urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    OPEC na Urusi zakubaliana kupunguza uzalishaji mafuta

    Urusi pamoja na mataifa yanayozalisha mafuta kwa wingi duniani (OPEC) yamekubaliana kupunguza kiwango cha uzalishaji mafuta kwa takribani mapipa milioni 10 kwa siku ili kuidhibiti bei iliyoporomka kutokana na janga la kirusi cha corona na vita. Punguzo hilo, ambalo liliafikiwa kwenye mkutano...
  2. Miss Zomboko

    Urusi: Zuio la watu kutoka nje lapelekea jirani kuwaua wenzake 5 kwa madai kuwa walikuwa wakipiga kelele

    Kila jambo huja na maajabu yake! Katika hali ya kushangaza, mwanaume mmoja anashikiliwa na polisi nchini Urusi kwa kosa la kuwafyatulia risasi na kuwaua watu watano kwa madai kuwa waligoma kupunguza sauti zao wakiwa karibu na nyumba yake, huku kukiwa na marufuku ya kutembea nchini humo. Tukio...
  3. Sanitizer

    Urusi yaisaidia Marekani kupambana na corona

    Wakuu, ni ukweli sasa Marekani imenyoosha mikono juu kufatilia kuongoza kuwa na cases nyingii za wagonjwa wa COVID-19 kuliko nchi yeyote duniani! Hii imepelekea mpaka Trump kumgeukia mhasimu wake wa muda mrefu na hivyo hapa tunavyoongea ndege ya Urusi ya kijeshi aina ya AntonovAN124 upo angani...
  4. Miss Zomboko

    Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amefungua mjadala wa Bunge kufanya mabadiliko ya katiba yanayoweza kumruhusu kukaa madarakani mpaka mwaka 2036. Hata hivyo katika hotuba yake amesema, angependa kuwepo ukomo wa mihula ya Urais nchi ikishakomaa kisiasa. =================== (MOSCOW) — Russian...
  5. Miss Zomboko

    Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani: Aliyekuwa mshauri wa Trump ahukumiwa miezi 40 jela

    Roger Stone, aliyekuwa mshauri wa Rais wa Marekani, Donald Trump wakati wa kampeni za uchaguzi ambaye jina lake lilitajwa wakati wa kesi ya Urusi amehukumiwa kifungo cha miaka 3 na miezi 4. Uamuzi kuhisiana na kesi zilizokuwa zikimbali Stone umetolewa katika mahakama jijini Washington...
  6. lee Vladimir cleef

    Ombi langu kwa DStv wekeni na habari za URUSI kupitia TV yao ya kiingereza ya RT yaani Russia Today

    Kuna tatizo lolote kati ya RT na DSTV? Kama hakuna tatizo naomba mimi Kama mteja mtuwekee na vipindi kutoka Urusi, sisi wengine ni wapenzi wa habari za kimataifa, pia hupenda kufanya ulinganifu wa taarifa. Kwa bahati nzuri DStv mnarusha habari za dunia kupitia CNN,BBC,DW,FRANCE, na TV nyingine...
  7. FRANC THE GREAT

    Waziri mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa rais

    Waziri Mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev ametangaza kuwa serikali imejiuzulu. Taarifa hiyo inakuja muda mfupi baada ya Rais Vladimir Putin kutoa hotuba yake ya kila mwaka ya kitaifa. Kukubaliana na kujiuzulu huko, Putin aliwaomba mawaziri kuendelea kufanya kazi hadi pale serikali mpya itakapoundwa...
  8. britanicca

    Tetesi: Kissinger: Ameonekana kwenye Chumba cha operation za kivita cha Marekani akicheka sana asema waarabu kuwa majivu/Iran na Urusi kuzikwa kaburi moja

    KISSINGER AMEONEKANA CHUMBANI KWENYE MITAMBO YA VITA YA MAREKANI AKICHEKAA 🔷 Kissinger: World War III will come and Muslims will turn to ashes ... Former US Secretary of State Henry Kissinger made loud and dangerous statements after being swallowed up by a long silence until people almost...
  9. Miss Zomboko

