Gabriel Kaserikali Mkazi wa Mbezi Mwisho, Dar es salaam anatuhumiwa kumtapeli Mohamed Nassoro mfanyabiashara wa magari wa Magomeni Dar es salaam kwa kujitambulisha ni mtumishi kutoka Idara hiyo
Akiwa Iringa alijitambulisha kwa baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Iringa kuwa yeye ni Afisa...
Mimi Makonda ni mdogo wangu kiumri na hata kiutumishi. Nilikuwepo wakati akihudumu kama mkuu wa mkoa wa Dar. Ni kijana shupavu asiyeyumba katika jambo analoliamini.
Makonda alisaidia sana Jiji la Dar kuwa salama alikimbizana Sana na wauza madawa pamoja na waliotelekeza watoto. Alilimudu Jiji...
SERIKALI KUIMARISHA USALAMA WA HUDUMA MTANDAO
Na Faraja Mpina, WHMTH, DAR ES SALAAM
SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inaendelea kuhakikisha inaimarisha usalama wa huduma zinazotolewa kwa njia ya mtandao ikiwa ni pamoja na biashara mtandao ili wananchi...
Mzuka Wanajamvi!
Kutokana na tabia mbaya siku hizi za chuki, husda, wivu, gilba na ushirikina lazima uwe makini sana kwa wanaokuzunguka. Si vizuri kuweka wazi mipango yako. Hata ukitaka kusafiri unaondoka kimya kimya tu.
Mimi hata nikija bongo likizo nashuka kimya kimya na nikiondoka...
Napongeza uteuzi wa Tax.
Ila bashungwa bado hajakomaa Kwa hiyo wizara, sijajua kwanini awamu hii ya sita inaogopa kufanya kazi na wakongwe, inawaondoa kwenye system watu mahsusi.
Hizi ndio zilikuwa nafasi za watu aina ya kabudi ni wakomavu.
Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba!
Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na...
Ndugu zangu Ni wachache wenye kuona na kutambua kazi kubwa inayofanywa na hivi vyombo vyetu katika kuilinda na kuipigania nchi yetu usiku na mchana na hatimaye kufanya watanzania tuishi kwa amani bila hofu Wala mashaka
Msingi wa maendeleo katika nchi yoyote Ile Ni uwepo wa amani na utulivu...
Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa kudhibitiwa na kushughulikiwa. Lakini hili ni suala la kuangalia kwa makini sana.
Ukishaanza kuwabana...
Edward Snowden aliyetoa taarifa za namna serikali ya marekani inawaspy raia wake pamoja na viongozi wa nchi nyingine amepewa uraia wa urusi.
Hili ni pigo lingine kwa USA ukizingatia bado Urusi imeendelea kumshikilia Star wa basketball Britney Griner .
Jioni ya Jana nikaamua niende zangu uwanjani nikacheki vijana wakifanya mazoezi,,,Kwa kawaida mi si mtu wa vijiweni kabisa kwahiyo nikiwa kitaa kama nikiamua kunyoosha miguu Sana Sana ntaenda uwanjani. Sasa hapo ndo tunaweza kutana na wadau tukabadilishana mawili matatu.
Nikiwa pale nikachukua...
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Lazaro Mambosasa amewataka Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kutumia mafunzo waliyoyapata kuleta tija ndani ya Jeshi la Polisi.
Alisema hayo alipokutana na askari hao katika mwendelezo wa...
Leo hii nimesoma habari kwamba Tanzania na Msumbiji tumetia sahhi makubaliano ya ulinzi na usalama. Kwanza sikuamini kama ni Msumbiji kweli, au nchi nyingine. Yaani Msumbji, ile ninayoijua mimi, ambayo maelfu ya wanajeshi wa Tanzania walikufa huko katika kuisaidia kupambana na majeshi ya uasi ya...
Rais wa Poland Andrzej Duda ameonya mataifa ya Afrika kuwa makini na kile alichokiita sera ya kifalme ya Urusi kutokana na kuongezeka kwa ushawishi wake katika masuala ya usalama na nishati
Amedai kuwa Urusi ilikuwa ikitumia Kundi la Wagner (kampuni ya usalama ya kibinafsi) kama "chombo chake...
Akitoa ushahidi wake mbele ya Bunge la Marekani, Mkuu wa zamani wa usalama wa mtandao huo, Peiter Zatko amesema data za watumiaji hazijalindwa vya kutosha na kwamba wafanyakazi takriban 4000 wanaweza kuzipata.
Amezitaja taarifa za mtumiaji ambazo Twitter haijaziweka salama kuwa ni namba ya...
Wameona hamna namna, itangazwe moja kwamba taifa la Urusi lipo kwenye vita rasmi dhidi ya Ukraine ili raia wahusishwe maana kinachoendelea pale Ukraine ni aibu, wanajeshi wao wanauawa huku wakitoroka mapambano.
==============
A member of Russia's State Duma Security Committee has suggested...
Akizungumza kwenye hafla ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Rais Mstaafu amesema ni muhimu kuhakikisha kunakuwa na sera nzuri zisizobagua na kuwanyima watu uhuru wao kwasababu hiyo ni njia nyingine kuu ya kulinda usalama wa nchi.
Amefafanua kuwa usalama wa nchi unahusisha mambo...
Rais Evariste Ndayishimiye amewafuta kazi Waziri Mkuu Alain Bunyoni na Msaidizi wake Mkuu bila ya kutoa sababu za hatua hiyo baada ya hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali yake hivi karibuni
Katika kikao cha dharura, Wabunge waliidhinisha Uteuzi wa Waziri wa Usalama...
Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa.
Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo...
Rais Samia Suluhi Hassan leo alitumia usafiri wa boti kutoka Zanzibar kuja Dar Es Salaam.
Je, huko kwenye Idara ya Ulinzi wa Rais kuna ambao ni manahodha wa boti au meli? Ambapo ikitokea Rais anatumia usafiri wa maji basi waweze kumuendesha?
Maana safari za namna hizi za Rais kutumia usafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.