usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siku Ukijua Kinachokutokea Usiku, Akili Yako Itaruka!

    Acha Kiherehere cha Kutaka Kuona Yasiyoonekana Utazika Furaha Yako Milele! Watu wengi mpo hai na mna amani kwasababu tu Mungu amewaziba macho msione uchafu na uozo unaowazunguka. Mnaishi kwenye uongo wa kutengenezwa na ndio maana mnakula, mnalala na kucheka. Lakini kuna wajinga fulani wana...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Wazalendo Wanao Angalia TBC, Usikose Kuangalia Mambo Mazuri ya UDSM, UDOM, IGOABROAD na Mbolea ya FEMI Leo Saa 4:00 usiku na kesho saa 3:00 Asbh

    Wanabodi, Niko hapa jijini Dodoma kwenye maonesho ya 88 kitaifa, uwanja wa Dr. J.S. Malecela, Nzunguni Dodoma, ambapo kuna mambo mazuri sana. Asubuhi niliwaletea https://www.jamiiforums.com/threads/live-from-uwanja-wa-dr-j-s-malecela-nzuguni-dodoma-kilele-cha-nane-nane-dodoma-kuchele.2460870/...
  3. JamiiForums Tanzania Mafanikio Halisi: Watu au Vitu?

    Swali: mbona watu husahau umuhimu wa watu na kuvipa vitu umuhimu mpaka waafikiapo mwisho wa safari? Watu wengi wakifika mwisho wa maisha hasa wazee.. Huwa na tabia flani hivi za kuthamini sana upendo... Wengi wao huwa kama watoto tena... Yaani the ego looses control and the pure human nature...
  4. JamiiForums Tanzania KERO DAWASA wanatoa maji usiku pekee

    Ebana kipindi cha hivi karibuni nimejikuta nimemaliza mwezi mzima bila kuona kina mama wengi wa mtaa wa pili wakipita wamebeba maji, nikahisi labda wamejiunga na DAWASA. Ebana kumbe sio, ni kwamba dawasa sasa hivi wanatoa maji usiku wa manane , sijajua kama ni maeneo yote au laa na by saa 12...
  5. JamiiForums Tanzania Usikose Kuangalia TPDC Inavyo Fanya Makubwa Sekta za Mafuta Na Gesi, Ni Leo Saa 3:40 Usiku Huu on Star TV

    Wanabodi, Kwa wale wenye muda, Usikose Kuangalia TPDC Inavyo Fanya Makubwa Sekta za Mafuta Na Gesi, Ni Leo Saa 3:40 Usiku Huu on Star TV。 https://youtu.be/iA-uAh2h9pI?si=IbWxfD0aomZ27Tzl Kwa ambao hampata muda wa kuangalia, links hapa https://youtu.be/xhpSZds-Ydw Karibu Mzee Pasco Rejea za...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukate umeme mchana kwanini usikeshe usiku mchana uturudishie umeme

    Tanesco mjitafakari unaweza kata umeme toka saa12 asubuhi mpaka saa mbili usiku eti unarekebisha miundo mbinu hamnaga namna ya kufanya part by part yaani muda wote huo bila haibu, mchana ni muda wa kazi nzto kuliko usiku mnardisha umeme usiku ili iweje watu usiku wametulia vitandani wakatieni...
  7. JamiiForums Tanzania JF usiku huu (JF ekiro eki)

    "Don't waste your time on revenge. The people who hurt you will eventually face their own karma.🎯" Usaorere ifre lyako o mndu ula kukoora kisasi. Wandu wala wakukorere ufi, upu upu wavone ifre lya mbeho ya cho (karma).🎯 Ulekage gucha tulo bulyako kung’wela b’isaji. Ab’andu ab’agukob’ilyaga...
  8. JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa tunu shekhome amefariki dunia usiku huu hospital ya kairuki

    Pole sana tunu wewe na dada mwajabu shekhome poleni sana . Mungu ni mja wa.wote I niliahidi... Nipo pamoja nanyi
  9. JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano usilolijua usiku wa kiza

