ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ameniacha na hofu hapa, sijamuelewa kabisa

    Jana Xmas day mida ya jioni kuna demu wangu(mmoja kati ya watatu) aliniseti mapema kuwa atakuja geto kuzugazuga tuh coz hana pakwenda hadi mishale flani atarudi kwao, Yap ratiba ilienda kama ilivyopangwa (namshukuru sana kwasababu alinisave kinoma 🙏) na hata msosi alishakula kwao. Kuhusu...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwaelewa wanaume au wanawake kwenye mahusiano

    Kumuelewa mwanamke ingia kwenye mahusiano na wanawake wengi kadri uwezavyo, hii itakusaidia kukutana na maumivu ya kila aina yanayosababishwa na wanawake kwenye mahusiano na hivyo kuwa sugu na kuona ni ya kawaida. Wanawake hawataacha kuwaumiza wanaume njia pekee ya kuwaelewa ni kuhimili...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujenga nyumba ndogo pembeni kabla ya kumalizia nyumba kubwa

    Wakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi kumaliza. Kuna wadau wamenishauri ili nitoke kwenye upangaji basi nijenge chumba kimoja na sebule...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mbowe, Jumapili ya kwanza baada ya kutoka Mahabusu/Jela, itumie kushiriki Ibada katika kanisa la Mzee wa Upako

    Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo. Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Polepole hamia CHADEMA ili urejeshe heshima ya CHADEMA kama chama kinachopinga ufisadi

    Enzi za Dk Slaa Chadema yetu ilikuwa na heshima kubwa kwenye jamii yetu kama chama cha ukombozi ambacho kinapinga ufisadi na maonevu ya kila namna. Happa kati tulipoteza muelekeo na kuyumba kisiasa. Tunatakiiwa kuwa na mtu kama Polepole ili kurudisha heshima ya chama chetu kama chama...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Ndugu Mchengerwa (Mbunge)waziri wa Utumishi

    Habari Mhe Waziri , Mohammed Mchengerwa ,Kwanza ni kupongeze Kwa uteuzi wako ,kazi unaenda nayo vizuri ,kuna maeneo kidogo ningependa kushauri ,JF ni kioo cha jamii kitumie katika kujirekebisha. Ni ukweli usiopingika umekua mtetezi wa Watumishi wa UMMA ukitamani kila mtumishi apate haki yake...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri katika wazo hili la kibiashara

    Wakuu habari? Nina hili wazo la kufungua youtube channel ambayo content yake itakuwa mambo ya ujenzi lakini kabla ya kulitekeleza, naomba nipate mawazo yenu yatakayonisaidia nisipate hasara. Timu yake itakuwa kama ifuatavyo:- Mimi mwenyewe (CEO/chairperson)- kazi yake ni kutoa miongozo...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika

    Habari ndugu Ujue wahenga husema mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua, mimi ni muhitimu wa ngazi ya diploma ya uongozi(PA) sijawahi kufanya field yeyote. Miezi 2 Sasa nahangaika kutafuta field katoka maofisi nimeshatuma takribani kampuni 10 na sijapata jibu lolote, nimeomba...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri masuala ya kijeshi yabaki kuwa siri

    Nimekkuwa nikiona katika sherehe muhimu za Kitaifa majeshi yetu yanaonyesha vifaa vyao vya kivita na umahiri wao katika fani zao. Katika sherehe hizi tunakuwa na wageni mbalimbali na wengine wametoka nje ya nchi yetu na huwa wanashuhudia yote yanayofanywa na majeshi yetu katika sherehe hizi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia kwa Rais Samia

    Mh. Mbatia analiona jumba bovu: Siyo siri wanaomtakia Mama mema, maoni yao si tofauti na haya.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu Kuhusu Miradi Inayojengwa na Msaada wa Fedha za COVID-19

