Ligi kuu Soka Tanzania Bara imeendelea kutimua vumbi hii leo katika Dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam ikiwakutanisha Simba dhidi ya Kagera Sugar
Simba imeondoka na ushindi mnono wa Bao 2-0 ,ambapo magoli hayo yamefungwa na J.Bocco kwa mkwaju wa penati katika Dakika ya 42, na goli la pili...