GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,348
- 127,288
Leo Yanga SC wameichangia CCM ambayo ndiyo inatengeneza Serikali Wapumbavu, Washamba na Wanafiki wote mmekasirika mbona hiyo hiyo Serikali inayoundwa na CCM ikiipa Yanga SC msaada wa Ndege kwenda Kucheza Mechi zake za Kimataifa huwa hamchukii tena huwa mnafurahi na kukenua hovyo na kila Kona kama Matahaira?