    Nimekuwa nikiona kupitia luninga jinsi viongozi wa Kata, Tarafa, Wilaya, Mikoa na hata Taifa wanavyohangaika na kukamilishwa kwa miradi hii. Walipewa agizo kuwa miradi hii iwe imemalizika katika muda wa miezi mitatu. Mimi binafsi natofautiana na agizo hili. Kwa Mhandisi anayejua maana ya ujenzi...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia; Azingatie bodi mbili tofauti kuendesha TPA na napendekeza "two tier board of directors"

    Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Kwanza pole na majukumu makubwa ya kuongoza taifa hili, au nchi hii na bila shaka umethibitisha kwamba nchi hii ni ngumu. Moja ya mambo mazito yanoisumbua nchi hii ni uwajibikaji na baadhi ya wananchi kupenda kupata bila jasho au kupiga kama ambavyo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kutumia madawa vizuri na ushauri vimenisaidia kuishi maisha ya kawaida licha ya kuambukizwa HIV

    Na Ronald Mutie Edith Nyambura ni mama wa watoto wawili haoni haya wala kuogopa kuelezea hali yake ya HIV. Alifahamu kuwa ana virusi vya HIV kuanzia mwaka wa 1998, lakini alianza kutumia dawa mara moja na kupata ushauri nasaha kuhusu jinsi ya kuishi na virusi hivyo. Wakati dunia ikiadhimisha...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

    Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
  15. JamiiForums Tanzania Nilimwambia nakuona wewe ni mke wangu mtarajiwa, akanijibu eti anajua huwa tunataniana

    Nina mdada ambaye nimetokea kumpenda sana kiukweli huyu dada nampenda sio kidogo Nimekua nikimwambia mara kwa mara lakini yeye anachukulia kama mzaha wakati mwingine anakua kama anaeleweka wakati mwingine ananichukulia kama rafiki yake sielewi elewi mimi Nimeshiriki nae tendo mara 2 but tatizo...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi

    Kwa mambo mazuri na makubwa uliyoyafanya huko 'Isles' uliko kama Rais wao na 'Mikakati' kabambe ya Maendeleo kuelekea kuifanya Zanzibar kuwa Dubai ya Afrika Mashariki kama GENTAMYCINE nakushauri acha kuwa na nia ya kuja kuwa Rais wa 'Mainland' kwa ama 2025 au 2030 tafadhali. Rais Dk. Hussein...
  17. JamiiForums Tanzania Niko katika Njia panda sijui nichukue kipi kati ya hizi course

    Habari za Jioni hii ndugu WanaJf wenzangu. Natumaini mko poua kabisa na mko katika mapumziko baada ya kazi za siku nzima. Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja. Niko katika Njia panda sijui nichukue kipi kati ya hizi course. Kwa ufupi mimi nimwajiriwa kwenye shirika la umma ambaye nimesomea...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kutenganisha mtaji na faida kwenye biashara Ili iweze kukua

    Rafiki yangu mpendwa Huwa kuna kichekesho kinachosema kila biashara huwa inalipa ukiwa unasimuliwa. Lakini unapoingia ndiyo unakutana na uhalisia ambao hukusimuliwa. Kichekesho hiki kina ukweli nusu na ukweli wenyewe ni kila biashara huwa inalipa, ila inategemea na namna ambavyo mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mwanaume wa miaka 35

    Habari zenu Thinkers. Kwa mwanaume aliefikia miaka 35. Je Ushauri gani unaweza mpatia. Kuwa free kwenye maeneo yote ya Maisha. Afya, Uchumi, Social, Spiritual. Karibuni sana.
  20. JamiiForums Tanzania Wana JF njooni mnipe ushauri naangamia

    Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna mwanamke wa mtu hapa mtaani ananipenda sana anasema yupo tayari aachane mumewe ili aje kwangu na ukiangalia mumewe ni mwanajeshi na mimi nimemwambia tuachane kaa na mmeo ila hataki ameniganda na mimi naogopa mke wa mtu sumu... Nifanyaje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…