AMKA NA HII: Najua kuna kakitu wanawake wanaambiana “Ukitaka kujua kama anakupenda wewe muombe pesa kwanza kama akikupa basi yuko siriasi na wewe!”
Hapana, haipo hivyo, hata wale wanaojiuza nao wanaomba pesa na wanapewa tena nyingi tu kuliko hata walioolewa lakini hakuna upendo. Unawapoteza...