usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa kua 'data ni mafuta mapya', watafiti lazima wawe na ujuzi katika usalama wa mtandao

    "Data is the new Oil", Goodman alihoji katika kitabu chake, future crime (2015), ambapo alionyesha jinsi data inavyo tumika kutengeneza mabilioni ya dola kwa makampuni yanayo kusanya data kwa kutoa huduma mbalimbali za kidijikali. Alicho sema Goodman ni sawa na kile alichoandika O'Connor (2004)...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika nyanja za amani na usalama

    Kongamano la pili la Amani na Usalama kati ya China na Afrika limefanyika hivi karibuni kwa njia ya mtandao. Katika barua yake ya pongezi kwa kongamano hilo, Rais Xi Jinping wa China ameeleza kwamba anatilia maanani sana ushirikiano wa amani na usalama kati ya China na Afrika, na kupendekeza...
  3. JamiiForums Tanzania Julai 25: Siku ya Kuzuia Kuzama Maji Duniani (World Drowning Prevention Day)

    Mnamo Aprili 2021, UN ilipitisha Julai 25 kuwa Siku ya Kuzuia Kuzama Maji Duniani inayolenga kuangazia athari za Ajali hizo na kuweka mikakati ya kuzizuia Kuzama kunatajwa kuwa tatizo kubwa la Afya ya Umma duniani, na inakadiriwa watu wapatao 236,000 huzama kila mwaka. Inaelezwa kuwa, Nchi za...
  4. JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Vikosi vya Usalama vyafukuza waandamanaji

    Siku moja baada ya Rais Ranil Wickremesinghe kusema hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wanaoandamana, Vikosi vya Usalama vimevamia kambi ya Waandamanaji katika Mji Mkuu wa Colombo, na kuwafukuza waliokuwa nje ya Ofisi ya Rais. Mara baada ya kuapishwa, Rais Wickremesinghe aliweka wazi kuwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, Rais alishauriwa au kuuliza watangulizi wake nia yakuchunguza mienendo ya vyombo vya usalama?

    Samahani kwa wale huenda mtaendeshwa na hisia za kichama na ushabiki pasipo kuwa na uwelewa wa miundo ya vyombo vya ulinzi na mienendo yake. Kwanza nianze kwa kusema vyombo vya ulinzi na usalama ndio dola na dola ndio nguvu ya walio shika serikali. Kwa uzowefu wangu na uwelewa wangu na hata...
  6. JamiiForums Tanzania Ukraine: Rais Zelensky awafuta kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu na Mkuu wa Idara ya Usalama

    Rais Volodymyr Zelenskyy ametoa amri za kuwafuta kazi, Mkuu wa Idara ya Usalama Ivan Bakanov, na Mwendesha Mashtaka Mkuu, Iryna Venediktova na kumteua Naibu wake Oleksiy Symonenko kama Mwendesha Mashtaka Mkuu mpya Amesema hatua hiyo kufuatia tuhuma za maafisa wao kushirikiana na Urusi, huku...
  7. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

    Habari zenu wana JF wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika zunguka zunguka yangu yote katika nchi mbali mbali nikianza na nyumbani Tanzania, kwa kweli sijawahi kuona nchi yenye amani na usalama wa hali ya juu kama Zambia. Kwa wale wenzangu waliowahi kuikanyaga nchi...
  8. JamiiForums Tanzania WIFI za bure maeneo ya umma (Public areas) zinavyohatarisha usalama wa data zako binafsi

    Katika ulimwengu wetu wa leo matumizi ya Intanet yamekuwa ni miongoni mwa hitaji la msingi kwa kila mtu. Katika mazingira mbalimbali tumejikuta tukiwa katika maeneo ya umma ambapo kuna wifi za bure na kwa namna fulani tumekuwa tukifurahia na kuunganisha vifaa vyetu kwa na mitandao hiyo. Maeneo...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani ipo tayari kuishauri Tanzania kuhusu usalama wa mpaka wake na Msumbiji

    Serikali ya Marekani ipo tayari kutoa ujuzi na ushauri kwa Tanzania katika masuala ya kiusalama ili kuimarisha ulinzi kwenye mpaka wake na nchi ya Msumbiji. Katika mahojiano maalumu na BBC Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald Wright alieleza namna ambavyo Marekani inavyoguswa na tishio la...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa usalama wa nchi yetu, huyu afande anafaa kuwa IGP ajaye

    Habari za asubuhi wana JF wenzangu. Ndugu zang baada ya kufuatilia kwa makini utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi la polisi, pamoja na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na makanda wa jeshi hilo katika jitihada za kupambana na uhalifu nchini, hasa kwa mkoa wenye uhalifu mwingi kama Dar es...
  11. JamiiForums Tanzania Sticker ya "Nenda kwa usalama barabarani" naipata wapi?

