ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri na msaada

    Umuofia kwenu, Nina kakibanda kangu huko mjini Kerege sasa wakati napiga gharama mbali mbali nikajikuta mambo yamekua mengi na mzigo (pesa inakata) na wakati huo nilikua tayari nishalipia pesa za bati kiwandani, ila gharama za mbao zikazidi. Baada ya kushauriana na fundi na kumueleza hali...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa uongozi wa Yanga

    Kuna tetesi za Feisal kuondoka kwenda Azam, kama lina ukweli basi atakiwe kila la kheri maana mpira ni ajira. Ila napendekeza uongozi ufanye replacement yake kwa kumchukua mchezaji fundi kutoka Singida big stars atatufaa sana. Hasa ukizingatia tunaelekea kwenye michezo ya makundi Shirikisho CAF.
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaotaka Kumiliki nyumba za kuishi mwaka 2023

    Imekuwa ni ndoto ya wengi kumiliki nyumba ya kuishi hasa kwetu sisi watanzania. Ndoto hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali. Kwenye kipengele hiki cha kumiliki nyumba ya kuishi nimekuandalia somo ambalo nimeona litakusaidia sana sana kuhusu nyumba ya kuishi. Ninafahamu kuwa ushauri huu sio...
  4. JamiiForums Tanzania NAOMBA USHAURI: Siipendi na siifurahii kazi ninayolipwa vizuri

    Habari zenu. Iko hivi Kuna muda naweza nikawa naifanya kazi fulani ingawa nalipwa vizuri Ila Sina furaha kabisa pamoja kuwa nalipwa hela nzuri kulingana na mishahara ya hapa tz. Sasa bwana Kuna kazi nikiwa nalipwa kidogo ama hata nisipolipwa nakuwa naenjoi kinyama mno yaani mno kuifanya.yaani...
  5. JamiiForums Tanzania USHAURI: CCM iwe na Katibu wa Itikadi na Uenezi upande wa Bara na Makamu wake atoke visiwani

    Nimefuatilia sinema inayochezwa na CCMbara nimegundua kuna umuhimu wa kuwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wawili kwa kila upande wa seriksli zote mbili. Kwa sasa ukifuatilia sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. CCM upande wa bara tumepiga na kitu kizito itakapofikia muda wa kutoa...
  6. JamiiForums Tanzania UTATOA USHAURI MTU ANUNUE GARI GANI

    Habari wana jf tujadiri kidogo wataaramu wa magari na watu ambao mshawahi miliki magari ni ushauri upi utautoa kwa mtu ambae anataka kununua gari ya kutembelea na isiozid 25m,ni gari gani anunue na kwanini
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

    Habari wana jf, Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 . Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera Sugu kwa kuwa msikivu, na mliyompa ushauri wangu kutoka JF mbarikiwe, ujumbe umefika

    Inaleta faraja pale unapoona ndugu au rafiki anapotoka ukamrudisha kwenye mstari naye akakubali kurudi kwenye mstari. Nilimshauri Joseph Mbilinyi Sugu hapa JF aachane na tabia za wavulana...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

    !
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 kuendelea uwe wa madiliko, tutoe ushauri, maoni na maelekezo kuliko kulaumu, kushambulia na kushambuliana

    Salaam great thinkers. Vurugu zimekuwa nyingi mno kwenye jukwaa au majukwaa.Minyukano mawe mkononi kulaumiana we unajua we hujui kitu maneno makali makali we mpumbavu tu hujui kitu mi ndo najua we hujatembea duniani ngumi mkononi mateke. Kifupi ni vurugu tupu majukwaani mwisho wa siku...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kabla mwaka haujaisha tuwashike mkono wenye shida, Upendo na Maombi mtambuka

    Katika hali ya kuishi umungu ndani yetu na kumuishi mungu wetu, Kwa rehema zake tukajae mioyo ya huruma na upendo, tukawashike mkono enye shida mfano wagonjwa hospitalini Kwa chochote kile, iwe pesa, iwe chakula etc. Sambamba na hilo pia tusiwasahau wajane, yatima na wasiojiweza kama wenye...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Morocco atoa ushauri kwa Afrika