    Rais wa Urusi awafukuza kazi Majenerali 5

    Rais wa Urusi, Vladmir Putin amewafuta kazi majenerali 5 waliokuwa wakifanya kazi katika wizara na mashirika mbalimbali. Kwa mujibu wa uamuzi wa Rais uliosambazwa katika mfumo wa sheria za serikali, Majenerali 5 waliokuwa wakitumika katika sehemu mbalimbli nchini humo kama vile wizara ya mambo...
  10. Miss Zomboko

    Urusi yafanikiwa katika jaribio la kujiondoa kwenye intaneti ya dunia

    Jaribio hilo linatafsiriwa kama mpango wa serikali kuminya mawasiliano ya watu nchini Urusi Serikali ya Urusi imefanikiwa kufanya majaribio ya mtandao uitwao Runet, ambao ni mbadala wa mtandao wa intaneti unaotumika hivi sasa duniani. Maelezo kuhusu nini kilifanyika katika majaribio hayo...
  11. Wakulonga

    Miaka 20 ya utawala wa Rais wa Urusi katika picha

    Picha mbali mbali zinazomuonyesha rais wa Urusi Wakati wa utawala wake wa miaka 20 Vladimir Putin: Miaka 20 ya uongozi ndani ya picha 20
  12. Nyendo

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lailaani Urusi kuikalia Crimea

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuilaani hatua ya Urusi kuukalia mkoa wa Crimea na mji wa Sebastapol nchini Ukraine na kuitolea wito kuondoka mara moja. Azimio hilo lilipitishwa jana, katika siku ambayo pia Rais Vladimir Putin na mwenzake wa Ukraine, Volodomyr Zelensky...
  13. lee Vladimir cleef

    Tusiwaone Urusi kama wastaarabu kumbe nao ni wachokozi na watu wa maslahi yao tu

    Kwa sababu za kimaslahi tu kwa kutumia askari wao hatari kabisa hapa duniani GRU,ALPHA na VYMPEL, walizivamia ,nchi nying kibabe tu ili kulinda maslahi yao. Hawa jamaa kwa ukorofi wao walidiriki kuvamia kambi ya Wamarekani kuua makomando wa kimarekani kadhaa kati ya waliokuwepo kuharibu...
  14. FRANC THE GREAT

    Facebook yazifungia kurasa tatu kutoka nchini Urusi

    Facebook yazifungia kurasa tatu kutoka nchini Urusi Kampuni ya huduma ya mtandao wa kijamii, Facebook ilisema Jumatano kuwa imesimamisha mitandao mitatu ya akaunti za Kirusi ambazo zilijaribu kuingilia katika siasa za ndani za nchi nane za Kiafrika, akaunti zinazohusishwa na mfanyabiashara wa...
  15. MALCOM LUMUMBA

    Swali gumu kidogo: Kwanini Urusi iliyosambaratika na dhaifu kuliko USSR inawasumbua sana NATO?

    Umoja wa Kisovieti (USSR au CCCP) taifa lililozaliwa mwaka 1922-1991, lilikuwa ni moja ya taifa lenye nguvu sana duniani lakini lenye mwisho mbaya sana ambao ni aibu kwa watu wake mpaka leo. Kiuchumi walikuwa wana nguvu sana, kiteknolojia walikuwa mbele, nguvu kubwa ya viwanda, kijeshi walikuwa...
  16. lee Vladimir cleef

    Vikwazo vyaiumiza Urusi, havijaweza kuipinda, yapata funzo

    Nchi jirani ya Ukraine imesababisha Russia kuingia katika mgogoro mkubwa na West ambao haujawahi tokea tangu kuvunjika kwa USSR. Russia ni taifa kubwa kieneo,kisayansi,kiteknolojia na hata kiuchumi. Ina rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi duniani ikiwa na mafuta,gesi na madini ya aina nyingi...
Back
Top Bottom