Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii...
Mhe, Rais, Mhe. Palagamamba M.A. Kabudi waziri mwandamizi katika serikali yako mwaka 2012/13 katika viunga vya Nkurumah Hall chuo kikuu cha Dar Es Salaam, alitoa ushauri huu juu ya katiba Mpya,
Mhe. Rais, Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, na kiongozi mwandamizi katika serikali yako na sasa ni...
Habari wanajukwaa.
Kwa muda kidogo nimekua nikifuatilia sana biashara ya juice na maziwa imekua ikinipendeza sana na nataka kuona kama naweza nikaimudu! Naomba msaada wa kujua vitu muhimu vinavyohitajika kwa hiyo biashara na gharama zake kwa ujumla!
Ahsanteni
Clip hii inayomuoneesha Mdude Nyagali akiapa kutumia wembe kumnyoa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (sijui ni kwa namna gani) inaonesha kiwango cha juu cha ukosefu wa adabu wa mhusika kwa mamlaka za nchi na watu waliomzidi umri.
Kauli ya Mdude kwa Rais si tu ni ya kishenzi isiyopaswa kuvumiliwa...
Msaada kwenye tuta
Nina kagari kangu naona rangi kama inafifia ila bado si mbaya sana.
Napenda kujuzwa yafuatayo hasa kutoka kwa mtu ambae ameshafanya polishing au waxing kwenye gari yake
1. Polishing na waxing ni kitu kimoja au tofauti,
2. Je, mtu akifanya waxing au polishing kwenye gari...
Rafiki yangu mmoja anapiga mtungi kawaida ila pia ni hardworking sana na anajali tu familia yake fresh, shida yake sometimes akipiga mtungi na anaweza kupita na yoyote then kesho anaanza kujuta.
Juzi kati akapita na jimama flan hivi kitaa baada ya siku kadhaa dalili za gono hizi hapa ikabidi...
Nawasalimu nyote.
Kwanza kabisa serikali mnafanya mengi mazuri.
Kuhusu suala la kupanda kwa bei ya petroli imekuwa pigo kubwa kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri kitu ambacho kinaumiza wengi.
Tanzania tuligundua gas nyingi huko kusini mwa Tanzania.
Nashauri serikali ianzishe na kuongeza...
Habar wana jf na wataalam wa afya kwa ujumla.
Nina mgonjwa kwa miezi 3 amekuwa akigugumia maumivu bega la upande wa kulia. Naomba ushauri wenu please kwani nimejaribu sana kumpa mazoezi ya kawaida na massage lakin juhudi hazijazaa matunda
Habari zenu ndugu.
Ninaye kijana wangu ambaye anaelekea kuhitimu masomo ya sekondary na amekuwa akichukua masomo ya biashara kulingana na uwezo wake... japo kama mzazi nilipenda achukua masomo ya Sayansi ila yeye akapenda biashara kwa hiyo nikamsupport.
Sasa kwa mliopitia masomo ya biashara...
Rafiki yangu mpendwa,
Ushauri maarufu sana inapokuja kwenye swali la kazi au biashara gani mtu afanye umekuwa ni mtu afuate shauku yake.
Watu wamekuwa wanashauriwa wafanye kile wanachopenda na mafanikio yatakuwa yao.
Ushauri huu umekuwa unafanya wengi waamini kwamba kama bado hawajafanikiwa, ni...
Habar JF..!
Mimi ni kijana, namaliza chuo mwaka huu katika kujibana bana nimeambulia 1.2m. Siku zote kwenye maisha kuomba ushauri ni njia mojawapo wa kujifunza hivyo basi wana JF naombeni mnishauri biashara gani naweza kuifanya na ikanipa chochote kitu kulingana na hali ya sasa.
NB: Mimi kama...
Hawa ni lile kundi ambalo mimi nimelichana hapa JF hivi karibuni, lina mambo ya hovyo sana. Hili kundi linachangishana pesa huku likitoa maneno ya kashfa kwa mkuu wetu. Nina wasiwasi wana lengo la kuzuia haki isitendeke.
Vyombo vya kisheria na vya kidola viwakamate, viwahoji na ikibidi...
USHAURI NA MAONI YANGU KUHUSU BANDARI YA BAGAMOYO.
Ilikuwa Octoba 21 katika taarifa ya habari ya Channel Ten nilimsikia Mgombea Urais wa Ukawa,Mh Edward Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo, Alisema haoni mantiki ya...
Ndugu zangu kutokana na wingi wa abiria wa usiku, na uchache wa mabasi yafanyayo safari mda wa usiku, kuepuka ajali kama ya Costa ya Morogoro jana, napendekeza TRA waweke tozo ya gari ndg (IT) kulipia tsh 30,000/; na gari Kama Noah tsh 50,000/ Costa tsh 80,000/; wapewe kibali kupakia abiria...
Kuna mama mmoja anaitwa Aisha aliolewa na Mtanzania mwenye asili ya Kioman mwaka 1979 huyu Aisha aliwakuta watoto 4 kwa huyu mumewewakiwa na umri miaka 6 wengine miaka 5 yaani bado wadogo waliozaliwa kwa wanawake wengine walioachwa.
Huyu Aisha alipoolewa aliwalea watoto hao kama watoto wake na...
Ikiwa ni jioni tulivuu, nimeshamaliza kazi zangu na ninatafakari kuhusu maisha yetu ya kila siku.
Ukweli ni kwamba maisha haya ya duniani SOTE TUNAPITA jamani! Hakuna atakayeishi milele! Na kwa wale tunaomwamini Kristo tunajua kwamba kule MBINGUNI tukibahatika kufika kazi ni kusifu na kuabudu...
Kaka yangu anayeishi Tabora yuko kwenye ndoa kwa miaka 10 sasa!
Mwaka jana alifanikiwa kuongeza biashara zake!Tatizo linaloisumbua familia ni kuwa kila kipato kilipokuwa kikiongezeka na tabia ya shemeji imebadilika sana!Heshima hakuna tena!Kaka anapigwa na mkewe Kama mtoto!
Ndani hakuna...
Habari Wadau,
Mimi ni mfatiliaji mkubwa sana wa Sports Arena. Ninaamini ni kipindi kuzuri sana cha michezo na kina wachambuzi wazuri sana kama kina George Ambangile, Edo Kumwembe. Tatizo liko kwenye watangazaji wao wakiongozwa na Maulid Kitenge na Yusuf Mkule:
1. Kuwa Biased
Wako biased sana...
Kwanza napenda kuwapa hongera, hongereni sana kwa wote mlioteuliwa kuwa maDC nendeni mkachape kazi.
Wote mlioteuliwa mimi nawafahamu vizuri ni vijana mnaojituma sana kwenye jamii. Jamii inawafahamu jinsi mnavyotumia akili na uwezo wenu kwa weledi katika utafutaji na ujasiliamali mbalimbali...