usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wezi wamezidi usiku Arusha. Wizi wa vifaa vya magari majumbani mwa watu UMEZIDI. Mamlaka chukueni hatua

    Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za Land Cruisers, Exels za Land Cruisers na vifaa vingine vya magari ya Watalii! Vifaa hivyo huuzwa kwa Wadau ambao huviuza tena kwa wahanga!! Vilio ni vingi mno! Sakina, Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa wa Hali ya Hewa aliyekuwa akitangaza Usiku huu Taarifa ya Hali ya Hewa nchini nimemkubali hapa tu Kudadadeki

    Wengjne wote ambao nilikuwa nikiwasikia na kuwafuatilia Wao ikifika sehemu ya kusema hali ya Bahari itakuwaje walikuwa wanasema Kiuhuruma na kama vile kuogopa Kutisha Wananchi ila Kudadade huyu Jamaa wa leo sijui ni Poti wangu kutoka Mkoa wa Wanamume pekee Tanzania nzima wa Mara ( Musoma ) au...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zuhura Yunusu kutetema usiku wa manane

    Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida. Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024 hivyo niwaombe viongozi kumvumilia Zuhura Yunusu anapokata usingizi akawasha data na kutuma barua...
  4. JamiiForums Tanzania Jana usiku Mashabiki mbumbumbu wa Tanzania ndio wamejua Al Ahly ni bora kuliko Mamelodi!

    Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza. Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Zamani ukiwa unasafiri kwenda Dar hulali usiku

    Sijui shida ilikuwa nini yaani ukiwa unasafiri na bus haswa kwenda dar tuseme bus linaondoka saa 12 asubuhi basi usiku unapata mawenge usingizi hauji kabisa Ila siku hizi ukiwa na safari ya kesho saa 12 hupati mapepe wala wasiwasi wa kuachwa na gari unalala fresh tu hata ikibidi pombe...
  6. JamiiForums Tanzania Usiku huu umekuwa mgumu sana

    Ni semester ya mwisho sasa (6 semester), performance yangu hapa Duce ipo nzuri sana by the way hadi sasa Kwa semester tano za nyuma na average GPA ya 4.3. Lakini, Sina furaha kabisa kwani ndoto zangu za kusoma Master naona zinayeyuka, my family economic status is too bad. Nashidwa hata ku...
  7. JamiiForums Tanzania Usiku mwemeni

    Nimelala chini ya mti wa kijani na kusikiliza sauti za upepo zinazopita, nikitafakari juu ya maana ya maisha na jinsi wingu linafanana na ndoto zetu za kupita. Baridi inaniuma, lakini jua linanipa joto la ndani. Nimeshindwa kuvuna mawazo yangu, lakini nimefurahi kwa sababu ndege wanaimba nyimbo...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinasababisha usiku mitandao ya internet inakuwa na spidi ya konokono?

    Habari wataalam. Nilikuwa nawaza labda ni simu yangu ina shida. Sasa ina maana simu yangu inasumbua usiku tu mchana haisumbui. Nilisikia pia watu wanasema usiku watumiaji ni wengi sijui traffic inafanyaje sijui inagoma ndio inasababisha hiyo mitandao inakuwa bize..Hilo mi sijui wanajua wenyewe...
  9. JamiiForums Tanzania USD 1.30 billion zimetumika Kwa usiku Jana kuzuia makombora ya Iran

    Vita ni kitu cha gharama Sana na ni mzigo Kwa dunia. Ebu piga hesabu Kwa usiku mmoja zimetumika USD kibao Kwaajili ya ulinzi Tu wa anga, Kwa mfano fighter jets za F-35 zilikuwa zinaruka hewani kutokea nchini Cyprus kuzuia makombora yaliyokuwa yanatoka moja Kwa moja kutoka Iran huku fighter jets...
  10. JamiiForums Tanzania Usiku mzuri ninaoukumbuka mwaka 2020 ndani ya Iringa Mjini

    Kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe. Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana kwangu. nilipata deal lililofanya nizunguke sehemu mbalimbali nchini ikiwemo iringa. Ukiondoa faida...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa CAF, Patrice Motsepe aipongeza Mamelodi usiku huu wa manane

