usambazaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naibu waziri Ridhiwani Kikwete azindua usambazaji wa mifumo kuboresha uwajibikaji kazini

    Uzinduzi wa Zoezi la Usambazaji wa mfumo wa kutathmini na kuhakiki utendaji wa kazi wa Watumishi na Taasisi yaani PEPMIS/ PIPMIS NA HR Assessment limefanyika mapema tarehe 20 Novemba 2023 katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mjini Iringa. Akizungumza wakati anazindua mpango huo wa usambazaji...
  2. Rostam abonga na Hichilema kuzalisha umeme nchini Zambia. Pia aangazia usambazaji wa gesi

    Rostam Aziz amekutana na Rais wa Zambia, Haikande Hichilema mjini Lusaka na wamejadiliana kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya nishati na madini. Taifa group kupitia kampuni yake tanzu ya Taifa Gas tayari imeingia ubia na kampuni ya Delta Marimba ya Zambia kuzalisha megawat 100 kwa kutumia gesi...
  3. L

    Kushamiri kwa makampuni ya usambazaji yanayomilikiwa na watanzania kwaonesha maendeleo makubwa ya ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Tanzania

    Kwenye maonesho ya 3 ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, mkoani Hunan China kati ya Juni 29 na Julai mbili, makampuni ya usambazaji yalijitokeza kwa wingi yakijitangaza kwa wafanyabiashara wanaotaka kusafirisha bidhaa zao kwenda barani Afrika, na hata kwa...
  4. SoC03 Ushiriki wa Sekta Binafsi katika usambazaji wa umeme Tanzania

    Umeme ni sehemu muhimu ya maisha ya kisasa, unawezesha kila kitu kuanzia majumbani, biashara, hospitali, shule nk. Hata hivyo, katika nchi nyingi zinazoendelea, upatikanaji wa umeme ambao unategemewa sana bado ni changamoto kubwa. Ndani ya Nchi yetu ya Tanzania kuna shirika moja tu linalohusika...
  5. S

    Uuzaji na usambazaji wa Bomba za maji (coil)

    Habari wakuu, Kampuni ya kutengeneza na kukusambazia Bomba za maji kwa Bei nafuu ya kiwandani kabisa Kila aina ya Bomba kuanzia class A, B, C, inch 1A, 1B, 1C, inch 1.5B & 1.5C. inch 2B, 2C. Pia Kila aina inatengeneza kulingana na order ya mteja. Karibuni sana wateja tufanye biashara. Pia...
  6. Mradi wa usambazaji wa maji ya ziwa Victoria - kata saba, jimbo la Igunga

    Mbunge wa Jimbo la Igunga Nicholaus George Ngassa tarehe 20 Februari 2023 alifanya Ziara kwenye Mradi wa Usambazaji wa Maji ya Ziwa Victoria kwenye Vijiji vya Kata Saba za Jimbo la Igunga. Ngassa (MB) alimtaka Mkandarasi wa Mradi kuzingatia ratiba ya utekekelezaji wa Mradi na kuongeza kasi...
  7. Je, Ofisi ya Taifa ya Takwimu ina wajibu wa Kutoa Tamko kuhusu Usambazaji wa Takwimu zilizo bandikwa mitandaoni?

    Wakuu, Wahusika, Ni matumaini yangu mmejaa rehema na amani Asubuhi hii katika kukabiliana na majukumu yenu. Nawaombeni muda wenu mchache kutathmini Uzi huu ili kuweza kulinusuru Taifa. Mada: Katika kile nilchokiona kamaa ni ukiukwaji wa Sheria ya Takwimu, Statistics Act (revised 2019) Sehemu ya...
  8. Makamba aipiga chini ETDCCo kusaini mkataba mpya wa Usambazaji Umeme Vijini (REA)

    Waziri wa Nishati Januari Makamba amezuia Kampuni ya Usambazaji umeme ya ETDCCo kusaini mkabata wa usambazaji umeme akitoa madai ya kuwepo kwa uzembe. Makamba amezui mkataba huo leo Desemba 19, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini mikataba ya utekelezaji wa mradi wa...
  9. TPDC inatarajia kuanza usambazaji wa Gesi asilia nchi nzima

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema limeandaa mpango maalumu wa kuanza kusambaza nishati ya gesi asilia kupitia mabomba makubwa kwa lengo la kuwafikia wateja wengi katika mikoa mbalimbali nchini. Mtaalamu wa idara ya mafuta na gesi kutoka TPDC, Mhandisi Eva Swilla amesema...
  10. DOKEZO DAWASA yatoa notisi ya kusitisha usambazaji wa maji ya Visima kwa baadhi ya Maeneo ya Jiji la Dar es salaam

