Wafalme wa Urusi walivyoishi kabla ya Mapinduzi ya Kijamaa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1620500769678.png

Hii ni Ikulu ya Alexander aliipendelea sana Tsar Nicholas II

1620500855722.png

1620508823134.png

Kabla ya Ujamaa walimuamini Yesu
 
The Ramanovs wangekuwa na uwezo mpana wa kutafakari mbali basi leo hii wangekuwa moja kati ya familia bora sana za kifalme barani Ulaya. Ukisoma historia yao utafahamu ni familia iliyoifanyia makubwa Urusi, lakini pia ni familia iliyowaangusha sana Warusi.
 
mkuu hebu nipe kisa Cha Rasputin hua nasikia aliuawa mara tatu kwa kupewa sumu,kupigwa risasi na kunyongwa kwa wakati mmoja ila sijajua chanzo Cha huyo mwamba kujiingiza kwenye jumba la Tsar!
Nenda youtube utakuta historia yake.

Kwa kifupi familia ya Kifalme ya Tsar walikuwa na mtoto alikuwa na ugonjwa wa hemophilia (damu haigandi). Tabia hii inarithiwa ikiwa mwanamke anao ugonjwa huu (lakini kwake huwa haujitokezi, yaani ni carrier). Mke wa mfalme ni mjukuu wa Queen Victoria ndiye aliyekuwa carrier wa ugonjwa huu, kwa hivyo alivyopata mtoto wa kiume akapata hemophilia.

Katika kuhangaika kutafuta dawa ndipo akatokea Mchungaji Rasputin (preacher) kutoka mikoani huko na kusema yeye anajua dawa, basi ndiyo ikawa tena mama hasikii haoni kila analosema Rasputin basi yeye anasikiliza. Alianza mpaka kuingia kwenye mambo ya utawala wa serikali.

Ni kweli jamaa walijaribu kumuua mara mbili akasave, lakini mara ya tatu ndiyo walihakikisha amekufa kweli. Kama ninavyokumbuka hata hivyo walipokwenda kumtazama pale walipompiga risasi waliona ameondoka.

Sikiliza wimbo safi wa Boney M wa Rasputin:
 
daaa asante mkuu kwa hints hizo jamaa alikaribishwa sebuleni akaanza kuzama mbaka chumbani kabisa haaahaaaaa

Bon M Rasputin ninao kwa playlist yangu mkuu

🎡Raa Raa Rasputin Love of the Russian Queen🎢🎢🎸🎹🎀🎻🎼
Pamoja mkuu wangu!
 
Haya magonjwa kama haemophilia ndiyo yalisababisha Royal Families kuacha kuoana wenyewe kwa wenyewe na kuanza kuoa commoners kama Kate Middleton na Meghan Markle.
 
mkuu hebu nipe kisa Cha Rasputin hua nasikia aliuawa mara tatu kwa kupewa sumu,kupigwa risasi na kunyongwa kwa wakati mmoja ila sijajua chanzo Cha huyo mwamba kujiingiza kwenye jumba la Tsar!
Huyu alikuwa mtawa mwenye miujiza,kuingia kwenye kasri la kifalme kulitokea baada ya Rasputin kumtibu mwana mfalme ugonjwa fulani kimiujiza.
 
Asante mkuu wangu nasikia malkia katika jumba la Tsar alimpa jamaa kila anachotaka aisee ila wanawake bwana hua wanawaamini wachungaji,manabii na mitume wao kuliko hata waume zao yaani ndio maana gwaji boy hua anawavua hadi vyupi kondoo wake walionona,
Yaani wao wanawaona wachungaji wao Kama Yesu wa pili aisee!
 
mkuu hebu nipe kisa Cha Rasputin hua nasikia aliuawa mara tatu kwa kupewa sumu,kupigwa risasi na kunyongwa kwa wakati mmoja ila sijajua chanzo Cha huyo mwamba kujiingiza kwenye jumba la Tsar!

