usambazaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ombi: Usambazaji wa Picha za Rais Samia Mitandaoni akiwa Marekani ziendane na 'Direct Economic Impact' Mifukoni mwa Watanzania

    Naanza kuona taratibu Nguvu Kubwa inatumika kumuonyesha Mheshimiwa Rais Samia akikubalika zaidi na Wazungu (hasa hasa hawa Wamarekani) na kwamba aliyekuwa Boss wake hakuliweza au hakulifanikisha hilo ila kwa bahati mbaya mno Nguvu hiyo hiyo haitumiki Kuwafafanulia Watanzania ni jinsi gani Ziara...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Urusi yatishia kusitisha usambazaji gesi Ulaya

    Rais Vladmir Putin alihutubia taifa lake na kutishia kusitisha mikataba ya kusambaza barani Ulaya theluthi moja ya gesi ya Urusi kama hawatalipwa katika sarafu ya kirusi. Amesema amri hiyo inaanza kutekelezwa Aprili mosi. Rais Putin ametishia kusitisha mikataba ya kusambaza barani Ulaya...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Boeing imesitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi

    URUSI: Kampuni ya kutengeneza Ndege ya Marekani ya Boeing (BA.N) imesema inasitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi ikiwa ni sehemu ya vikwazo vilivyowekwa kutokana na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine. Marekani imesema itafuata Uamuzi wa...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tarimba apendekeza TANESCO kufumuliwa na kuwepo kampuni 3 kwa ajili ya Uzalishaji, Usafirishaji na Ugawaji umeme

    Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas amehoji ikiwa Serikali haioni ni muda mwafaka wa kulifumua Shirika la Umeme (TANESCO) ili kuwe na Kampuni tatu kwa ajili ya kufanya Generation Uzalishaji, Usafirishaji na Usambazaji kama ilivyo Nchi nyingine. Akimjibu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema...
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa kulima Mpunga na kufanya usambazaji

    Habari wana JF, Kuna hii idea ningependa kujua moja mbili tatu. Natumaini itasaidia wengi humu. Kufanya uwekezaji katika kilimo cha mpunga kwa kununua ardhi, kuanza kulima, kufanya umwagiliaji, kuvuna, kuhifadhi, kuwauzia wateja wa jumla wataokuja shambani kwako na wewe mwenyewe kusambaza...
  6. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ifungie utengenezaji na usambazaji wa Filamu za Kibongo hadi watakapojitambua

    Yaani ni hivyo tu jamani, hakuna kitu kinakera (hata kama huziangalii) kama hizi filamu za bongo. Nahisi kabisa kuwa wanatuaibisha hata nje ya nchi (kwa mataifa jirani wanao angalia kazi zao) Filamu stori haieleweki wanaigiza ili mradi tu, Unaweza kusema labda bajeti ya uandaaji ni kubwa...
Back
Top Bottom