    Mamlaka ya Huduma za Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetoa agizo la kusitisha biashara ya usambazaji wa maji ya visima katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam ndani ya siku thelathini (30) kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa kwa wahusika. Agizo...
  11. MSD yakiri kushindwa kusambaza Dawa kwa ndege zisizo na rubani (Drones)

    Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai ametaja sababu za kusimama mradi huo ni kutoonesha tija na kuwa na ugumu kiutekelezaji. Amesema mpango huo si kipaumbele chao, wanachokifanya kwasasa ni kuhakikisha wana Dawa za kutosha, Wanatekeleza Matakwa ya Kikanuni na Kuimarisha Muundo wa utendaji...
  12. Norway yaipiku Urusi kwenye usambazaji wa gesi

    Pia yaongeza uzalishaji, yaani Urusi anatumbukia kwenye shimo la kujitakia, gesi yake atabaki nayo. Norway now supplies Europe with more natural gas than Russia does after Moscow cut flows, per Reuters. Its gas production is set to rise 8% this year, on track for a record, as Europe shuns...
  13. Y

    SoC02 Uuzaji na usambazaji wa samaki kwa njia aplikesheni maalumu ya samaki kiganjani mwako katika jiji la Dar es Salaam

    Utangulizi na kauli kuhusu tatizo Biashara ya samaki ni biashara inayokua kwa kasi sana hapa kwetu nchini Tanzania. Na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa sana wa samaki kama kitoweo chenye gharama nafuu na chanzo cha protini miongoni watu walio wengi, hasa wale wa hali ya chini na chanzo cha...
  14. Nataka kuandika kitabu nikipeleke kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji? Malipo yapo vipi? Kuna uaminifu katika kunipa mgao wangu?

    Habari zenu wana Jamii forums. Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu. Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza...
  15. Nataka kuandika kitabu, nikipeleke kwenye kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji ? malipo yapo vp ? kuna janja janja zipi za kukwepa ?

    moved
  16. Chini ya Rais Samia Suluhu, kila familia itapata maji safi na salama

    Jitihada za kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata maji safi na salama chini ya Rais Samia Suluhu ni jitihada za kupongezwa sana kwani zimekuwa na muendelezo chanya tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani. Kwa mujibu wa ripoti ya tathmini ya ukuwaji wa uchumi katika robo ya kwanza ya mwaka...
  17. Ufaransa yaikopesha Tanzania shilingi bilioni 195 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Usambazaji wa Maji safi Shinyanga

    Na Eva Ngowi, Dar es Salaam Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD), imetia saini mkataba wa kuipatia Tanzania mkopo wa Euro milioni 75 sawa na takriban shilingi bilioni 195 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Usambazaji wa Majisafi na Usafi wa Mazingira katika...
  18. Urusi yatishia kuzuia usambazaji wa gesi kwa mataifa mengine ya Ulaya

    Baada ya Urusi kusitisha usambazaji wa gesi kwa Nchi zaPoland na Bulgaria, sasa taifa hilo limesisitiza kuwa itafanya hivyo kwa mataifa mengine ya Ulaya ambayo hayatakubali kulipia gesi kwa fedha ya Urusi (rubles). Taarifa ya Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov amesema uamuzi wa Urusi wa...
  19. M

    Ombi: Usambazaji wa Picha za Rais Samia Mitandaoni akiwa Marekani ziendane na 'Direct Economic Impact' Mifukoni mwa Watanzania

    Naanza kuona taratibu Nguvu Kubwa inatumika kumuonyesha Mheshimiwa Rais Samia akikubalika zaidi na Wazungu (hasa hasa hawa Wamarekani) na kwamba aliyekuwa Boss wake hakuliweza au hakulifanikisha hilo ila kwa bahati mbaya mno Nguvu hiyo hiyo haitumiki Kuwafafanulia Watanzania ni jinsi gani Ziara...
  20. Urusi yatishia kusitisha usambazaji gesi Ulaya

    Rais Vladmir Putin alihutubia taifa lake na kutishia kusitisha mikataba ya kusambaza barani Ulaya theluthi moja ya gesi ya Urusi kama hawatalipwa katika sarafu ya kirusi. Amesema amri hiyo inaanza kutekelezwa Aprili mosi. Rais Putin ametishia kusitisha mikataba ya kusambaza barani Ulaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…