ushamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr. Marangu

    JamiiForums Tanzania Mmasai na Laizer wa Kili Fm acheni ushamba

    Hawa watangaaji (Laizer na Mmasai) ni washamba sana, wanapiga makelele yaani wanaboa wanaumiza masikio kama wanalipwa mshahara sijui nadhani wanatangaza bure, Kwenye show yao ya Kili Breakfast Waridianaongea kwa sauti ya staha na inayovutia, Joshua nae yuko poa ila hao watangazaji wawili...
  2. MoroGent

    JamiiForums Tanzania Vingilio baadhi ya BAR umekuwa ni Ushamba

    Wakuu Salam sana, Nipo Moro town, nikaona siyo mbaya nikafungue mwaka wakati napata vyombo murua. Kichwani mwangu nikafukiria Samaki Samaki, Star Park na Eli's Pub. Sasa nimeenda Star park nakuta kingilio ni Bia 2 mlangoni, nikasepa, Samaki Samaki nakuta pamejaa afu pako wazi na Kuna manyunyu...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Utekaji ni ushamba na unaharibu taswira ya Nchi

    Mtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji. Namnukuu Edo Kumwembe, Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya nchi yetu, mbaya zaidi watekaji wanapata nguvu kwakuwa hawachukuliwi sheria. Akaongeza, mpaka leo...
  4. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya watanzania yanazorota kwasababu ya ushamba wa matajiri na ukosefu wa maono toka kwa Wanasiasa

    Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
  5. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar es Salaam mnapoenda mikoani punguzeni ushamba

    Yes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa Dar es Salaam si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo Dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za Dar Wanajua uhuni wote wa Dar sasa nyie mkienda uko nakuaanza aaah ona hii siyo kama Dar, mpo kijijini msibani...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa soka bongo umegubikwa na ushamba na haswa watu wanashabikia kwa msongo (depression)

    Yani mtu kafungwa tu jana.... "oooh kocha afukuzwe" "Mpira una siasa tumefanyiwa siasa" "Hii yanga ya sasa ikikutana na simba inafungwa 20" Yani hapo na hapo mbongo kashasahau kuwa wameshashinda ligi mfululizo zaidi ya mara x2 , wamemfunga mpinzani mfululizo na wametoka kumfunga tu juzi hapa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa familia yako iishi vizuri, Suala la kutafuta pesa nyingi ili kumlinda mke ni ushamba.

    Umemkuta mke wako akiwa na zaidi ya miaka 25, kubali usikubali ninyi wote mna historia na siri zenu nyingi, Ni mawazo ya kishamba sana kuhangaika utafute pesa ili mke wako aishi vizuri ukidhani ni kinga ya yeye asichepuke, Mwanamke ni kiumbe chenye hisia za mapenzi na mapenzi ni fumbo kubwa...
  8. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tangu juzi nipo mitaa ya Barcelona kashinda derby 4-0 lakini sijaona mabango ushamba mzigo

    Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
  9. S

    JamiiForums Tanzania swala vijana wa kiume kujenga misuli kwa steroids/protein ni ushamba na kutokujiamin

    .
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Huu ni ushamba na ulimbukeni

    Mzee huko Facebook alipost Uzi wa wanawake ambao amewahi kulala nao, kama 30 na zaidi
  11. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ushamba mzigo!

    Kuna mji nilikaa sasa sikumoja kuna kitu nilikuwa natafuta,ktk harakati za kutafuta hicho kitu nikakikosa badala yake nikakutana na hiki kidonge size hiyohiyo ila chenyewe kilikuwa cha kijani,hicho kidonge nilivyokiona nikasahau hata nilichokuwa natafuta maana ukubwa ndio ulinitatanisha...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Mpira Tanzania tupunguzeni au ikiwezekana kabisa tuache upesi huu Ushamba ambao Unaboa

    Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake. Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na kucheza kwa kiwango bora ndani ya misimu 10 katika kikosi cha Simba hawazi kustaafu? Na haya ndiyo...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Muda umefika kukaa ukumbini kuangalia televisheni ni dalili za umasikini

    Historia ya upashanaji habari ni ndefu sana. Sitaki nianzie mbali sana. Kutokana na kasi ya maendeleo ya kielimu na ukuaji wa teknolojia tumeshuhudia kupungua kasi ya usomaji magazeti mpaka magazeti makubwa duniani ikabidi yapotee au kujibadili kuwa ya kielektonik. Miaka si mingi sana na redio...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ushamba wangu utanifanya nisiache mbegu hapa US

    Wakuu juzi kati katika harakati zangu nikakuta tangazo. "Are you single and ready to mingle" kwa akili yangu ya kibongo nikaogopa kulisoma kwa ukaribu, ila kwa kuwa nilikuwa kwenye traffic lights nikawa nasoma kwa kuibia kabla taa hazijaruhusu kuvuka. Tangazo lilisema watu wahudhurie wakapate...
  15. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Kuchomekea T-shirt ni ushamba?

    Baadhi wanasema kuchomekea T-shirt sio sawa lakini mimi nafanya hivyo mara kwa mara na sioni kama ni tatzo. Wadau wa mitindo, je ni sawa kufanya hivyo au ni ushamba?
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kujumlisha magoli ni ushamba au wanamkoga Magoma?

    Sijaelewa hii staili ya kujumlisha magoli imetokea wapi!!?? Ni ushamba ama ni staili ya kumkoga mwenye timu yake Mzee Magoma??
  17. R

    JamiiForums Tanzania Makinika, kumiliki smartphone bila kudownload BIBLIA ndani yake, ni ushamba mkuu!!

    Salaam ,Shalom!! Umeshawahi kujiuliza nini kinaweza kukutokea ikiwa utajifunga kitambaa cheusi machoni na kutembea barabara ya mwendokasi? Katika nyakati hizi tunazoishi, simu ya mikononi inachukua muda, nafasi kubwa sana katika maisha ya Kila siku, ni device ambayo muda wote uko nayo, sisemi...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Video: Ni ushamba uliopitiliza kuwashangaa Wazungu na kuwasumbua, ni kujishusha sana thamani

    Kuna mzungu ana channel yake youtube anatalii Afrika kwa baiskeli na hivi karibuni anaingia Tanzania, kwa sasa yupo Burundi. Waafrika wanapenda sana attention kutoka kwa Wazungu, kuwaita ita, kuwasumbua, kuomba hela, n.k. Huku ni kujishusha thamani.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna Wanaume wenye huu 'Utoto' na 'Ushamba' ndani ya Ndoa na Mahusiano?

    ''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke...
  20. Rule L

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kushare habari mbalimbali kuhusu ushamba kwenye vitu mbalimbali

    Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo. 1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations. 2. Mzee mmoja alipeleka radio kwa fundi ili apate radio taifa (tbc) maana zilikua zinasikika radio...
Back
Top Bottom