Samia Suluhu Personal Security is Porous

Mashashola

JF-Expert Member
Feb 23, 2020
4,091
5,279
Women empowerment inalazimishwa mahali haifai.

This people are just trying to copy what men normally do but in a dangerous exaggerated way.

The Head of presidential security Tanzania Mwenye amepanga hao wanawake is doing a great injustice to Suluhu.

Don't put too many women around the president because they are physically weak under real threat.
Screenshot_20210522-034729.jpg
 
Organize kikundi chako mkatest mitambo ili tuamini kua kweli hawafai.
 
Rais wa africa akifa wananchi lazima washangilie kwa sababu ya udhalimu na uonevu wananchi wanaofanyie na serikali zilizopo madarakani
 
Women empowerment inalazimishwa mahali haifai.

This people are just trying to copy what men normally do but in a dangerous exaggerated way.

The Head of presidential security Tanzania Mwenye amepanga hao wanawake is doing a great injustice to Suluhu. Don't put too much women around the president because they are physically weak under real threat.
View attachment 1793397
They are just aide de camp. Kwa kiswahili tunaita wapambe.

Kazi zao mara nyingi siyo bondia wala kupigana na watu.
 
Women empowerment inalazimishwa mahali haifai.

This people are just trying to copy what men normally do but in a dangerous exaggerated way.

The Head of presidential security Tanzania Mwenye amepanga hao wanawake is doing a great injustice to Suluhu. Don't put too much women around the president because they are physically weak under real threat.
View attachment 1793397
Kwa mtazamo wa picha unaweza ona kama wako weak ila jichanganye ndo utajua shughuli yao
 
Kuna kaukweli fulani kwenye hili, labda mama kaamua mwenyewe iwe hivyo kwa sababu za kidini, maana hata ukiona hao wanawake wote wamesitiri nywele. Labda dini yake hairuhusu azungukwe na madume wenye vifua.....

Sio vibaya kuchomekea mademu wachache kwenye secret service, ila wasiwe wote hao, watazabwa vibao na rais kudhuriwa, sema kunao hupendeza kama huyu hapa...

nintchdbpict000297397023-e1485517877160.jpg
 
Back
Top Bottom