Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,505
Hawa watu niliwakataa

1. Haji Manara (huyu hana akili ila alituona sisi Yanga ndo hatuna akili. Simba wakamfukuza) sisi tukaona tumeokota Dodo.

2. Bernard Morrison (huyu alitudhalilisha sana...tulihangaika TFF, CAF na CAS. alikuwa anatuonesha dharau sana) ameachwa Simba tumemkimbilia ameanza kuonesha dharau zake kwetu. Jamaa sijui mchawi? Mpaka leo hajarudi kambini anakula tu gambe na mademu huko kwao.

Sisi Yanga jana tumemsajili tena Metacha Mnata huyu alituambia tuna f*rwa ashakum si matusi. Alituoneshea dole la katikati. Leo tena ni mchezaji wetu. Haya ni matusi kwetu. Huu Ujinga huwezi ukuta kwa Hawa machizi wa Msimbazi. Wao wana namna yao ya kuendesha team. Hukuti wakirudia matapishi au makosa yao.

Msikilizeni Msemaji wetu. Leo kaongea kwa utulivu mzuri bila maneno ya kichimba chumvi.

Yanga inabidi wajitahidi kusimmamia nidhamu za wachezaji.

YANI WACHEZAJI WANAJIAMILIA MAMBO PASIPO UTARATIBU.

MIMI NI SIMBA.
NIMPONGEZE SANA ENG KWA SCAUT NA SAJILI NZURI MNO KAMA.

Diara, JUMA, Bangala, Aucho, Mayele nk.

Kongole Hersy ila simamia Nidhamu.
Toa tu pongezi bila kujichawisha. Kwani kuna ulazima wa kutaja wewe nani? Unakwepa nini? Au ni kutaka kujipendekeza kwetu Yanga? Hatutaki matunduja huku kwetu. Au unataka nawe usaliwe na Hersi yanga?
 
Ungetoa pongezi bila kusema mimi simba
Shida utambiwa mkalia mwiko?
Hii mambo ya "mimi ni Simba......." .Huwa hamjiamini mnavyotoa maoni yenu mpaka mtujulishe kwanza kuwa wewe ni Yanga?
Hakuna mwanasimba anaweza kuongea pumba kama hio
Toa tu pongezi bila kujichawisha. Kwani kuna ulazima wa kutaja wewe nani? Unakwepa nini? Au ni kutaka kujipendekeza kwetu Yanga? Hatutaki matunduja huku kwetu. Au unataka nawe usaliwe na Hersi yanga?
Mashabiki wa simba mna nongwa sana!
 
Simba na Yanga wanatofautiana sana culture zao. Sitalielezea hili sana kwa sasa ila huu msingi wa tofauti ambao nadhani una historia ndefu unafanya Yanga ionekane timu ya watu wabishi, tegemezi, wenye wivu dhidi ya wale waliowazidi na wasiopenda kuishi uhalisia na wanachukia mno kuambiwa ukweli.

Siyo ajabu kukuta chama fulani cha siasa kinajihusisha na timu hii maana culture na falsafa zao zinashabihiana sana.
 
Ungetoa pongezi bila kusema mimi simba
Shida utambiwa mkalia mwiko?
 
Yanga inabidi wajitahidi kusimmamia nidhamu za wachezaji.

YANI WACHEZAJI WANAJIAMILIA MAMBO PASIPO UTARATIBU.

MIMI NI SIMBA.
NIMPONGEZE SANA ENG KWA SCAUT NA SAJILI NZURI MNO KAMA.

Diara, JUMA, Bangala, Aucho, Mayele nk.

Kongole Hersy ila simamia Nidhamu.
Umerudi lini simba wewe

Huwa nasema wazi na leo narudia tena USAJILI WA YANGA NI WA KISHAMBASANA ,eti tunamrudisha ili tuwakomoe simbaguys mko siriazi kweli..jitu kama morisson ni la kufukuzwa nchini coz ni jinga sana lile jamaa.

Yaani ifike wakati vilabu vya nchi hii vikubaliane kutotumika kama mafala na wachezaji ambao hawana nidhamu,hili jamaa lishajua tz ni nchi ya kupiga hela tu,ukizingatia watz wengi ni mashamba tu hayajui mpira,kazi kuweka mbele ushabiki tu.

