiku ni mrefu ila ukilala na kuota ndoto za ajabu ajabu huufanya uwe mrefu zaidi. Kuna baadhi ya ndoto nikiota ni ngumu sana kuzikumbuka na hizi ndio hunipa hofu hasa nikiota ndoto mbaya. Huwa ninapata hofu kwa sababu ndoto nyingi nisizozikumbuka huwa zina uwezekano mkubwa wa kutokea na...
  16. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mungu atulinde na hatari za usiku huu.

    Kwa tulioyaona Matendo ya Mungu kwetu na jinsi alivyotuvusha katika hali ngumu tunajua atatenda sawasawa na Mapenzi yake. Amina
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Kombe la Timu Nne na la Wiki Moja tu linaweza kufanya Mashabiki Wehu wafurike 'AINJ' Usiku kwenda kupiga Kelele na kuipokea Timu huku Wakiiba?

    Yawezekana au Nahisi huenda Mamlaka inayohusika na kupima Akili timamu ( Afya ya Akili ) za Mashabiki wa Vilabu barani Afrika kuna Klabu moja itajikuta / itakuwa ndiyo Kinara wa kuwa na Mashabiki si tu Washamba ( Madunduka ) bali kwa 98% wana matatizo ya Akili ( Psychopaths ) ANGALIZO Nimesema...
  18. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

    Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema. Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto. Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
  19. Glenn

    JamiiForums Tanzania SGR Dodoma -Dar yaanza rasmi leo 25 July 2024 usiku huu

    Hatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar. Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya terminals za airport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia. Watu wa Dodoma nao wamechangamkia fursa kwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa wizara na taasisi za Wizara ya Mambo ya Ndani mkeka wenu unakuja kama siyo leo usiku basi wiki hii

    Malalamiko mengi yamepelekwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani na viongozi wake. Maeneo yanayolalamikiwa zaidi ni 1. Utekaji 2. Wananchi kunyimwa dhamana na kushikiliwa kinyume cha sheria 3. Viongozi wa chama cha mapinduzi kusafirisha wahamiaji haramu kwa mashangingi bila kuchukuliwa hatua 4...
Back
Top Bottom