ushuru

  1. Mr Job

    JamiiForums Tanzania Ajira za wakusanya ushuru na wafanya usafi soko la feri

    Ajira za muda za watoza ushuru na wafanya usafi soko la feri, vijana muombe mshahara 300,000 kwa mwezi si haba
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Umepata Mil 180 leo, Haitoshi kulipa Ushuru wa Range Rover ya 2024

    Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse? Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi. Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka zinazokusanya ushuru stendi kuu ya mabasi ya Tabora, hazirudishi chenchi kwa wateja wake. Mteja akienda na Tzs 500 anapewa risiti ya 200

    Harudishiwi kiwango cha fedha iliobaki. Naomba manispaa ya Tabora ilitizame hili maana Kuna Dalila za kuihujumu serikali.
  4. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Parking system: Watoza ushuru wa maegesho wanataka kuniibia au ndio wameshaniibia?

    Nilienda ofisini kwao na kulalamika kwamba wanachaji pesa nyingi kwa siku 6,000/=, Nikapelekwa ofisi ya mhasibu akanambia kuna vifurushi unaweza kuchagua, kidogo vina bei nafuu, basi nikachagua kifurushi cha mwezi kwa 50,000/= ajbu nimelipia 50,000/= na bado kwenye malipo ya kila siku...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watumishi waliowagaragaza raia kwa kushindwa kulipa ushuru wasimamishwa kazi

    Kufuatia video inayosambaa mtandaoni ikionesha Mtu akipatiwa adhabu ya kugalagala chini pamoja na kuruka kichura baada ya kukaidi kulipa ushuru wa halmashauri kwa watumishi wanaohusika na ukusanyaji wa ushuru katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga Mkuu wa wilaya ya Kahama...
  6. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania KERO Ushuru wa maegesho umegeuka kuwa wizi usiotumia mabavu wa serikali dhidi wananchi wake

    Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake. Mawakala wa halmashauri wanaohusika na kukusanya ushuru huo kwa kuvitoza vyombo vya moto vilivyoegeshwa wanafanya hivyo kimyakimya bila kuacha...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mdau – Mpanda: Watoza Ushuru Stesheni ya Mpanda wanapiga dili sababu mizigo ya treni haikaguliwi njiani

    Picha kwa Hisani ya TRC Jamani nawapongeza kwa kupaza sauti na kwa taarifa mnazozitoa Jamii Forums, nyie ndio Chombo pekee cha Watanzania ambacho mnatupa nafasi ya kueleza kero zetu kwa uwazi bila konakona. Naomba nitoe dukuduku langu, Serikali iangalie eneo la Stesheni ya Mpanda, Katavi...
  8. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Huu ushuru wa wajasiriamali upoje?

    Wanajukwaa salam. Wanaotakiwa kutowa ushuru kwenye maeneo wanayotafutia riziki ni wepi Kati ya hawa? Waliopo kwenye maeneo rasmi kama masoko,au waliyo kando ya njia(road reserves) au maliyipo kwenye maeneo ya watu binafsi?
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka wageni wa Kuwait, walipie ushuru wa hewa wanayopumua

    Hii ingesemwa uzunguni, mngesikia makelele hadi kuzimu...hawa waarabu ni makatili sana na mnavyopenda kuwaabudu huku mkivaa mikanzu na kuotesha mindevu mfanane nao... Kuwait MP calls for foreign workers to be charged “for the air they breathe” Safa Al-Hashem is among a group of MPs calling for...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtoza Ushuru wa Stendi ahukumiwa kwa kuomba Rushwa ya Tsh. 150,000

    Februari 15, 2024 kesi namba cc 3998/2024 imeamuliwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni ambapo imemtia hatiani Bw. MOSES JOHN ZIMBA (Mkusanya Ushuru Stendi ya Mabasi Bunju), kwa kosa la Kuomba na Kupokea Rushwa kinyume na kifungu cha 15(1)(a) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa [CAP...
  11. Anonymous

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iko wapi masoko yanakuwa machafu kiasi hiki? Kipindupindu kitatuacha?