    Kocha wa timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui mzaliwa wa Ufaransa ameitaka Afrika kuachana na dhana au fikra ya kufikiria kucheza mechi tatu tu kwenye mashindano ya kombe la dunia na kupigana dhidi ya hiyo fikra
  13. JamiiForums Tanzania Nimewapa ushauri shemeji na dada wasipofuata shauri yao wenyewe, mimi nimejivua

    Jana wamerudi wamelewa. Na dada anamfokea shemeji kama mtoto. Nikajiwa na busara kuwa hapa nisipokuwa makini tunaweza siku moja fukuzwa shemeji akichoka kiburi cha sister. Basi nikamtuma hausigel awaite. Baada ya saa moja wakaja.(walinikwaza sana yaani saa moja kutoka tu room kuja sebuleni)...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nianze degree nyingine au niendelee masters then PhD

    Mods naomba msihamishe huu uzi kwenye hili jukwaa naona ndo nitapata msaada kirahisi. Ndugu WanaJF nilikuwa naomba ushauri Mimi nimesomea shahada ya uhasibu na fedha ila nawaza kusomea Mambo mengine maana nna interest na Mambo ya uhandisi, nawaza nianze diploma ya engineering then degree hasa...
  15. JamiiForums Tanzania Ninaombeni ushauri, kila ninachowaza kujikomboa kiuchumi sifiki mbali

    Hi wote, Mimi ni mdada nina umri wa miaka 34. Tatizo langu kubwa ni kustuck. Yaani kila ninachowaza kufanya kujikomboa kiuchumi sifiki popote. Ninawaza mno ila nimestuck. Hapa ni saa 9 usiku usingizi umekata nawaza tuu. Sina mtaji, sina chanzo chochote cha kupata hela niweze kufanya biashara...
  16. JamiiForums Tanzania Nahisi harufu ya mlenda pori chooni

    Hellow guys Leo nimetoka gym muda sio mrefu nimefika nimeangalia tamthilia yangu pendwa two brothers. Baada ya kuisha nikaenda kuoga nimefika chooni nahisi harufu ya mlenda pori achana na mremba wa majani ya maboga ule mlenda pori unanukia balaa nikaona nikaoga nikamaliza Sasa hapa bado...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia kata deal mapema na upinzani kabla ya mazito kuja!

    Nilishauri haya mwaka jana lakini naona kama Raisi anachukulia ukarimu wa Mbowe vibaya na kumweka kwenye wakati mgumu kwa kukaa mwaka mzima bila kuanza mchakato wa katiba. Jaji Mutungi hakuna mtu hata mmoja anamwamini !! Raisi Samia msifanye watu watoto ! Je Mnataka katiba au mnataka kufanya...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ndoa kwa wanaowaza kuoa mke mmoja au kuoa mke zaidi ya mmoja. Uzoefu ni mwalimu mzuri

    Declaration of interest: ======== mleta mada hii ana wake watatu ambao ni marafikiri na wanashirikiana na kusaidiana kwa karibu sana. ======÷== Facts 15 kuhusu ndoa ukizitumia zitakusaidia. 1. Ndoa japo ya mke mmoja, kwa mwanaume ni kujivika majukumu. Kama haupendi majukumu usioe, kama...
  19. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kumhamishia Mwanafunzi kabla selection za Shule hazijatoka?

    Mtoto kafanya mtihani wa darasa la Saba mkoa X, kwa sasa amehamia kimakazi mkoa y, kafaulu kwenda kidato cha kwanza. Je, inawezekana kumhamishia huku aliko kabla selection za Schule hazijatoka? Yaani selection zikitoka apangiwe shule huku aliko badala ya kule alikomalizia drsa la 7? Naomba...
  20. JamiiForums Tanzania Kongamano la Mwamposa Arusha, naombeni ushauri wa biashara ya kufanya

    Habarini, Nimepata kibanda (eneo la biashara) katika kongamano la Mwamposa litakaloanza siku ya Alhamisi - Jumamosi katika viwanja vya Kisongo Magereza. Bidhaa gani zipo hot sana niweze kucheza na hii fursa? Karibuni wenye uzoefu na hii kitu. Ahsanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…