Wakati Marekani inapoanzisha duru nyingine ya vita vya ushuru na kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa, "jinsi ya kujitupia macho na kufanya mambo yenyewe" imezidi kuwa maoni thabiti ya pamoja ya nchi mbalimbali za Afrika. Rais William Ruto wa Kenya hivi karibuni alisema Afrika inaamini...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS,
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
Tarehe: 11-04-2025
TANGAZO
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO ANAWATANGAZIA WATUMIAJI WOTE WA VYOMBO VYA MOTO (MAGARI, BAJAJI, NA PIKIPIKI) KUWA KUANZIA TAREHE...
Wizara ya Biashara ya China, leo imetangaza rasmi kuwa China imeongeza ushuru kwa bidhaa zote za Marekani kwa 40%
Sasa ushuru utapanda kutoka 85% kufikia 125%
Wakati hayo yakiendelea waziri mkuu wa Spain yupo China kwa ajili ya kuimarisha mahusiano ya kibiashara na uwekezaji kati ya mataifa...
Yule dada mrembo press wa white house karolina leavit.amesema ushuru kwa vita zinazotoka uchina zitaongezeka kwa 20% kutoka 125% na kufikia 145% kwa sasa lkn sio mwisho.
Tunataka turudishe ajira nyumban wamefaidika na sisi kwa muda mrefu hawataweza tena
Naye Trump's akiongea na baraza la...
Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump.
Australia imekataa haraka ombi la China la "kuungana mkono" dhidi ya ushuru wa Donald Trump, wakati Washington inazidisha vita vyake vya kibiashara na Beijing.
Ikulu ya Marekani hivi majuzi ilitoza ushuru wa kuagiza wa...
JUST IN: 🇪🇺 🇺🇸 European Union to impose between 10% and 25% tariffs on US goods.
https://x.com/WatcherGuru/status/1909962445570834677?t=BG_6OJW2HO9f-l2Eos6FPQ&s=19
Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru.
BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods.
https://x.com/WatcherGuru/status/1909925306560885110?t=-ienhln5-MyLFFrJ4DBwBQ&s=19
Kwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.
"Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104%
Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho.
Trump aache kuwazia eti kuna...
Katika kipindi muhimu cha ufufuaji wa uchumi wa dunia, Marekani imetumia tena rungu la ushuru, ikiamua kutoza ushuru ambao inauita "sambamba" kwa washirika wake wote wa biashara duniani, ambapo ushuru wa bidhaa kutoka China utafika hadi 34%. Ikikabiliana na hatua hii ya kimabavu ya wazi, China...
Ushuru wa kuingiza Gari Tanzania uko Juu sana Kuliko Zanzibar, pia Kumiliki gari kama Anasa,ila kiuhalisia gari sio Jambo la anasa Gari ni Chombo Cha usafiri kukutoa Sehemu Moja kwenda Sehemu nyingine.
Kua na ushuru mkubwa sababu ni Nini.
Baada ya malalamiko ya muda mrefu na baadae kusababisha madereva kugoma kulipa ushuru , hatimaye halmashauri ya Jiji la Mbeya imeanza kurekebisha barabara za stand hiyo.
Ni muda mrefu Sasa stand hiyo na Nanenane imekuwa na miundombinu mibovu ya Barabara.
Halmashauri ya jiji jitahidi kufanya...
Baada ya China kujibu mapigo kwa nyongeza ya ushuru wa 15% kwa bidhaa za kimarekani baada ya serikali ya Donald Trump kuiwekea ushuru kwa bidhaa za China zinazo ingia marekani athari za majibizano ya nyongeza za ushuru kati ya serikali ya Washington na Beijing za wakumba wakulima wa kimarekani...
Wanaukumbi.
Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha mapigano na amani yafikiwe na Ukraine.
Trump pia amesitisha usaidizi wa kijeshi na ushirikiano wa...
Wiki hii, serikali ya Trump ilitangaza tena kuongeza ushuru wa 10% kwa bidhaa za China zinazouzwa Marekani kwa kisingizio cha suala la Fentanyl na mengineyo, huku pia ikiongeza ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico. Hatua hii sio tu kwamba ilisababisha pingamizi kutoka kwa China na...
Baada yakusitisha kwa mwezi mmoja, Trump kasema Canada na Mexico hawajafanya lolote kuboresha hali ya mipakani. Basi ushuru wa 25 percent kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico umeanza kufanya kazi rasmi. China imeongezewa ushuru kufikia asilimia 20, toka 10.
Waziri mkuu wa Canada ameongea na...
Mimi binafsi napotaka kuagiza gari, nachukua details za ile gari halafu nakuja kukadiria bei ya ushuru kupitia Calculator ya TRA, tuseme napata Mil 12,355,000 kama ushuru.
Unaagiza gari baada ya wiki tatu ushuru unaongozeka kidogo hadi mil 13+ kawaida kabisa kutoka na value ya USD KUPANDA NA...
Kwa wapenzi wa compact SUV kuna haya magari mawili, Mazda CX-3 na Honda Vezel.
Ingawa ni taste mbili tofauti, lakini yanaweza kufananishwa ata kwa udogo.
Mazda CX-3 yeye ana sifa zifuatazo:
Engine: 1.5L SkyActiv-D diesel engine, inatoa power ya 105 hp
Transmission: 6-speed manual au...
Wakuu wazima?
Katika process za kutoa kontena bandarini, naomba mwenye uelewa anifungue macho hapa. Ni kodi zipi na asilimia ngapi hulipwa kwa kontena la 40HQ, mzigo ni machines za kiwandani, rawmaterials na packages.
Itapendeza kama nikipata mchanganuo wa gharama zote.
Natanguliza shukrani..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.