Ushauri wa kitaalam unahitajika

dracular

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
737
1,036
Habari za majukumu ndugu wajumbe wa JF.

Pasi na kupoteza muda niende kwenye maada moja kwa moja.. Ndugu yenu nipo kwenye njia panda.. je, ni yupi anaweza kuwa mke bora kati ya hawa wawili?

1: Binti mwenye umri wa miaka 23 ambae ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu.. she is nice ila nahisi bado ana mambo mengi.

2: Single mother mwenye umri wa miaka 28 mwenye elimu ya kidato cha nne.. She is beautiful ila nahisi ana kaujeri flani hivi.

Wadau hebu nipeni ushauri kati ya hawa yupi anaweza kuwa bora kuliko mwenzie?

Nawasilisha kwenu..🙏
 
Mkuu, Maelezo yako hayajitoshelezi kuweza kutoa USHAUR utakaokufaa,

Sababu zao ulizoleta nyingi ziko kihisia zaidi kuliko uhalisia
 
Subiri wataalam waje wakwambie "mwenye chura ndo anafaa".

Jokes aside, mke mwema hataftiwi vigezo mtandaoni, a good wife anategemeana na wewe na misingi yako binafsi. Pia ni kutokana na uwezo wake wa kulea familia maana mtakapoanzisha familia atakua anahusika kwenye mambo mengi.

I think ungetueleza kwa kina kuhusu wewe kwanza before hatujaconfirm yupi ni bora. Maana unaeza kuta wote ni bora lakn wewe dishi linasomea pwani huko ukaishia kuharibu na kuleta uzi wa malalamiko baadae.
 
Oa unayempenda na utayehisi mnaweza kuvumiliana mapungufu yenu, sisi hata tukikuchagulia hawataishi nasi
 
habari za majukumu ndugu wajumbe wa jf..
pasi na kupoteza muda niende kwenye maada moja kwa moja..
Ndugu yenu nipo kwenye njia panda.. je ni yupi anamezwa kuwa mke bora kati ya hawa wawili?
1: Binti mwenye umri wa miaka 23 ambae ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu.. she is nice ila nahisi bado ana mambo mengi..
2: Single mother mwenye umri wa miaka 28 mwenye elimu ya kidato cha nne.. She is beautiful ila nahisi ana kaujeri flani hivi..
Wadau hebu nipeni ushauri kati ya hawa yupi anaweza kuwa bora kuliko mwenzie?
Nawasilisha kwenu..
Oa mwanamke anaekupenda
 
Wote wako safi isipokuwa , huyo wa single hakikisha mzazi mwenzie kafariki na usikubali bila death certificate na picha ya kaburi, huyo wa 23 angalia kama ni mcha mungu na mpe muda muendelee mwaanamke anafaa kuwa mke kuanzia 26 + wao foolish age inaenda hadi 25
 
habari za majukumu ndugu wajumbe wa jf..
pasi na kupoteza muda niende kwenye maada moja kwa moja..
Ndugu yenu nipo kwenye njia panda.. je ni yupi anamezwa kuwa mke bora kati ya hawa wawili?
1: Binti mwenye umri wa miaka 23 ambae ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu.. she is nice ila nahisi bado ana mambo mengi..
2: Single mother mwenye umri wa miaka 28 mwenye elimu ya kidato cha nne.. She is beautiful ila nahisi ana kaujeri flani hivi..
Wadau hebu nipeni ushauri kati ya hawa yupi anaweza kuwa bora kuliko mwenzie?
Nawasilisha kwenu..

Nani kakwambia nina mambo mengi??
 
Yaani uache demu safi uchukue single mother yaani huyo ni chaguo la mwisho katika quality mbovu ....Baada ya mwanamke mchawi anafuatia single mother.
 
Back
Top Bottom