Bibi yangu
Huku Mtaani Kuna hasira inafuka sijawai kusikia wala kuona.
Siku hiyo ya 9 December sidhani kama kuna polisi, jeshi au nguvu yoyote itaweza kuzima hasira walizonazo watu wa mtaani huku. Swali inabidi kujiuliza siyo je watatoka?
Swali ni je itakuwa mbaya kiasi gani?
Itakuwa...
Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa...
Za asubuhi
Sisi wengine umri wetu ni mdogo sana na tunapenda maendeleo na amani kwenye nchi yetu itawale na tupate mafanikio na kutimiza ndoto zetu kama nyinyi wazee na viongozi vijana mliopo serikali na popote pale mnapotoa huduma na kujipatia ridhiki.
Kwahali inayoendelea kwasasa nchini sio...
Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa...
Umekuwa Jaji Mkuu ambaye angalau Watanzania walikuwa na imani katika utendaji wako. Ulipewa heshima unayostahili na kwa kiasi fulani uliilinda.
Samia anataka kukutumia ili usafishe maovu yake na damu za raia alizomwaga kwa sababu ya uroho wa madaraka! Usikubali! Mikono ya Samia imejaa damu za...
Wakuu Mungu ndo kila kitu kwangu na ananijua vizuri nje na ndani , nami nashukuru kwa kila jaribio kwangu.
Vijana wangu walienda salimia siku ya tarehe 27 huko Misumi kwa siku mbili kwamba warejehe nyumbani tarehe 29 , ikiwa ni pamoja na kutimiza haki zao za kikatiba ,mpaka wanaagq iyo siku...
Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest
Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k.
Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
Kila kitu kitakufa Wazi.
Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !.
Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako.
Haw wasengee wameua sana
Usiweke mipango mingi ya maisha
Usiwe na mategemeo mengi maishani
Watu wanakufa na mipango Yao kibao
Furahia kila siku ya maisha yako
Tunaishi kila siku siku tunakufa siku moja
Kwako,
Rais wa JMT,
Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan,
Awali ya yote nachukua nafasi huu kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa kutujalia afya njema na uzima mpaka muda na wakati huu.
Mhe. Rais, ni heshima kubwa kwangu kukuandikia maoni na ushauri wangu katika kusukuma mbele...
"MIMI NASHAURI SIKU YA UHURU MWAKA HUU SERIKALI ITOE TAMKO SIKU HIYO HAKUNA MTU KUTOKA NDANI KWA USALAMA ZAIDI," Oscar Oscar
Mimi ni Mjumbe tu na Mjumbe hauwawi, hivyo kama una Mihasira yako ipeleke kwake Oscar Oscar na tusichoshane.
Kwenye maandamano ya tarehe 9 CCM wasijaribu kutumia ile mbinu ambayo walitumia tarehe 29 watakuwa wamekosea sana na pia watakuwa wamejiingiza kwenye matatizo makubwa sana ambayo kuyazima
Itachukuwa mda sana
Unajua kwanini
Kilichotokea tarehe 29 kiliwapa watu picha halisi ya kujua upande wa...
Kimsingi mzizi wa fitna (root cause) ni au umeanzia serikalini.
Haiwezekani watu wote hao wakawa wamekosea harafu viongozi ndio mkawa sahihi.
Hadi hayo yote yanatokea serikali ilikua wapi? maana ndie viongozi! wanaotegemewa na wananchi.
Kutokua muwazi kunaweza kusababisha suluhu isipatikane...
Wanabodi
https://youtu.be/WHZeDbvn4jw?si=-yv4XzIrf54tMBsU
Hii video ya Mama Niffer akimuombea msamaha mwanae Niffer, kama una machozi ya karibu, lazima itakutoa machozi!.
Kwa jinsi anavyomzungumzia mwanae Niffer jinsi alivyo ni nguzo na tegemeo la familia yao, yeye ni mgonjwa, tegemeo lake ni...
Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe.
Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia, sasa baada ya hapo mwanaume...
Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina 🙏. Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu, tutakufa tunaacha vyote hapa duniani tupendane tuu ndugu.
Sasa, nilifanya mtihani wa kidato cha...
Kwa hali ilivyo, miili ni mingi sana, kampeni ya kuiharibu itakuwa mbaya sana sana.
Kubalini mmekosea, itisheni Maziko ya Kitaifa, tengeni siku maalum na eneo maalum ili Vijana hawa wapate maziko ya heshima.
Mnachokifanya sasa kuficha maiti hizi ni nyingi, hamtaweza. Itakuja kuwa evidence...
Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania.
Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha.
Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo...
Nawashauri CCM na Samia kusitisha uchaguzi, kupendekeza iundwe serikali ya mpito ikiongozwa na jaji Warioba, kuwaomba radhi watanzania na kutubia ili mambo yaishe. Mmeshindwa, mmekataliwa na mmeona wenyewe. Shukrani kama mtasikiliza na kuzingatia ushauri huu mfupi na muhimu katika wakati huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.