Usalama wa Watoto Mitandaoni: Hatua ambazo Mzazi anaweza kuchukua

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kumfundisha Mtoto kuhusu hatari za Mtandaoni anazoweza kukumbana nazo pamoja na namna ya kuziepuka au kuziripoti ni moja kati ya hatua muhimu kuhakikisha usalama wake

Angalia historia ya kile mtoto anatafuta mtandaoni mara kwa mara. Pia inashauriwa kuweka kifaa anachotumia sehemu ya wazi ili kufuatilia kile anachofanya

Chunguza ikiwa kuna mabadiliko katika tabia yake. Hii inaweza kutokea pale ambapo Mtoto anakutana na uonevu wa Mitandaoni

Unapompatia Mtoto wako simu au kifaa chochote cha kidigitali kwa mara ya kwanza, ni muhimu kufanya haya:

Kuweka Ulinzi katika kifaa: Msaidie kuweka Nenosiri (Password) kwani hii itasaidia kutunza taarifa zake binafsi kwa kutoruhusu wengine kuzifikia

Kuhakikisha Mtoto anatambua umuhimu wa kutotumia simu au kifaa chake muda wote kwani hii inaweza kuharibu mpangilio wao wa kulala na kuvuruga umakini kwenye masuala mengine ikiwemo Shule

====

Internet safety for kids depends on parents being aware of online risks and understanding how to help their children and teens avoid them.

Almost every American child and teen has access to the internet. They socialize in online games or on smartphones just as they would on a playground. They live largely in a digital community. But like any community, there are risks and dangers.

Parents are the best suited to monitor kids’ online activity. They are also the most trusted adults most kids will turn to if they experience online dangers. Understanding what your children or teens do online is vital to protecting them from digital threats.

How Children and Teens Get Online

Ninety-five percent of teens have access to a smartphone, and 45 percent of teens say they are online “almost constantly,” according to the Pew Research Center.

Even younger kids are accessing the internet in large numbers. Roughly two-thirds of fourth to eighth graders have access to phones or tablets. And almost half of them have a computer in their bedrooms, according to the 2016 Children’s Internet Usage Study conducted by the Center for Cyber Safety and Education.

Explaining Internet Safety to Your Kids

Teaching your children about the online risks they may face and how to avoid or report threats is one of the most important steps you can take to ensure their safety online.

But first, you have to understand those risks for yourself. This means keeping up-to-date on the latest technologies, apps and social media trends. It can be challenging, but it better prepares you to talk to your kids about what to expect online.

Online Dangers to Discuss with Your Kids

  • Dangerous or inappropriate websites
  • Malware and how it can be downloaded onto computers and phones
  • Online frauds and scams
  • Sexual predators
Zaidi: Internet Safety for Kids | How to Keep Your Children Safe Online
 
Back
Top Bottom