ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Waku za sahizi asee nimekuja hapa kuomba ushauri wenu kidogo kwa ambae atakuwa na wazo zuri Picha inaanza mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 20. Changamoto yangu ni kuwa mapumb* yangu ni makubwa sana wakuu inaniwia vigumu hata nikifanya mazoezi hasa hasa ya kuruka maana yanakuwa yananesa nesa...
  2. JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri wizara ya elimu

    Hope Wana Jf wote ni wazima, Napenda kushauri wizara ya elimu, ni Wakati sasa kuruhusu, wanafunzi pekee wenye ufaulu wa daraja la kwanza tu ( kidato Cha nne na Cha sita), kuruhusiwa kusoma taaluma ya ualimu kwa level ya diploma na degree Kwanini? Ni wakati sasa wale ambao ni Best...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu deni langu lililobaki Loans Board

    Wakuu, nilikua na mkopo wa heslb kama 13m hivi, nimelilipa wee mpaka limebaki 2.8m, sasa naona linanikera tu coz haliishi pamoja na juhudi zangu za kulipa nilizonazo. So nafikiria kutafuta hiyo balance yote iliyobaki kutoka vyanzo vingine vya mapato nilipe hilo deni then mimi nibaki nadaiwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha Podcast, naombeni ushauri

    Habari, nina mpango wa kuanzisha podcast. Naomba ushauri wowote utakaonisaidia kufikia amza yangu hii. Najua nahitaji vitu vya kurekodia, ni vitu gani basic natakiwa kuwa navyo na gharama zake zipo namna gani? Wapi naweza kupublish na kupata wasikilizaji wengi wa Tanzania? Platform hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Hataki kuolewa na mimi, anaogopa kuchekwa kuolewa na "asiyesikia"

    Wadau naomba msaada wenu. Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia. Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema...
  7. JamiiForums Tanzania Wakubwa, hivi ni sawa kumtafutia mke wako dereva?

    Wakubwa mimi BabaMorgan bado ni mdogo kiumri na kifkra naomba kujuzwa na ninyi wakubwa zangu, imekaaje kumtafutia mke wako dereva wa kumuendesha, tena kwenye gari ambayo ni full tinted? Kwa mtazamo wangu ni kuyatafuta matatizo.
  8. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani muhimu zaidi katika maisha?

    Kuna wakati mmoja katika kijiji kimoja, kulikuwa na bwana mmoja tajiri sana. Aliishi katika nyumba kubwa, alikuwa na magari mengi na alikuwa na kila kitu alichotaka. Lakini, hakuwa na furaha. Alikuwa na watoto wawili na mke, lakini hakuwa na muda wa kuwasiliana nao na kushirikiana nao kwa sababu...
  9. JamiiForums Tanzania Wananiandama kisa kanizidi miaka mitatu, niendelee na mpango wa kukamilisha uchumba?

    Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili, Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema kwenye mapokezi ya Lema

    CHADEMA wanapaswa kuweka mbele agenda yake ya katiba mpya kila wanapopata nafasi. Ni vizuri leo katika ujio wa Lema wawe na mabango makubwa ya katiba mpya. Mapokezi ya Lisu sikuona pia mabango ya katiba mpya. Matokeo yake wanaonekana wanajikita zaidi kwenye watu kuliko agenda. Ni vizuri...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Miguna Miguna na ushauri kwa wanasiasa Tanzania

    Ushauri wa Miguna Miguna uko wazi. Ya nini kulia lia? Nini kisichojulikana? Atakayeyapuuza asije kudai kaibiwa uchaguzi.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naelekea kuzama penzini

    Wadau, habari zenu. Ni mtumishi serikalini. Ofisini kwetu kuna mrembo mmoja (nikisema mrembo, ninamaanisha mrembo). Huyu dada kwa takribani miaka 4 tuliyohudumu nae hapa kazini, amekuwa akipa heshima ya kaka na mimi nikimuona kama dada yangu mdogo. Sasa kisanga kikaanza, siku moja tukiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka akope hela lakini hataki kuzifata geto

    Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada. Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi, kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei...
  14. JamiiForums Tanzania Naiomba serikali ipokee ushauri wetu kuhusu kuboresha huduma ya mabasi ya mwendokasi

    Lengo la serikali kuwekeza katika mkundombinu iliyotuletea huduma ya mabasi ya mwendokasi ni kupunguza usumbufu utokanao.na foleni kubwa za magari wakati wa kuingia na kutoka mijini. Hasa nyakati za ahsubuhi na jioni. Mimi na baadhi ya wadau tunaamini kuwa huduma hii inapaswa kurahisisha...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpiga X-Ray mke wangu mtarajiwa na ukoo wake

    Habari zenu humu, kwanza tambua ukubwa jalala na kijiji bila wazee ni Jahanam. Week hii ndugu zangu nimeenda kumpiga X-Ray my future wife pamoja na ukoo wake kwa nia tu nzuri, ili tu tujue account ya nani ipo juu. Baada ya X Ray kutoa majibu account yangu ipo juu kuliko ya my future wife kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

    min -me nimetimiza ahadi mada hii hapa..! Kila kitu huwa na mwanzo huwa na chanzo, vijana walianza kulalamika siku nyingi wakitafuta ushauri huku na kule.. Wengi walikatishwa tamaa na aina ya ushauri waliopewa na wakubwa.. Haukuwa na weledi Masaibu yao hasa yalikuwa kwenye vipengele hivi...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

    Habar wakuu, Mimi ni Kijana wa 23 nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kiukweli nilimpenda sana, ilikuwa ngumu kwa yeye kunikubali lakini baadaye alikubali, tumekaa kwenye mahusiano kwa miezi sita tu lakini kwangu ilikuwa ni uchungu kwani nilitumia nguvu...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu degree nzuri ya kusoma kati ya hizi

    Kati ya Bachelor of Education in Physical Education and Sports Science na Bachelor of Education in Policy Planning and Management ni kipi nisome wandugu chenye uwanja mpana huko mbeleni. Mimi ni mwajiriwa tayari (mwalimu)
  19. JamiiForums Tanzania Karibu upate ushauri mbalimbali kuhusiana na changamoto za maisha bila malipo

    Heshima kwenu Wakuu. Naam, hii ni fursa ya kubadilishana mawazo hasa kwa wale wenye changamoto za maisha ili ku-share experiences na skills za hapa na pale. Kwahiyo karibu sana na ujisikie huru. Itapendeza iwapo utaelezea kwa undani kidogo changamoto uliyonayo ili iwe rahisi kusaidiwa. Je...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu utaratibu wa kutumia kadi ya kieletroniki Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli

    Tangu jana tarehe 20 Februari 2023 serikali imeweka utartibu mpya kwenye kituo cha mabasi cha Kimataifa cha Magufuli Bus Terminal pale Mbezi; ambao kimantiki ni utaratibu mujarabu unaoleta tija kwa jamii. Utaratibu wa kutumia kadi ya kieletronic ya N-Card kwa wananchi wanaoingia ndani. Mantiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…