    Baadhi ya vitabu vya historia ya Zanzibar vilivyopo Maktaba Huwa nasoma nyuzi hapa JF mtu anaandika kuwa John Okello ni Baba wa Taifa la Zanzibar. Anaishia hapo. Ukimuuliiza kama anajua historia ya mapinduzi ni ubishi tu na mjadala kurefuka bila ya sababu. Ukimuuliza kama anaijua kambi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Usiku ambao malkia wa Cocaine alitaka kumuua Rais wa Colombia

    Miaka ya 1980 na 1990 iligubikwa na vita vya umwagaji damu kati ya serikali na makundi makubwa ya kihalifu. Wote tunaijua hadithi ya Pablo Escobar, lakini kulikuwa na mwanamke mmoja katili zaidi aliyetawala jiji la Miami na Colombia kwa mkono wa chuma:aliitwa Griselda Blanco, aliyefahamika pia...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sungusungu Chamazi wanakuja kudai fedha usiku bila vitambulisho

    Kikundi cha watu kilichojitambulisha kuwa ni Sungu Sungu wa Chamazi Msufini kinadaiwa kuwafuata wananchi usiku wa manane kudai fedha za ulinzi bila kuwa na vitambulisho wala barua kutoka kwa mamlaka husika. Wanadaiwa kufika wakiwa zaidi ya watu 10, wakiwa na marungu, kugonga milango ya wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania CENTCOM imekiri kuuliwa kwa baadhi ya wanajeshi wa kimarekani kadhaa nchini Jordan baada ya mashambulizi ya makombora balistiki ya Iran usiku wa Jana

    Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani Mmoja wa wanajeshi hao haonekani alipo mpaka muda huu Ikumbukwe, jeshi la ulinzi la Jordan ilisema lilifanikiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Haya sasa maisha matamu usiku huu Singapore

    Singapore, mvinyo, na mrembo.nakula Maisha hayahitaji zaidi ya haya.na maisha polepole... na mrembo mzuri kando yangu 🍷🇸🇬
  14. JamiiForums Tanzania Aibu nyingine inatokea usiku wa leo

    Baada ya France kufungwa na kupigiwa mpira mkubwa sasa kesho ni zamu ya Argentina ambaye kuanzia group stage mpaka quarter final amekuwa akicheza na vibonde pamoja na kubebwa na marefa Sasa kesho bigwa wa mbinu na bigwa wa knockout Tomas Tuchel atawaonesha ubovu wa Argentina
  15. JamiiForums Tanzania Nilipanda basi la usiku kulekea Bukoba, nikalala mapajani kwa mkaka, nilienjoy sana

    Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi "Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia. Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala...
  16. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kutozima simu usiku: Daraja la Wokovu Wakati wa Dharura

    Wandugu zingatieni sana hili hasa ukiwa pekeyako Ni uamuzi wa busara sana kutozima simu yako unapoenda kulala, kwani hatua hii ndogo inaweza kuwa tofauti kati ya usalama na janga kubwa. Nyakati za usiku zimejaa mambo yasiyotabirika, na simu yako ikiwa hewani inafanya kazi kama kiunganishi...
  17. JamiiForums Tanzania Wife huwa haniachii msosi wa usiku

    Heri ya jumapili nyote!! Nina kesi yangu hapa,kila nikirudi usiku sikuti chakula cha usiku,nikimhoji wife anasema eti alijua nimekula kwenye ulevi wangu. Jana nimerudi na ubao sio poa,lakini sikukuta msosi mezani. Wakuu,nafanyaje hapa?
  18. JamiiForums Tanzania Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Usiku Mwema

    Wataalamu wa afya wanasema ili kupata utulivu na kuondokana na msongo wa mawazo, hakikisha unalala kwa masaa 7 hadi 8 na kuepuka kutumia simu kabla ya kulala. Unaweza kusikiliza nyimbo za utulivu ili kupunguza uchovu wa siku nzima.
  20. JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya usiku wa full moon?

    Baadhi ya mambo ambayo watu hufanya ni: Kutembea au kufanya matembezi mafupi kwa mwanga wa mwezi (mahali salama). Kupiga picha za mwezi na mandhari ya usiku. Kupiga kambi au kutazama nyota. Kutafakari, kuandika malengo au kutumia muda wa utulivu. Kuhusu imani kwamba full moon huongeza nguvu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…