Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Kwa mara ya kwanza Jamhuri ya watu wa China imepitisha uamuzi wa kuondoa kodi (Zero-Tarrif) kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazotoka Tanzania kuanzia Mosi Disemba 2022. Msamaha huu kwa bidhaa za Tanzania ni matokeo ya juhudi za Rais Samia katika kukuza diplomasia...
Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba, ghala lilikuwa na mizigo ya Mamlaka ya Mapato (TRA) ikiwemo Vitenge vilivyokamatwa kwa Magendo baro 370 pamoja na Sukari, Mafuta ya Kula, Baiskeli na Pikipiki
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto Mkoa, Fatuma Ngenya amesema wamefanikiwa kuudhibiti Moto ulianza...
Baada ya awali kuelezwa kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ipo mbioni kuuza mali za Mbunge Toufky Turky ambaye ni Mfanyabiashara aliyedaiwa kushindwa kulipa ushuru wa Gari aina ya Marcedes Benz G Wagon aliloliingiza Nchini Januari 2022, fafanuzi umetolewa.
Waziri wa Fedha na Mipango wa...
MWEMBAMBA AKUTANA NA ZAKAYO MTOZA USHURU.,
Ndugu yangu mwembamba nikupe siri kali, ukiwa mkubwa usifanye kama ngosha kuwasumbua sumbua "wanene" wanaokuweka mjini. Ukiwasumbua "wanene" kuwadai kodi ni sawa na kumkumbatia papa nyangumi ndani ya maji halafu utake kumuua,atakuua wewe.
Ukiwa mkubwa...
Zakayo kwa Kiebrania Zakai(msafi,mnyoofu) alikua mkuu wa watoza ushuru na tajiri, alipata kibali cha kutoza kodi na mapato na kiasi kilichozidi alikiingiza mifukoni mwake. Aliishi maisha ya kifahari na kuponda mali. Zakayo alimsaliti Mungu na taifa lake .
Wakati Yesu...
Kila mwezi tarehe 1 tu wamefika kuchukua chao kila duka huku wakitoa risiti ya kuandika na mkono hii ni halali kweli?
Ni Kariakoo hapo, wanatoka ofisi ya Serikali ya mtaa wa misheni kota, yaani tangu nihamie mtaa huu najionea maajabu tu.
Habari wana JF
Napenda kuwashirikisha wanajamii wenzangu juu ya uchumi wa nchi ya Tanzania kudhoofika na kuendelea kukua kwa kiwango kidogo sana kwa kila mwaka ni kutokana na kuwa na sera za kikodi na ushuru ambazo zinawavunja moyo wawekezaji na wafanyabiashashara wengi kupelekea kudorora...
Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana ama wakati mwingine biashara za Tanzania zinazuiwa kabisa Kenya, ni kwa nini? Kwa anaejua sababu tafadhali
Kuna sehemu Yohana aliwahubiria watoza ushuru. Walimuuliza. "Sisi ni watoza ushuru. Unatushauri tufanye nini?" Yohana aliwajibu, "Msitoze zaidi ya kiasi kilichowekwa."
Zamani kulikuwa kuna kitu kinaitwa tax farms(mashamba ya kodi). Tajiri anaifuata serikali ya Roma na kuomba tenda ya kukusanya...
Wakuu habari,
Kama mnavyojua Rais Magufuli alileta kitu kilichoitwa Vitambulisho vya Machinga mwaka 2019
Vitambulisho hivi ambavyo vililipiwa 20,000 vilipelekea ushuru ambao machinga walikuwa wakilipa kwa Halmashauri kufutwa, na badala yake wangelipa hiyo 20k kila mwaka.
Sasa ni miaka 3...
Kingsford na wenzake walikuwa wakijadili mpango wa biashara katika eneo la uvumbuzi na ujasiriamali wa mtandao wa internet la Fuxing City, huko Haikou, mji mkuu wa mkoa wa Hainan.
Kijana huyu kutoka Ghana alianzisha kampuni ya biashara ya kimataifa ya Kingsford ya Hainan mjini Haikou, na kuwa...
Jana nikiwa mapumziko nikapokea Meseji Kutoka TARURA kuwa nadaiwa kiasi cha 6500/= nikatumiwa na Control no ya kulipia , chaajabu kila nikitaka kulipia nakutana na deni tsh 23,500/= nikaamua kusitisha kulipa kwanza, mpaka leo nilipolipa nikakuta ni 6,500.
Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada ! ! !
Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo
Calculator ya TRA sh 13,224,989= (CIF 3,665 USD)
Mbaya zaidi tayari nilishalipia gari iko njiani kwa ushuru niliouona na kuuhakiki...
1.0 Utangulizi
Kipeperushi hiki kinatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri (Magari na pikipiki). Maelezo haya yanazingatia sheria husika za kodi pamoja na Matangazo ya Serikali yaani GN. Na. 520...
Nilikua najichanga angalau niagize BMW X3 ili niokote watoto wa Chuo kiulaini. Sasa kabla sijalipia Be Forward nikasema nichungulie Calculator ya TRA nimekutana na Maumivu yaani BMW X3 ya 2013 (CIF 9,656 USD) mikodi ya watoza ushuru inafika 12m hapo bado port charges etc. Huu ushuru mbona...
Wananchi mkoani hapa wamekuwa wakilalamika ushuru wa kiasi cha sh. elf mbili kwa mwezi wanaotozwa kwa ajili ya taka kwa madai kuwa ushuru huo ni mkubwa tofauti na taka wanazozalisha majumbani.
Baadhi ya wananchi hao wamesema kuwa kwa maisha ya kawaida wanakoishi majumbani wengi hawazalishi...
Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.