ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi

    Mada: Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi Tanzania ina utajiri mkubwa wa maliasili za nchi, kama vile madini, mafuta, gesi, misitu na wanyamapori. Maliasili hizi zina faida nyingi kwa uchumi, maisha, utalii, tiba...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) hivi karibuni limemchangua tena Qu Dongyu, mgombea wa China kuendelea kuwa mkuu wake. Kilimo ni moja ya nyanja muhimu za ushirikiano kati ya China na Afrika. Qu kuendelea kuongoza FAO bila shaka kutasaidia pande hizo mbili kuimarisha...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania kusaidia kupunguza umaskini

    Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, Mkoani Hunan, sekta ya kilimo ilikuwa ni moja ya maeneo yaliyopewa uzito mkubwa kwenye biashara na makongamano yaliyofanyika sambamba na maonyesho hayo. Licha ya kuwa sekta ya kilimo ni eneo moja...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Majukwaa zaidi ya ushirikiano kati ya China na Afrika yasaidia kuongeza thamani ya biashara kati ya pande mbili

    Wakati wa maonyesho ya 3 ya kimataifa ya Uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika kati ya Juni 29 na Julai 2 mjini Changsha China, wataalamu wa uchumi walipitia takwimu za thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili, ambayo imeonekana kuongezeka kutoka Yuan Bilioni 100 kwa mwaka...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kushamiri kwa makampuni ya usambazaji yanayomilikiwa na watanzania kwaonesha maendeleo makubwa ya ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Tanzania

    Kwenye maonesho ya 3 ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, mkoani Hunan China kati ya Juni 29 na Julai mbili, makampuni ya usambazaji yalijitokeza kwa wingi yakijitangaza kwa wafanyabiashara wanaotaka kusafirisha bidhaa zao kwenda barani Afrika, na hata kwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Watu wanazidi kujionea matunda ya ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Afrika

    Parachichi kutoka Kenya, korosho kutoka Tanzania, kahawa kutoka Ethiopia... katika miaka ya hivi karibuni, bidhaa bora zaidi za Afrika zinazidi kupendwa na wachina wa kawaida; huku barani Afrika, vijana wakiweza kununua bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa China kwenye jukwaa la biashara ya...
  7. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Utawala Bora kwa Kupunguza Ushirikiano wa Kisiasa katika Uteuzi wa Viongozi wa Serikali

    Mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali umekuwa na changamoto kubwa nchini kwetu. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea. Hii imepelekea kuwepo kwa viongozi wasio na uwezo wa kusimamia vizuri masuala ya umma na kusababisha...
  8. JamiiForums Tanzania Uvamizi wa Normandy(6.6.1944)-operesheni kubwa zaidi ya kijeshi ya Ushirikiano(US&UK)iliyosaidia kumaliza Vita vya Pili ya Dunia

    Uvamizi wa Normandy (1944) - Hii ilikuwa operesheni kubwa zaidi ya kijeshi ya Ushirikiano wa Magharibi katika Vita vya Pili ya Dunia. Uvamizi huu wa majeshi ya Marekani na Uingereza ulianza mnamo tarehe 6 Juni 1944, na ulikuwa hatua muhimu katika kumaliza vita hivyo. Uvamizi wa Normandy, ambao...
  9. JamiiForums Tanzania China: Marekani chagua moja unataka vita ama ushirikiano?

    Mwanadiplomasia mkuu wa China amesema chanzo kikuu cha msuguano katika uhusiano kati ya China na Marekani ni "mtazamo mbaya" wa Marekani kuhusu nchi yake. Wang Yi alimwambia Blinken "hakuna nafasi ya majadiliano" juu ya Taiwan, kulingana na taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya China baada ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ushirikiano wa Kimataifa unawezaje kusaidia kupambana na Mabadiliko ya tabianchi?

    Na: Mr Potocal Kwa sababu ya athari mbaya inayoonekana katika kuchukua hatua juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, ushirikiano wa kimataifa unahitajika ili kuleta mabadiliko ya kina ambayo yatapunguza uzalishaji wa hewa chafu na kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na mabadiliko hayo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuimarisha ushirikiano wake na Misri katika sekta za biashara na uwekezaji

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kuimarisha ushirikiano wake na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri katika sekta za biashara na uwekezaji. Hayo yamebainishwa wakati wa mazungumzo baina ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor...
  12. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora chachu ya Maendeleo yasiyokoma

    Utawala Bora ni namna ya kuwaongoza watu katika namna inayofaa,kwa kutumia rasilimali za taifa husika ili kuleta maendeleo katika taifa Hilo. Utawala Bora huchochewa zaidi pale anapokuwepo kiongozi Bora. SIFA ZA KIONGOZI BORA. 1. Mwajibikaji. Kiongozi Bora huyapa kipaumbele majukumu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika katika kudhibiti kuenea kwa jangwa ni wa kutekeleza Mpango wa Maendeleo Duniani

    Tarehe 17 Juni ni Siku ya 29 ya Kupambana naKuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Watuwanasema kwamba China ina karata za turufutatu za kujitangaza, ya kwanza ni reli ya mwendokasi, ya pili ni ya usafiri wa anga za juu, na yatatu ni udhibiti wa majangwa. Ikiwa mojawapoya nchi ambazo zimeathiriwa...
  14. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi Bandari Tanzania na DP WORLD

    Utangulizi Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Maoni ya Kamati Kuhusu Azimio la Bunge Kuridhia Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai Kuhusu Ushirikiano wa Uendelezaji na Uboreshaji Bandari Tanzania

    MAONI YA KAMATI YA PAMOJA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA LA MWAKA 2023 SEHEMU YA KWANZA...
  16. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge litajadili ushirikiano wa DP World na Bandari

    Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema azimio la Bunge kuhusu kuridhia ushirikiano wa uendelezaji na uboreshaji wa utendaji wa bandari Tanzania, litawasilishwa bungeni Juni 10, 2023 kwa ajili ya kujadiliwa na kupitishwa na wabunge. Azimio hilo ni mapendekezo ya kuridhia makubaliano kati ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora ahueni kwa jamii

    Utawala Bora ni namna ya kutumia madaraka ya umma katika kutawala rasilimali kwa njia zilizo sahihi ili kukuza uchumi wa nchi.utawala Bora hujumuisha ukweli uwazi uwajibikaji na ushirikishwaji katika utoaji wa maamuzi. Ili nchi au taifa lolote liweze kupata maendeleo utawala Bora unahitajika...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau katika upelelezi, uratibu na kupambana na makosa hayo

    SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau...
  19. JamiiForums Tanzania Nimepokea shukrani zenu kwa dhati. Nami nawapongeza kwa kuonesha ushirikiano nyie wanawake wa 4

    Nashuwakuru nyie wadada wanne ambao mmewasiliana nami na kunisihi niwapatie Zawadi ya Mimba kama ambavyo nliahidi. Na pia nyie wawili ambao tayari mchakato umefanyika kwa kurudia rudia mara tatu ili mridhike kuwa imeingia kama mlivyotaka. Kwa sasa Tuanze tu kusubiria matokeo. Kama msipokuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya, Uganda zaomba kuandaa AFCON 2027 kwa ushirikiano

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepokea maombi kutoka nchi sita zinazowania uenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 ikiwemo Tanzania. Jumla ya waombaji sita wamefanikiwa kuwasilisha maombi yao ambao ni Algeria, Botswana na Misri huku Kenya, Uganda na Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…