Aliingia kupitia dini hakuws kiongozi mkuu wa Othodox ila alipata ushawishi sawa a walivyo wanaojiita mitume na manabii wa leo. Hii ilifanya kutokee mpasuko na kuchukiwa na viongozi wa juu wa kanisa huko urusi. Sifa za jamaa kwanza alikuwa mtu anayependa wanawake alafu mlevi ila ana ushawishi wa kiimani.

Aliaminiwa sana na Tsar hasa pale alipoweza kumtuliza mtoto wa Tsar aliyekuwa anasumbuliwa na kitu Rasputin alichokiita pepo wachafu. Dogo alikuwa anapiga makelele usiku ila jamaa ndio mtu wa kwanza kumfanya dogo atulie.

Kuna wanaosema alilala na Malkia ili dogo atoke icho alichokiita pepo mchafu.

Issue ya kuuawa:

Alitegewa sumu kwenye keki sumu ambayo ingemuua dakika chache baada ya kula kipande ila ajabu jamaa alivila vipande vya kutosha na kusifia keki ni tamu sana. Haitoshi akapiga na pombe.

Askari aliyepewa iyo kazi baada ya kuona mwamba hajafa na anamuangalia tu akaamua kwenda kuwaambia mabosi wake (walikuwa jengo moja) kisha akarudi akampiga risasi ili kummalizia. Akijua kazi imeisha ajabu wakashtukia mwamba katoka anasepa zake ndio wakatika wakampiga risasi akiwa uwanjani.

Kwa sababu ya uoga wakamchukua mwili wakaufunga vizuri wakaenda kuutupa kwenye daraja mbaali kabisa ili asije wafufukia. Baada ya muda mwili wake ulipatikana ukiwa bado mbichi haujaaribika (labda sababu ya baridi)

Hii ni brief mkuu, Youtube zipo documentary kumhusu jamaa na ilikuwaje hadi akawa alivyokuwa.
 
duu mkuu shukrani sana aisee nimepata hints za kushiba
Pamoja sana!πŸ‘πŸ‘πŸ™ŒπŸ‘Š
 
Haya magonjwa kama haemophilia ndiyo yalisababisha Royal Families kuacha kuoana wenyewe kwa wenyewe na kuanza kuoa commoners kama Kate Middleton na Meghan Markle.
Msichafue watu bwana, watu wanaoona wao kwa wao (Inbreeding) ndiyo wenye hatari kubwa ya kupata genetic disorders. Hivi unawafahamu The Hapsburg Family ???
 
daaa asante mkuu kwa hints hizo jamaa alikaribishwa sebuleni akaanza kuzama mbaka chumbani kabisa haaahaaaaa

Bon M Rasputin ninao kwa playlist yangu mkuu

🎡Raa Raa Rasputin Love of the Russian Queen🎢🎢🎸🎹🎀🎻🎼
Pamoja mkuu wangu!
Daaah siku moja nilimsikia maza wangu akiwa anaimba wimbo wa Ma Baker niliishia kucheka tu.
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†

Ma ma ma,
Ma Baker,
She taught her four sons.
Ma ma ma,
Ma Baker,
To handle their guns
🎡 🎡 🎡 🎡🎡🎡
 
Bon M walikua wanajua sana mkuu yaani walikua njema na wabunifu hatari nazikubali sana ngoma zao hua najiuliza walipata wapi ile idea ya kuimba nyimbo za kiswahili ?
 
Daaah siku moja nilimsikia maza wangu akiwa anaimba wimbo wa Ma Baker niliishia kucheka tu.
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†

Ma ma ma,
Ma Baker,
She taught her four sons.
Ma ma ma,
Ma Baker,
To handle their guns
🎡 🎡 🎡 🎡🎡🎡
Unacheka nini wakati Ma Baker iliimbwa kwenye early eighties, inawezekana yeye ndiyo alikuwa bado kijana kabisa.
Hawa akina Boney M ni wa enzi zetu za miaka ya sabini na themanini.
 
Back
Top Bottom