    Leo nimepigwa mkono na Traffic (walikua wengi) pale Magufuli Hostel wakidai nimepita taa nyekundu za Kona ya Mawasiliano. Mkubwa wao nikasikia anasema "mwambieni atoe leseni haraka asitupotezee muda aandikiwe faini!" Nikawabishia hasa kuwa "I'm damn sure" nimesimama kwenye taa. Always huwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo watu wa usalama?

    Hivi huyu ni nani wanajamvi, Yupo kwenye matukio mengi kuna saa ana appear kama mwanachama wa ysc Mara yuko na hayati, mara kwenye wamasai kule ubalozi ya kenya, pia watu wanasema masai hawezi andika hivyo huyu ni serikali hata Ngorongoro hapajui Na kwanini anajiachia hadi tunamjua au yeye...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China yajitokeza kuhimiza amani na usalama katika pembe ya Afrika

    Fadhili Mpunji Tarehe 20 na 21 Juni Ethiopia ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa amani wa Pembe ya Afrika uliofadhiliwa na China. Huu ni mkutano wa kwanza wa namna hii kuzikutanisha Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Kenya, Somalia, Sudan na Sudan Kusini, kufanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika...
  14. JamiiForums Tanzania Mabaharia wana umuhimu gani katika uokozi na usalama majini?

    Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
  15. JamiiForums Tanzania Msumbiji yachaguliwa Mwanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeichagua Msumbiji kuwa mwanachama asiye wa kudumu wa Baraza hilo kwa muhula wa miaka miwili kuanzia Januari 2023 Nchi nyingine zilizochaguliwa ni pamoja na Ecuador, Japan, Malta na Uswizi ambapo watachukua nafasi za India, Ireland, Kenya, Mexico na Norway...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena afungua semina ya Wanawake, asisitiza washirikishwe katika amani na usalama

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefungua Semina kuhusu Agenda ya Wanawake, Amani na Usalama (Women Peace and Security Agenda) iliyofanyika tarehe 07 Juni, 2022 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Akihutubia washiriki wa Semina hiyo akiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Juni 07: Siku ya Usalama wa Chakula Duniani (World Food Safety Day)

    Chakula salama ni miongoni mwa vichocheo muhimu vya Afya njema. Vyakula visivyo salama ni chanzo cha magonjwa mengi. Kila mmoja wetu wajibu katika kuhakikisha usalama wa Chakula katika hatua zote za mnyororo wa thamani, kuanzia kinapozalishwa hadi kinapomfikia mlaji wa mwisho Mbali na madhara...
  18. JamiiForums Tanzania "Mkishindwana achaneni kwa usalama" kauli ya kitoto na ya kinafiki sana hii

    Kuna binadamu ni wanafiki sana na wanapenda kufanya maigizo Kila kunapokua na issues za Wapenzi na mapenzi ambazo zimepelekea vifo. Ninaamini waumini wa statement hii "mkichokana achaneni kwa Amani" ni wale ambao wako na Wapenzi ambao hawajawahi kuwapenda, kujitoa, kuwalea, kuwasitiri n.k. Kwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mataifa Manne hatari kwa usalama wa dunia

    Mataifa manne ambayo ni hatari kwa usalama wa dunia. Uwenda hujuwi ila nataka ujuwe nje ya nguvu za kijeshi kwa taifa kubwa kama marekani nyuma ya pazia kuna kitisho kikubwa cha usalama wa dunia na amani kutoka tawala nne ktk mataifa ma nne duniani. Waiati sisi tuna vaa magunia nakuowa ndoa za...
  20. JamiiForums Tanzania Mwandishi mashuhuri nchini Ghana azindua kituo cha Usalama wa Wanahabari Afrika

    Mwanahabari mpelelezi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas amezindua "Whistleblowers and Journalists’ Safety International Centre’ (Kituo cha Kimataifa cha Usalama cha Watoa taarifa na Wanahabari) ili kutoa ulinzi, nyumba salama, huduma za kisheria na utetezi kwa wanahabari na watoa taarifa barani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…