Ushuru wa maegesho Mijini

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,568
4,233
Nimeambiwa ushuru wa maegesho unakatwa mijini kuanzia saa moja na nusu hadi saa kumi na mbili jioni (07h30 hadi 18h00)

1. Sasa kama ushuru unalipwa kwa Lisaa (shs 500); Kwa nini wasiishie saa kumi na moja (17h00) ili walio lipia wapate muda wa kutumia walicholipia ; hii ni kama tunataka kuwa realistic

2. Napendekeza gari likipaki chini ya dkk 15 lisilipie; kununua vocher, Maji, ATM nk. Wanaweza kuweka mfumo ambao gari likipaki linapigwa picha ambapo mfumo utaruhusu picha ya kulisajili baada ya dkk 15
 
Tuweke mfumo wa mabilioni kwa ajili ya kukusanya mia 50? hao hao wa kina mama wa reflector wanatosha
 
Back
Top Bottom