Aliyeelewa usajili wa Mudathir Yahya anieleweshe

KJ07

JF-Expert Member
Dec 17, 2021
2,243
5,000
Mimi ni mwana yanga damdam lakin kwenye huku usajili naona kama tumepigwa na kitu kizito na sielewi Mudathir alikuwa ana uhitaji gani na naenda kumchukua nafasi ya nani au ndo yale ya kina Ngushi.

Huenda Wana maana yao Ila Acha tuone walikuwa wanalenga nini...
 
Mimi ni mwana yanga damdam lakin kwenye huku usajili naona Kama tumepigwa na kitu kizito na sielewi mudathir alikuwa ana uhitaji gani na naenda kumchukua nafasi ya Nani au ndo Yale ya kina ngushi.

Hata Mimi sijaelewa

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Akili nyingi sana.. Kiungo mkata shombo. Ni heri uwe na huyu mpemba muislamu kuliko kuwa na Bigirimana anaye ingia na kutoka kwenye kikosi cha kwanza.

Tanzania hakuna kiungo mkabaji mzawa kama Mudathir Yahaya..

Itoshe kusema viongozi wametumia akili nyingi, waliona huwezi kumwacha Bigirimana wakati huna mtu wa kushika nafasi yake. Ujio wa Mudathir ni ishara tosha Nafasi ya kigeni ya Bigirimana kinakuja Chuma cha pua.

Sasa wakati Yanga wanasajili wachezaji, kuna timu zinaleta wapiga Nyeto. Baada wakigongwa waanze kusingizia bahasha.

Kiungo PUNDA + Kiungo NUNGUNUNGU = Mudathir yaha.. Ukitaka ndio Usipo taka ndio.

JE YALIYOMO YAMOOOOO
 
Mimi ni mwana yanga damdam lakin kwenye huku usajili naona Kama tumepigwa na kitu kizito na sielewi mudathir alikuwa ana uhitaji gani na naenda kumchukua nafasi ya Nani au ndo Yale ya kina ngushi.
Huenda Wana maana yao Ila Acha tuone walikuwa wanalenga nini...
hajasajiliwa ili akachukue nafasi ya nani,bali anakuja kucheza yanga
 
Mimi ni mwana yanga damdam lakin kwenye huku usajili naona Kama tumepigwa na kitu kizito na sielewi mudathir alikuwa ana uhitaji gani na naenda kumchukua nafasi ya Nani au ndo Yale ya kina ngushi.
Huenda Wana maana yao Ila Acha tuone walikuwa wanalenga nini...

Tuliaaa, Yanga Bado Haijamaliza..!
 
Mchezaji ambaye anauzoefu wa ligi na ana caps za kutosha kimataifa Ina maana Yanga katika kitivo Cha kuzalisha umeme (Power House) wanaongeza Watts za kutosha katika Grid ya timu.

Ina maana unauhakika umeme aukatiki mwaka mzima kule mbele uzalishaji unaendelea bila shaka.
 
Mimi ni mwana yanga damdam lakin kwenye huku usajili naona Kama tumepigwa na kitu kizito na sielewi mudathir alikuwa ana uhitaji gani na naenda kumchukua nafasi ya Nani au ndo Yale ya kina ngushi.
Huenda Wana maana yao Ila Acha tuone walikuwa wanalenga nini...
Huwa unafanyika usajili kwa mahitaji ya timu na si tu kuwaelesha na kuwafurahisha mashabiki kwaiyo km kocha pamoja na viongozi wetu wameona kuna uhitaji wa uyo mchezaji inatosha sisi wanachama na mashabiki tusubilie kushangilia tu
 
1672763005318.png
 
Mimi ni mwana yanga damdam lakin kwenye huku usajili naona Kama tumepigwa na kitu kizito na sielewi mudathir alikuwa ana uhitaji gani na naenda kumchukua nafasi ya Nani au ndo Yale ya kina ngushi.
Huenda Wana maana yao Ila Acha tuone walikuwa wanalenga nini...
kikosi kipana
 
Akili nyingi sana.. Kiungo mkata shombo. Ni heri uwe na huyu mpemba muislamu kuliko kuwa na Bigirimana anaye ingia na kutoka kwenye kikosi cha kwanza.

Tanzania hakuna kiungo mkabaji mzawa kama Mudathir Yahaya..

Itoshe kusema viongozi wametumia akili nyingi, waliona huwezi kumwacha Bigirimana wakati huna mtu wa kushika nafasi yake. Ujio wa Mudathir ni ishara tosha Nafasi ya kigeni ya Bigirimana kinakuja Chuma cha pua.

Sasa wakati Yanga wanasajili wachezaji, kuna timu zinaleta wapiga Nyeto. Baada wakigongwa waanze kusingizia bahasha.

Kiungo PUNDA + Kiungo NUNGUNUNGU = Mudathir yaha.. Ukitaka ndio Usipo taka ndio.

JE YALIYOMO YAMOOOOO
Watanzania mna shida kuliko shida zenyewe. Umesema hujaelewa Kwa nini kasaniliwa, hapohapo unamwaga sifa na sababu za kusajiliwa kwake?
 
Mimi ni mwana yanga damdam lakin kwenye huku usajili naona Kama tumepigwa na kitu kizito na sielewi mudathir alikuwa ana uhitaji gani na naenda kumchukua nafasi ya Nani au ndo Yale ya kina ngushi.
Huenda Wana maana yao Ila Acha tuone walikuwa wanalenga nini...
Baadhi ya wachezaji ni waganga pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom