ushamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tafadhali Siku zingine msirudie tena huu Ushamba ambao pia ni Hatari kama Ndege ikiwa Angani na hairuhusiwi

    Hairuhusiwi popote pale Ndege ikiwa Angani Watu (Abiria) kuanza Kucheza Dansi huku wengine Wakiruka Sarakasi katika Viti vyao na wengine wakirandaranda na Vinywaji vyao (Vilevi) kana kwamba Wote wako Baa wakati kumbe wako Futi 65,000 Usawa wa Bahari wakiitafuta Morocco. Na nimeshangaa sana tu...
  2. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Kenya, huu ni urembo au ni Ushamba?!

    Mabasi ya Kenya yamenishinda. Nikisafiri na mabasi kama haya lazima usiku niote ndoto mbaya! Hiyo michoro na mapichapicha yamevuka mipaka ya mapambo.
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kajala ni bibi wa ovyo. P.Funky ana roho ngumu. Harmonize ushamba haujamtoka?

    Kama kuna bibi wa ovyo nchini ,Kajala yumo,anaulizwa kuwani kiungo gani kwenyemwili wake anakipenda zaidi anajibu eti makalio yake. P Funky ana roho ngumu sana,enzi za ujana wake kakimbiza sana wasanii na bastola pale studio kwake nilidhani angezeekana ukorofi,ila amekuwa mpole anaugulia...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ule ushamba wa kutofika Dar es Salaam bado upo, kwa Tanzania wengi

    Ndio ni kweli , wewe huwezi kujiita mtanzania mjanja kama hujafika Dar, nimetembea mikoa mingi sana nchi hii, na nilichogundua bado watanzania wengi sana hawajafika Dar. Ni vizuri hata Kwa watu wa Dar kufika nchi za nje ama jirani, hivyo bado washamba wa kutofika dar ni wengi Na hivi Sasa...
  5. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kumiliki laini zaidi ya moja ni ushamba uliokithiri

    Watu wa namna hii wanaudhi sana kama sio kusikitisha. Unakutana na mtu ana namba ya kila mtandao. Day one kakupa let say namba yake ya Voda, wakati anarudisha message unashangaa namba nyingine (Yas), unavumilia, unasave Kesho yake unashangaa kuona namba ngeni inaingia kwa simu (Airtel), kwa...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina Arena, tuache ushamba!

    Arena ni kiwanja kikubwa kilicho katika mithili ya ukumbi ambacho shughuli za michezo, muziki, mikutano na sanaa mbalimbali zinaweza kufanyika ndani yake. Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waandaaji wa Samia Cup acheni Ushamba sasa kuleta Wachezaji wa Premier League kucheza ndiko Kuendeleza vipaji vya Vijana?

    Hamna Akili nyie Mashindano haya ni ya Kukuza vipaji vya Vijana nyie mnaleta akina Kibabage, Baleke na Mzize wa nini?
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki acha ushamba, Hamisa Mobeto hana hata Mahari ya kuku kumi (10)

    Sijui ni kwanini Wanaume wengi wa Afrika Magharibi ni Washamba mno wa Mbunye na sishangai ndiyo maana Wanaume wa Afrika Mashariki tunawazidi Ujanja na Akili. Kwa Hamisa Mobeto ninayemjua Mimi ningekuwa Mimi ndiyo nataka Kumuoa ningetoa Mahari ya Shilingi Elfu Hamsini za Kitanzania na Kuku Jike...
  9. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Tukio gani ulishawahi kufanya ukajiona mshamba sana?