    Hali ya masoko kwa kweli ni mbaya sana, yaani unaweza kununua bidhaa ukaharibu viatu na ukapata magonjwa mazingira ya masoko yetu. Kila mfanya biashara analipa ushuru wa kuwepo sokoni, hata hivyo inashindwa kubainika hela zinatumikaje? Mbona masoko machafu hadi yanatia kinyaa, na mengine hutoa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Habari wadau. Kuna huu ushuru ambao watu wenye magari wanalipishwa wanapokuwa wanaingia kwenye fukwe za bahari kwa maelezo kuwa ni ushuru wa halmashauri. Nimemuhoji mmoja wa watoza ushuru ila hapa Mbezi beach ila majibu yake hayaeleweki. Mi ningependa kujua, huu ushuru wanaokatisha kwa...
  13. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Bidhaa kutoka Zanzibar zinatozwa ushuru wa ziada mara zinapofika Tanganyika

    Kwa muda sasa kumekuwa na huu utaratibu ambapo mtu akinunua bidhaa Zanzibar akifika Tanganyika anatozwa tena ushuru (nyongeza) tofauti na ule ushuru wa awali aliolipa wakati wa kununua Kwa mtazamo wangu; Utaratibu uliopo kwa sasa, haunufaishi upande wowote; Zanzibar ndio wana adhirika zaidi...
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Mara paaap ushuru wa kuagiza magari 2024 umeshuka

    Nitafurahi sana. Hasa ukishuka kwa angalau 20%. Huu ushuru wa magari chakavu wa sasa hauna uhalisia. Uzi tayari
  15. Hapana What

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa bandarini ukoje?

    Ninaomba kujua ulipaji wa ushuru wa bandarini ukoje maana nahitaji kuagiza mashine toka China, mashine bei ni $ 2000 dimension zake urefu ni futi 8 upana fut 3 na kimo ni futi 4 lkn nashindwa kutokana na kutokujua gharama ya ushuru bandarini ukoje isije ikawa gharama kubwa zaidi ya mashine...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kufunga minyororo magari yanayodaiwa ushuru wa maegesho mijini ni utaratibu wa ovyo kabisa

    Siamini kabisa kwamba kuna wasomi walikaa sehemu wakajadili na kulipana posho za kikao kwamba: Magari yanayodaiwa ushuru wa maegesho (parking) Yaanze kufungwa minyororo ili kushinikiza wamiliki kulipia tozo hizo. Huu ni utaratibu wa hovyo sana 1. Huu utaratibu ni Hovyo kwasababu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ushuru upoje kama ukiagiza mfano piece 50,000 za container za urine kutoka China

    Naombeni msaada hivi ukiagiza bidhaa online mfano pieces 50,000 za urine container kutoka Alibaba zenye thamani mfano sh. 2500000 ushuru wake hapa bongo unaweza fika shilingi ngapi
  18. P

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie Watoza Ushuru wa Mbeya wanatunyanyasa Wafanyabiashara wa mbao

    Sisi Wafanyabiashara wa mbao tuliopo Mbalizi, Mbeya Vijijini tuna malalamika kuhusu Watoza Ushuru wanaosimama kwenye mageti. Wanatengeneza mazingira ya rushwa kwa kutaka kutupiga faini na kututaka tukate ushuru wa TP (Transportation Permit) mara mbilimbili. Utaratibu uliopo tunaopewa na Wakala...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushuru wa boat

    Ndugu zangu habari za leo? Bila shaka nyote mko salama, wale walio na magonjwa au shida mbalibali mwenye enzi Mungu awafanyie wepesi. Ndugu zangu ninaomba kufahamu kuhusu ushuru wa boat ya uvuvi ya ukubwa wa 15m kwa 3m pamoja na upatikanaji wa vibali vya uvuvi.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Maegesho na penati za Traffic imekuwa kero kubwa Dar es Salaam

    USHURU MAEGESHO + TRAFFIC PENALTY JIJINI DAR VIMEKUWA KERO KUBWA SANA Tunaomba wizara husika ziangalie upya hizi taratibu 1. Gari moja inaweza kuta ina madeni ya miaka hadi 3. 2. Kiwango ni kukubwa mno, madeni yasiolipika. 3. Inaturudisha kwenye tatizo la zamani la Motor Vehicle...
Back
Top Bottom