Jambo lingine,issue inayoendelea kwa yanga na feisal,ni wazi kuwa feisal kaidhalilisha sana yanga,kwa kutaka kuvunja mkataba kihuni,kawadharau sana viongozi hata fans pia,na kwa mujibu wa wakili wake kasema hawezi kurudi kamwe yanga,sasa yanga wataona kama jamaa kusema hivyo ni kuwafanya wao wadogo sanaa,jamani yanga ni kubwa sana kuliko hao wachezaji,mnavyojishusha kwa wachezaji mnajichora tuu ,ohoooo!! Yaani rais hataki kushindwa hata jambo moja akiamini kuwa ndo kipimo cha uongozi bora,kuna mambo lazima uachane nayo tu kama unaona huwezi kuhandle.

pale simba okrah inasemekana anataka kuondoka afu viongozi wanamlamba lamba ,angekuwepo hasspope angelitimua mchana kweupe peee.(IKO SIKU OKRAH ATAWASHINDA SIMBA)mark my words

Liende tu,kwani nini,??ndo nashangaa sasa yanga mnapenda sana kuongozwa na hisia kuliko uhalisia,hakukuwa na sababu ya kumsajili huyu kichaa,na hata kumrudisha mnata,iko siku mtajuta.
 
Umesema ukweli kabisa hata pamoja na kushinda Jana lakini sikuwa na furaha hatuwezi kuwa na timu ambayo watu wanabembelezwa kucheza au kucheza pale wanapokisikia ni heri tukose kombe ila tuwe na timu ambayo ukiangalia uwanjani unaona watu wanapambana
Job kibwana Mwamnyeto Sure boy Farid na wazawa wengine naweza sema ndio wanaoibeba timu kipindi Hawa mafadha waliokuja kula pension wakiwa wanaringa
Anyway kwa sababu hela ni za GSM acha ziliwe siwezi changia hela nimlipe Morrison Bangala Aucho au Aziz watu wanaotoa mchango wakijisikia
 
Toa tu pongezi bila kujichawisha. Kwani kuna ulazima wa kutaja wewe nani? Unakwepa nini? Au ni kutaka kujipendekeza kwetu Yanga? Hatutaki matunduja huku kwetu. Au unataka nawe usaliwe na Hersi yanga?
Yanga inabidi wajitahidi kusimmamia nidhamu za wachezaji.

YANI WACHEZAJI WANAJIAMILIA MAMBO PASIPO UTARATIBU.

MIMI NI SIMBA.
NIMPONGEZE SANA ENG KWA SCAUT NA SAJILI NZURI MNO KAMA.

Diara, JUMA, Bangala, Aucho, Mayele nk.

Kongole Hersy ila simamia Nidhamu.
Hajulikani kama ni Simba jamani..mimi naanzaje kujitambulisha?? Ni kwa sbb kawasifia so msije sema ni topolo...
 
Huwa nasema wazi na leo narudia tena USAJILI WA YANGA NI WA KISHAMBASANA ,eti tunamrudisha ili tuwakomoe simbaguys mko siriazi kweli..jitu kama morisson ni la kufukuzwa nchini coz ni jinga sana lile jamaa.

Yaani ifike wakati vilabu vya nchi hii vikubaliane kutotumika kama mafala na wachezaji ambao hawana nidhamu,hili jamaa lishajua tz ni nchi ya kupiga hela tu,ukizingatia watz wengi ni mashamba tu hayajui mpira,kazi kuweka mbele ushabiki tu.

Jambo lingine,issue inayoendelea kwa yanga na feisal,ni wazi kuwa feisal kaidhalilisha sana yanga,kwa kutaka kuvunja mkataba kihuni,kawadharau sana viongozi hata fans pia,na kwa mujibu wa wakili wake kasema hawezi kurudi kamwe yanga,sasa yanga wataona kama jamaa kusema hivyo ni kuwafanya wao wadogo sanaa,jamani yanga ni kubwa sana kuliko hao wachezaji,mnavyojishusha kwa wachezaji mnajichora tuu ,ohoooo!! Yaani rais hataki kushindwa hata jambo moja akiamini kuwa ndo kipimo cha uongozi bora,kuna mambo lazima uachane nayo tu kama unaona huwezi kuhandle.

pale simba okrah inasemekana anataka kuondoka afu viongozi wanamlamba lamba ,angekuwepo hasspope angelitimua mchana kweupe peee.(IKO SIKU OKRAH ATAWASHINDA SIMBA)mark my words

Liende tu,kwani nini,??ndo nashangaa sasa yanga mnapenda sana kuongozwa na hisia kuliko uhalisia,hakukuwa na sababu ya kumsajili huyu kichaa,na hata kumrudisha mnata,iko siku mtajuta.
Kwa Mnata ndo ilikua option ya haraka na ya mwisho maana muda ulikua umeisha. But kwa Morison.... ni bora wangembakiza Yacouba
 
Back
Top Bottom