Usambazaji wa Sukari nchini kusimamiwa na Wakuu wa Mikoa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake.

Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo za Wizara zilizoko magogoni jijini Dar es salaam, Waziri Mchengerwa, amesema Serikali kupitia Tangazo la Serikali namba 40 lililotolewa mwezi Januari,2024 lilitoa bei elekezi na kuwataka viongozi wote wa Mikoa na Wilaya kusimamia bei elekezi iliyotolewa na Wizara ya Kilimo kwenye maeneo yao.

"Hivyo majina ya mawakala walioruhusiwa na Serikali kupitia Wizara ya Kilimo kusambaza sukari katika kila mikoa yameshatumwa kwenye Ofisi za Wakuu wa Mikoa yote nchini chini ya usamamizi wa Makatibu Tawala hivyo jukumu kubwa limebakia kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha mnasimamia usambazaji na uuzaji wa sukari kote nchini."

"Hakikisheni mnashirikiana na Bodi ya Sukari iliyopo chini ya Wizara ya Kilimo kuwakamata Wafanyabiashara wote wanaokwenda kinyume na maelekezo ya Serikali na maelekezo ya Tangazo la Serikali na taratibu za Kijinai haswa zinazohusu masuala ya uhujumu uchumi zichukuliwe kwa mfanyabiashara yeyote anayekiuka misingi ya Taifa letu," ameelezeka Mchengerwa

Amesema hatarajii kuona Mkuu wa Mkoa au Wilaya yeyote akishindwa kusikiliza kero za wananchi na kushindwa kutoa taarifa ya namna Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inavyoendelea kuchukua hatua mbalimbali za kukabiliana na changamoto zinazowakabili wananchi katika maeneo yao.

Credit - EATV
 
Mambo ya Nyerere.
 
Wasisahau kuwahusisha na mabalozi wa nyumba kumi kumi ili kusimamia kwenye kila familia kila mtu apate kijiko kimoja kimoja kila siku asubuhi.
 
Hapa kuna kosa la kiutendaji:
1.Aliyeshindwa kusimamia upatikanaji ni Serikali.
2.Serikali mnazo njia za kuwasiliana,sio lazima maagizo yapitie kwenye vyombo vya habari.
3.Ushahidi wa Serikali kuingilia soko huria ndio hii kauli ya Waziri wa TAMISEMI kuingilia sekta ambayo siyo yake.
4.Ushahidi wa Serikali kukosa neno la faraja na ufumbuzi wa tatizo kwa wananchi.
 
Bashe alitakiwa kujiuzulu,lakini kwakuwa ni shwahiba wa Rostam Aziz tuendelee kuteseka.
 
Back
Top Bottom