ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya biashara za minadani

    Habari zenu wana JF. Naombeni mnisaidie ushauri kwa wale mliowahi kufanya biashara katika minada mbali mbali hasa kwa Dsm mpaka Kibaha. Nataka kuanza kuzungusha bidhaa kwenye minada je inalipa? Au ni bora nitafute meza tu sokoni?! Na vipi kwenye minada utaratibu upoje pengine kuna kulipia...
  2. JamiiForums Tanzania Nawashukuru wakazi wa Sikonge kwa kufanyia kazi ushauri wangu na kumuondoa Joseph Kakunda katika kura za maoni

    Here we go ! Tunahitaji viongozi wanofikika wasomi na ambao Elimu yao haina utata. Asanteni wanaSikonge kwa kumpuunzisha Bwana Joseph Kakunda. Cc Pascal Mayalla.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kijana anaomba ushauri kwenye hii changamoto yake

    Habari wana JFs, Nina rafiki angu wa miaka mingi ambae tumekua karibu kama ndugu ameniomba ushauri kama mtu wake wa karibu, lakini nimepata mtihani kidogo katika kumpa majibu kutokana na uzito wa jambo lake. Nilimshauri kulileta humu kwa kutotaja majina yake ilimradi tu aone ushauri na busara...
  4. JamiiForums Tanzania NAOMBENI USHAURI

    Naombeni ushauri Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police Nataka kumuacha ila nashindwa sijui Ananifanyia dawa
  5. JamiiForums Tanzania Wanasheria na Wataalamu wa Miliki (mali) Njooni mnipe ushauri Kuhusu hii Kampuni yangu na Warithi wangu.

    INTRODUCTION:- Salam sanaaa? HUU NI UKWELI WA MAISHA YANGU, KUHUSU MAHUSIANO NA MALI. Naitwa Mr. Liverpool ni kijana wa kiume mwenye Diploma, Degree, Masters, na PhD Candidate dropout (Nilipata Scholarship ila biashara ikanipenda zaidi kuliko shule..!!) Ni mtumishi wa umma mwenye miaka 35...
  6. JamiiForums Tanzania Uzi wa ushauri, mapendekezo, maoni, ujumbe, changamoto, masuali, na duku duku kuhusu siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu.

    Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kampuni inayotoa huduma ya mortgage hapa nchini

    Naomba kujua huduma ya mortgage hapa nchini Hali ikoje,ni wapi watoa huduma wazuri kwa mtu mwenye uzoefu. Najua JF ni kisima cha Taarifa. Nawasilisha!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina Tsh. Milioni 25, nifanye biashara gani?

    Ndugu zangu naitaji ushauli wenu. Nina 25 million TZshillings naitaji kuanzisha biashara ambayo inaweza ikanipa faida kubwa ndani ya mwaka mmoja. Yani biashara yoyote ambayo inatembea kwa kasi zaidi. inaweza ikawa mkoa wowote ule. Asanteni.
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kupandikiza mmea wa chainizi (Chinese cabbage)

    Habari wakuu. Naomba kujua kama ni sahihi kupandikiza mimea miwili ya chainizi kwa shimo Moja, endapo nitaweka mbolea nyingi zaidi ya sehemu niliyopandikiza mmea mmoja.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wa Upendo Mkuu Kwa Rais Samia, Kama Mwanadamu Mwenzangu.

    Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako? Ninaamini Rais Samia ni muumini wa Mungu, mtu anayeamini katika maisha baada ya kifo, hukumu ya Mungu, na ufufuo wa wao...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri: Samia asipogombea CCM itapata hasara kubwa haijawahi kutokea tangu kiundwe

    Chama cha mapinduzi (CCM) kitapata hasara kubwa sana kama Samia hatagombea Urais kwa sababu zifuatazo; 1. CCM imewekeza kwenye matangazo nchi zima kwa takribani miaka minne sasa kumtangaza Samia. Bill Boards kila kona ya nchi zimejaa. Barabara zimejaa matangazo ya Samia. Huu ni uwekezaji mkubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri ndg zangu

    Habari ndg zangu samahan naomba ushauri nilikuwa kazin shift ya usiku nimeamka asubui nimeona uvimbe kwenye shingo yangu itakuwa ni nn maana leo siku 4 uvimbe unakuja na kupotea baada ya dk unarudi tena?
  13. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri WA haraka

    B
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri wa vijana kwa nchi yao

    Mimi kama kijana mzalendo wa nchi yangu tanzania ningependelea mawazo tofauti tofauti kuishauri selikali yetu Mfano Ungekuwa rais wa tanzania ungeifanyia nini nchi kuiepusha kwenye kundi la nchi za africa 🌍 zisizo jitambua.????¿?? Kwa mimi binafsi ..Rushwa ni kunyongwa hadi kufa ..kilimo...
  15. JamiiForums Tanzania Watakiwa kuwalea Watoto kwa kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, ametoa wito kwa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam wa afya na malezi ili kuwalea watoto, kwa kuweka mkazo maalum wa lishe bora, malezi yenye upendo na mazingira salama kwa ajili ya ustawi wao...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Vijana Kutumia Akili Unde (AI) kwa Ushauri wa Mahusiano na Urafiki

    Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na msaada kitaaluma Ripoti mpya kutoka shirika la Common Sense Media inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70...
  17. JamiiForums Tanzania Taaluma Gani Hapa Inalipa?. Mdogo Wenu Anaomba Ushauri

    1. Server. 2. Programming. 3. Networking. 4. Maintenance.
  18. JamiiForums Tanzania Hatimaye, leo mimi ndio nahitaji ushauri kwenu wanajamii

    Iko hivi, 1. Leo nimegundua kuwa mwanamke ninaempenda sana ana ugonjwa ambao ni mtihani kwa watu wengi sana. 2. Ndugu zake wamekuwa wakiniharakisha nimuoe huyu binti tangu mwezi ule wa kwanza wa kukutana kwetu. Hiki ni kitu kilinitisha sana nikachagua kuvuta subira kwanza mpaka nijue ni nini...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kozi za udemy

    Wakuu wana JF, hope mpo salama. Ni graduate mwenye uchu wa kujua programming na mambo ya system security(cyber) kwa udani, nimejaribu kupitia youtube tutorials ila bado sijaridhika, nimetumia resources mbali mbali lakini katika harakati za kutafuta more resources, nikapata Wazo la UDEMY...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime, ushauri kuntu wa wahenga unapoulizwa na 'watoto wa 2000'

    Naona vibwebwe vimefungwa viunoni watu (wamakonde wanaita 'vanu') wakifurahia ugomvi wa jirani...........wanagongeana mikono Huku wakishusha vijineno chochezi ("ndo alivyo huyo!", "apigwe huyo!" n.k) na vicheko (wera wera weraaaaa!!) kama vyote. Katikati ya 'raha' hii ya kushuhudia ugomvi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…