    Habari wakuu Mara ya kwanza kujiunga na huduma za kibenki nilienda kwenye tawi la benki wakanisajili ikafika mda wa kufanya kadi iwe active. Nimeenda kwenye ATM na yule mhudumu akaiweka kadi ndani ya ATM ananiambia chagua lugha, me hapo hata sijui wanabonyeza wapi, akanionesha zile button za...
  10. Minjingu Jingu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabora ina shangaza sana sijui ni ushamba au nini

    Simba wapo ugenini kikanuni ila kiuhalisia ni kama walikuwa home tu. Uwanja umejaa watu wa simba utadhani ni dsm Jifunzeni uzalendo nyie wakulima. Mnaipenda simba badala.ya team yenu.ya home. Halafu mnatoa siri.za ushindi au kukwepa kipigo kwa manyau wenu kuwa wasipite hapa na pale. Huo ni...
  11. Nkulu wa nchito

    JamiiForums Tanzania Wewe kama una sherehe yako peleka kijijini kwenu huko siyo unazuia barabara

    Wewe kama una sherehe yako peleka kijijini kwenu huko siyo unazuia barabara kwa kuweka miturubai kisa una sherehe si ungenunua eneo kubwa ili ujitosheleze hii tabia imekithiri kwenye hili jiji la maji chumvi
  12. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kuongea kwa kukandamiza siyo ushamba bali KARAMA hivyo WASUKUMA tueleweke vyema

    Amani iwe kwenu watanzania wote Kumeibuka tabia ya watu wengi kutokujua ni nini maana ya ushamba, na hii yote inachangiwa na watu kutokuwa na elimu vyema , hasa ukizingatia kuwa CCM wamewanyima watanzania elimu iliyo bora ili waendelee kuwatawala inavyotakiwa yaan kisawa sawa Watanzania wengi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

    Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria fulani kuonyesha kuwa ni mshamba. Nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma...
  14. jannelle

    JamiiForums Tanzania Nitoeni ushamba leo juu ya kuagiza gari mtandaoni

    Nilipita mtandao fulani nikaona Gari, ila kuna sehemu ikawa inanichanganya sana, mfano Gari nimeona USD 2,020, then kwa chini TOTAL PRICE 4,558. Hili ongezeko ni la kitu gani mara mbili yake. Je ni kodi tayari included or hapo ni kuagiza na kusafirisha tu. Msaada picha mfano👉🏼
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Najivunia ushamba na ulimbukeni huu ulinipitia mbali

    Baadhi ya mambo ambayo yakizidi sana huwa nayaona ushamba na ulimbukeni. Haya mambo mimi yamenipita mbali kabisa. 1. Kujipost WhatsApp status Hata kama nitafanya jambo gani, hata kama nimepata nini cha mafanikio huwezi kukikuta status. Mwaka jana nimegraduate taaluma mbili tofauti lakini huwezi...
  16. Mr. Marangu

    JamiiForums Tanzania Mmasai na Laizer wa Kili Fm acheni ushamba

    Hawa watangaaji (Laizer na Mmasai) ni washamba sana, wanapiga makelele yaani wanaboa wanaumiza masikio kama wanalipwa mshahara sijui nadhani wanatangaza bure, Kwenye show yao ya Kili Breakfast Waridianaongea kwa sauti ya staha na inayovutia, Joshua nae yuko poa ila hao watangazaji wawili...
  17. MoroGent

    JamiiForums Tanzania Vingilio baadhi ya BAR umekuwa ni Ushamba

    Wakuu Salam sana, Nipo Moro town, nikaona siyo mbaya nikafungue mwaka wakati napata vyombo murua. Kichwani mwangu nikafukiria Samaki Samaki, Star Park na Eli's Pub. Sasa nimeenda Star park nakuta kingilio ni Bia 2 mlangoni, nikasepa, Samaki Samaki nakuta pamejaa afu pako wazi na Kuna manyunyu...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Utekaji ni ushamba na unaharibu taswira ya Nchi

    Mtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji. Namnukuu Edo Kumwembe, Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya nchi yetu, mbaya zaidi watekaji wanapata nguvu kwakuwa hawachukuliwi sheria. Akaongeza, mpaka leo...
  19. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya watanzania yanazorota kwasababu ya ushamba wa matajiri na ukosefu wa maono toka kwa Wanasiasa

    Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
  20. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar es Salaam mnapoenda mikoani punguzeni ushamba

    Yes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa Dar es Salaam si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo Dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za Dar Wanajua uhuni wote wa Dar sasa nyie mkienda uko nakuaanza aaah ona hii siyo kama Dar, mpo kijijini msibani...
Back
Top Bottom