usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena: Matishio ya amani na usalama ni kichocheo cha utafiti na ubunifu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa matishio ya Amani na Usalama yameendelea kubadilika muda wote, na hivyo kuongeza umuhimu wa utafiti pamoja na ubunifu unaokwenda sambamba na kasi wa ukuaji na mabadiliko ya kiteknolojia duniani, ambapo...
  2. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mitandao ya kijamii na usalama wako

    MATUMIZI SAHIHI NA SALAMA YA MITANDAO YA KIJAMII Mara nyingi tumekua tunatumia mitandao ya kijamii bila kujiuliza juu ya usalama wa taarifa zetu. Tumekuwa kama mateka katika mitandao hii ya kijamii kiasi cha kusahau kuwa kuna hali ambayo tunaruhusu taarifa zetu muhimu kuwafikia watu wasio...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi Kenya: Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya Usalama kwa raia wake

    Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
  4. Mbaga Lazaro

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapongezwa kwa kudumisha usalama katika mpaka wa kusini

    Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mehmet Gulluoglu amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kwa kuimarisha ulinzi katika mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Waasi wanaohusishwa na Islamic State wamefanya mashambulizi tangu Oktoba 2017...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Kukosa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni hatari kwa usalama wa nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Australia: Sheria ya Usalama wa Mitandao kuzibana Apple, Meta na Microsoft

    Kampuni za #Meta (Facebook), #AppleInc na #Microsoft zimeandikiwa barua ya kutakiwa kushiriki mikakati ya kukomesha unyanyasaji wa watoto kwenye majukwaa yao vinginevyo yatapigwa faini. Idara ya Usalama wa Kielektroniki imesema kwa mujibu wa sheria mpya za Mitandao zilizoanza kutumika Januari...
  7. MoseKing

    JamiiForums Tanzania DCs waondolewe, DEDs wapewe Nguvu(Ulinzi na Usalama ) Wakuu wa Idara wapewe Nguvu kuhudumia Idara

    Hata kama CCM hawataleta Latina mpya au wanahitaji utitiri wa vyeo ili waweze kutoa fadhila na zawadi, Ni muhimu kupitia muundo wa utawala ili kuboresha kazi, kuondoa urasimu. na kuongeza Tina na kukwepa lawama. Leo, DCs wanalaumiwa masuala ya mapato lakini kiuhalisia DCs hawahusiki kabisa. DCs...
  8. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuwashirikisha Vijana katika Kilimo - ni ufunguo wa Baadaye kwenye Usalama wa Chakula?

    Ushirikishwaji wa vijana katika kilimo imekuwa mada kuu hivi karibuni na imeibuka katika ajenda ya maendeleo, kwani kuna wasiwasi unaokua ulimwenguni kwamba vijana wamekata tamaa na kilimo. Huku vijana wengi - karibu 85% - wanaishi katika nchi zinazoendelea, ambapo kilimo kinaweza kutoa chanzo...
  9. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Aliyejifanya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ashughulikiwa

    Tarehe 12/08/2022 RAYMOND NJOFU BWIRE (28) Mkazi wa Kamguluki Mkoa wa Mara alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kutuma ujumbe mfupi kwenye simu ya mkononi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mlele Mkoani Katavi anayejulikana kwa jina la TERESIA IRAFY. BWIRE alimtaka Mkurugenzi IRAFY...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania USALAMA MITANDAONI: Unashiriki vipi katika matumizi ya Intaneti ya Mtoto wako?

    Kuwapa Watoto Mwongozo wanapotumia Majukwaa la Kidijitali ni njia mojawapo ya kudhibiti hatari za mtandaoni zinazoweza kusababishia madhara Kwa mujibu wa Shirika la UNICEF. inakadiriwa Mtoto Mmoja kati ya Watatu ni Mtumiaji wa Intaneti. Aidha, Mtumiaji wa Intaneti Mmoja kati wa Watatu ni Mtoto...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa saidieni kumpa Rais Samia taarifa sahihi

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninaomba usalama wa Taifa kuanzia ngazi ya wilaya, mkoa na Taifa mpeni Rais taarifa sahihi ili afanye maamuzi sahihi. Kama nyinyi mnampa taarifa sahihi ila yeye hachukui hatua? hilo ni swala jingine. Kwenye hili swala la sensa na makazi ya mwaka...
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa Usalama warejeshwa nyumbani kwa Rais Mteule Ruto

    Mwaka mmoja baada ya Maafisa wa Idara ya Usalama kuondolewa kwenye makazi ya aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto na nafasi yake kuchukuliwa na Maafisa wa Polisi wa Utawala, leo wamerejeshwa rasmi. Kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi, Rais Mteule William Ruto anapewa ulinzi wa maafisa 200...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mali: Wanajeshi wa Ivory Coast washtakiwa kwa kuharibu Usalama wa Taifa

    Wanajeshi 49 wa Ivory Coast waliokuwa wamezuiliwa kwa zaidi ya mwezi mmoja nchini #Mali baada ya kushutumiwa kuwa mamluki, wamefunguliwa mashtaka ya kujaribu kuharibu usalama wa taifa na kuwekwa rumande. Ivory Coast imekanusha shtaka la shughuli za mamluki na imekuwa ikitoa wito wa kuachiliwa...
  14. BIN BOR

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya usalama Kilimanjaro Bus

    Kilimanjaro Express; huu sio mkanda wa suruali
  15. N

    JamiiForums Tanzania Whatsapp group wanayanga wakimtishia maisha Wallace Karia wa TFF wadai atahamia Lugalo jeshini kwa usalama wake

    Naam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za simba na uongozi wa Barbara ukatoa press release kusikitishwa na matamko yake hayo na ya kuyakana Kwa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mahafali ya Wahitimu wa Usalama wa nchini 'Northern Malawi' huwa hayatangazwi wala hatuonyeshwi kama yale ya Chuoni Lindumo?

    Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la China lachangia amani na usalama barani Afrika

    Tarehe 1 Agosti ni Siku ya Kuanzishwa kwa Jeshi la Ukombozi la Watu wa China. Katika miaka mingi iliyopita, jeshi hilo limeshiriki katika masuala ya usalama ya Afrika kwa hatua madhubuti, na kuchangia amani na usalama barani humo. China ni nchi ya pili duniani kwa mchango wa fedha kwa ajili ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi awataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia vema waliyofundishwa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia kwa vitendo maarifa waliyoyapata katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo...
  19. Willima

    JamiiForums Tanzania Kwa kua 'data ni mafuta mapya', watafiti lazima wawe na ujuzi katika usalama wa mtandao

    "Data is the new Oil", Goodman alihoji katika kitabu chake, future crime (2015), ambapo alionyesha jinsi data inavyo tumika kutengeneza mabilioni ya dola kwa makampuni yanayo kusanya data kwa kutoa huduma mbalimbali za kidijikali. Alicho sema Goodman ni sawa na kile alichoandika O'Connor (2004)...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika nyanja za amani na usalama

    Kongamano la pili la Amani na Usalama kati ya China na Afrika limefanyika hivi karibuni kwa njia ya mtandao. Katika barua yake ya pongezi kwa kongamano hilo, Rais Xi Jinping wa China ameeleza kwamba anatilia maanani sana ushirikiano wa amani na usalama kati ya China na Afrika, na kupendekeza...
Back
Top Bottom