    Sisi tupo nae hadi asubuhi, anajitahidi kufuta comment mamia kwa mamia kila dakika ila naona bado zinamiminika, jiandaeni kwa shift ya asubuhi, sisi tunae usiku kucha, hadi afunge hilo page lake aweke private. Page ya Mamelodi sundowns fc nayo tunaisulubu hadi asubuhi...
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya inalindwa na sungusungu, kulala saa sita usiku kama kijijini

    Igweeeeeeee Hakika ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, Nimekutana na Jambo la kustaajabisha kulingana na eneo lilipotokea Sipingi uwepo wa makundi ya ulinzi shirikishi lakini lazima tuelewe kuna vikundi vinafaa kuwepo vijijini tu pia ni ajabu ndani ya jiji watu wanalazimishwa kulala...
  13. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ndio anaingia ndani sasa hivi (saa 9:16 usiku)

    Aisee, kumbe ndoani ni pagumu. Kama mambo yenyewe ndio haya, basi nitaoa mwaka kesho kutwa. Kweli mke wa ndoa unaingia ndani saa 9 usiku ukiwa na rafiki yako mumelewa chakari, plus bodaboda wenu pembeni!!!? Mnategemea mlale kwa nani!!? Nawasikia wanabisha mlango hili mwanaume awafungulie😂 Na...
  14. JamiiForums Tanzania Hali ya hewa itakavyokuwa kuanzia leo saa 3 usiku mpaka saa 7 usiku

    Natabiri kuanzia saa 3 usiku wa leo, wale nzi na vyura wa kijani popote pale hapa nchini, watakuwa kimya huku wale ngedere na simba wekundu wakipiga kelele za hapa na pale. Wakishangilia wenzao wakipata kipigo na mateso makali kama yale ya Yesu msalabani toka kwa Masandawani. Natabiri. kuanzia...
  15. JamiiForums Tanzania Huenda Ijumaa ijayo k Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao

    Huenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao ) Kati ya wale 48 wanaoenda Kuzuru Kaburi la Nelson Madiba Mandela nchini Afrika Kusini 30 ni Waganga wa Kienyeji na 18 ni Vibaka...
  16. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga SC mlioko Mkoani Morogoro semeni leo mtakuwa Ukumbi gani ili GENTAMYCINE nije kuwatizama Wanaojua Yanga SC leo Usiku

    Naenda Kutambika kwa Babu yangu Mkoani Morogoro na kula Pasaka ila napenda Leo nijumuike na wana Yanga SC kuitizama ikicheza na Mamelodi Sundowns FC. Wa Morogoro semeni mtakuwa Ukumbi gani ili nije na hakikisheni huo Ukumbi nje uwe na Mademu na Gesti ziwe Jirani ili nikimaliza Kushangiiia...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

    Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro. Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake. Taarifa zaidi zitakujia baadae. Hakuna alie salama..!! --- Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
  18. JamiiForums Tanzania Ni Mtanzania Mwendawazimu tu hatoweza Kuishangilia Yanga SC iliyo Bora kuliko Simba SC ikicheza na Mamelodi Sundowns FC leo Usiku

    Kuna Diarra kuna Baka kuna Aucho kuna Aziz K kuna Pacome na kuna Musonda na Guede yaani GENTAMYCINE nitaachaje Kuwashangilia na nimshangilie Nuksi Kapombe na Mpuuzi Onana? Kila la Kheri Yanga SC baadae leo.
  19. 0

    JamiiForums Tanzania Unamletea kisirani anayekula, kwani wewe nani alikulazimisha ushinde na njaa tena ikiwa umekula usiku kucha?

    Hii comment murua kabisa kutoka kwa bwana denoo JG kukemea kinachoendea huko Zanzibar. Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika Ameanza na ushauri Tatizo upeo tu, wale watu wanatakiwa kuwa wanapewa safari za boti bure kuja huku bara kujifunza watu wanavyoishi...
  20. JamiiForums Tanzania J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake

    Wanabodi Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na kituo cha Television cha Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio siku za Jumatano Saa 9:30 alasiri, Katibu Mkuu wa Chadema, JJ. Mnyika, ameunguruma na amezungumza mengi. Kwa wale ambao bundle sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…