ushuru

  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mwembamba akutana na Zakayo mtoza ushuru

    MWEMBAMBA AKUTANA NA ZAKAYO MTOZA USHURU., Ndugu yangu mwembamba nikupe siri kali, ukiwa mkubwa usifanye kama ngosha kuwasumbua sumbua "wanene" wanaokuweka mjini. Ukiwasumbua "wanene" kuwadai kodi ni sawa na kumkumbatia papa nyangumi ndani ya maji halafu utake kumuua,atakuua wewe. Ukiwa mkubwa...
  2. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Zakayo mtoza ushuru na Mwigulu Nchemba kwa ufupi

    Zakayo kwa Kiebrania Zakai(msafi,mnyoofu) alikua mkuu wa watoza ushuru na tajiri, alipata kibali cha kutoza kodi na mapato na kiasi kilichozidi alikiingiza mifukoni mwake. Aliishi maisha ya kifahari na kuponda mali. Zakayo alimsaliti Mungu na taifa lake . Wakati Yesu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Sungusungu Kariakoo wanakusanya ushuru na kutoa risiti ya kuandika na mkono, hii ni halali?

    Kila mwezi tarehe 1 tu wamefika kuchukua chao kila duka huku wakitoa risiti ya kuandika na mkono hii ni halali kweli? Ni Kariakoo hapo, wanatoka ofisi ya Serikali ya mtaa wa misheni kota, yaani tangu nihamie mtaa huu najionea maajabu tu.
  4. Nyamboboy

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa walking tractor(powertiller)

    Husika na kichwa cha mada hapo juu Kwa yeyote anayejua ushuru wa bidhaa hapo juu kwa kuagiza kutoka nje naomba msaada. Natanguliza shukurani
  5. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sera za kodi, ushuru na miundombinu bandarini zinavyozorotesha uchumi wa nchi

    Habari wana JF Napenda kuwashirikisha wanajamii wenzangu juu ya uchumi wa nchi ya Tanzania kudhoofika na kuendelea kukua kwa kiwango kidogo sana kwa kila mwaka ni kutokana na kuwa na sera za kikodi na ushuru ambazo zinawavunja moyo wawekezaji na wafanyabiashashara wengi kupelekea kudorora...
  6. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana

    Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana ama wakati mwingine biashara za Tanzania zinazuiwa kabisa Kenya, ni kwa nini? Kwa anaejua sababu tafadhali
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watoza ushuru wa enzi za Biblia

    Kuna sehemu Yohana aliwahubiria watoza ushuru. Walimuuliza. "Sisi ni watoza ushuru. Unatushauri tufanye nini?" Yohana aliwajibu, "Msitoze zaidi ya kiasi kilichowekwa." Zamani kulikuwa kuna kitu kinaitwa tax farms(mashamba ya kodi). Tajiri anaifuata serikali ya Roma na kuomba tenda ya kukusanya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Vipi vitambulisho vya machinga havina muendelezo? Basi walipe ushuru kwa halmashauri

    Wakuu habari, Kama mnavyojua Rais Magufuli alileta kitu kilichoitwa Vitambulisho vya Machinga mwaka 2019 Vitambulisho hivi ambavyo vililipiwa 20,000 vilipelekea ushuru ambao machinga walikuwa wakilipa kwa Halmashauri kufutwa, na badala yake wangelipa hiyo 20k kila mwaka. Sasa ni miaka 3...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hainan: Kijana Mwafrika anafurahia sera ya kupunguza na kusamehe ushuru ya bandari ya biashara huria ya Hainan

    Kingsford na wenzake walikuwa wakijadili mpango wa biashara katika eneo la uvumbuzi na ujasiriamali wa mtandao wa internet la Fuxing City, huko Haikou, mji mkuu wa mkoa wa Hainan. Kijana huyu kutoka Ghana alianzisha kampuni ya biashara ya kimataifa ya Kingsford ya Hainan mjini Haikou, na kuwa...
  10. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Parking za Magari ni Kero

    Jana nikiwa mapumziko nikapokea Meseji Kutoka TARURA kuwa nadaiwa kiasi cha 6500/= nikatumiwa na Control no ya kulipia , chaajabu kila nikitaka kulipia nakutana na deni tsh 23,500/= nikaamua kusitisha kulipa kwanza, mpaka leo nilipolipa nikakuta ni 6,500.
  11. CONSULT

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada!

    Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada ! ! ! Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo Calculator ya TRA sh 13,224,989= (CIF 3,665 USD) Mbaya zaidi tayari nilishalipia gari iko njiani kwa ushuru niliouona na kuuhakiki...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano TRA idara ya Ushuru na Forodha wanamhujumu Rais Samia

    Inawezekana vipi toka asubuhi mpaka saa 10 hii mifumo ya TRA ya kulipia kodi haifanyi kazi? Hakuna uwezekano kwamba wanamhujumu mama?
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa Ushuru kwa Watumishi wa Umma

    1.0 Utangulizi Kipeperushi hiki kinatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri (Magari na pikipiki). Maelezo haya yanazingatia sheria husika za kodi pamoja na Matangazo ya Serikali yaani GN. Na. 520...
  14. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Kuagiza (import) Magari umepanda Kinyemela?

    Nilikua najichanga angalau niagize BMW X3 ili niokote watoto wa Chuo kiulaini. Sasa kabla sijalipia Be Forward nikasema nichungulie Calculator ya TRA nimekutana na Maumivu yaani BMW X3 ya 2013 (CIF 9,656 USD) mikodi ya watoza ushuru inafika 12m hapo bado port charges etc. Huu ushuru mbona...
  15. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi walia na ushuru mkubwa wa Taka

    Wananchi mkoani hapa wamekuwa wakilalamika ushuru wa kiasi cha sh. elf mbili kwa mwezi wanaotozwa kwa ajili ya taka kwa madai kuwa ushuru huo ni mkubwa tofauti na taka wanazozalisha majumbani. Baadhi ya wananchi hao wamesema kuwa kwa maisha ya kawaida wanakoishi majumbani wengi hawazalishi...
  16. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

    Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkubwa.
  17. Scania 113

    JamiiForums Tanzania Tupeane utaratibu

    Habari za mda huu Nahitaji mchango wenu wa mawazo katika hili ni kwamba nina eneo langu la wazi linatazamana na kituo ch mafuta ambach hakijaa anza kufanya kazi bado hili eneo kama mnavyojua sasa hivi matumizi ya mabanda au vibanda vya biashara ni changamoto sana. Sasa kun wazo nimepewa lakini...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Mtoza ushuru kanipiga elfu 5 Daraja la Kigamboni

    ...
  19. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Iringa-Halmashauri ya Iringa yaanzisha ushuru wa wanaonunua pumba ya kuku

    Halmashauri ya wilaya ya Iringa imeanza kutekeleza ushuru kwa mtu yeyote anayenunua pumba inayotokana ama na mahindi au mpunga kwa kuanzia kg 10 kwenda juu. mtu ambaye hatakuwa na kibali cha kusafirisha hiyo pumba faini yake ni tsh 200,000. Aidha watendaji wameanza kuitekeleza na inaelezwa kuwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko/ Ufafanuzi na Ushauri kuhusu Ushuru wa Maegesho Ilala, Temeke na Kigamboni Jiji la Dar es Salaam

    Ascerics LTD ni Kampuni ya Kitanzania yenye uzoefu mkubwa katika zoezi zima la kukusanya Ushuru wa maegesho nchini Tanzania. Ili kuboresha huduma zetu za maegesho (Parking services ) kwa system mpya ya E-parking katika Jiji la Dar-es-Salaam. Kanda no 2 ambao tunasimamia Ilala, Temeke, na...
Back
Top Bottom