urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Urusi wagundua kifaa kinachomuwezesha kipofu kuona

    Wataalam wa Urusi latika maabara ya Sensor-Tekh wamefanikiwa katika majaribio ya kifaa ambacho kinawezesha vipofu kuweza kuona. Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera. Kifaa hicho kilichopewa jina la...
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Wadukuzi wadai fidia ya Tsh Bilioni 162 ili kufungulia mifumo waliyofungia

    Wadukuzi wanaodhaniwa kuhusika na shambulio la kimtandao wamedai malipo ya dola milioni 70 (sawa na Tsh. bilioni 162 na milioni 330) ili kufungulia mifumo waliyodukua. Madai yao yaliwekwa wazi siku ya Jumapili katika mtandao wa kihalifu unaohusishwa na genge la wahalifu wa kimtandao la Urusi...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ajali: Ndege yaua watu 28 baada ya kuangukia Baharini Urusi

    Ndege ya Urusi iliyowabeba Watu 28 imepoteza mawasiliano leo na kuangukia Baharini umbali wa KM 15 hadi 25 kutoka Airport na taarifa zinadai Watu wote 28 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki Dunia. Aidha, inaelezwa kuwa Ndege hiyo yenye namba RA-26085 ilibeba abiria 22 pamoja na wafanyakazi...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Urusi yarekodi idadi kubwa zaidi ya vifo tangu kuanza kwa mlipuko

    Taifa hilo limerekodi vifo 697 vya COVID-19, idadi ambayo imetajwa kuwa kubwa zaidi kuripotiwa ndani ya siku moja tangu kuanza kwa mlipuko. Aidha, Mamlaka pia zimerekodi maambukizi mapya 24,439 huku 7,446 kati ya visa hivyo vikitokea Mji Mkuu wa Moscow. Ongezeko la maambukizi limetajwa...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Biden asema Marekani haitokalia kimya mashambulizi ya mtandao ya Urusi

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Taifa hilo litajibu ikiwa Urusi itaendelea kutekeleza mashambulizi ya kimtandao dhidi yao. Akizungumza baada ya mkutano wake wa kwanza na Vladimir Putin, Biden amesema ameweka wazi kuwa Urusi inatakiwa kuheshimu Sheria au kukabiliana na matokeo. Amesema...
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Fahamu maisha ya Vladimir Putin wa Urusi

    Fahamu kwa undani maisha binafsi ya kila siku ya rais wa Urusi Vradimil Putin Kwa kawaida Putin huchelewa kuamka na kupata kifungua kinywa Akiwa ni mmoja wa viongozi wa dunia wenye nguvu na ushawishi zaidi na mwenye ulinzi mkali, Rais wa Urusi amekuwa akiishi maisha yanayoaminiwa kuwa ya...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Urusi yamkamata mkosoaji mwingine wa Ikulu

    Polisi ya Urusi imemkamata Dmitry Gudkov mmoja ya wakosoaji wakubwa wa ikulu ya Kremlin na taarifa zinasema huenda atakabiliwa na kifungo jela. Taarifa za kukamatwa kwa Gudkov zimethibitishwa na baba yake mzazi aliyesema kuwa alikamatwa baada ya msako wa polisi kwa madai ya kutolipa kodi ya...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dullah Mbabe na wenzake wapoteza mapambano yao nchini Urusi

    Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amepoteza pambano lake dhidi ya Pavel Silyagin lililopiganwa Moscow, Urusi wakiwa wanawania mkanad wa Asian Pacific mkanda wa WBO ambapo alishindwa kwa points. Aidha Twaha Kassimu (Twaha Kiduku) amepoteza kwa points katika pambano lake dhidi ya Bek...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mabondia wanne wa Tanzania wamewasili Urusi kupambana akiwemo Dullah Mbabe

    Mabondia wanne wa Tanzania akiwemo Dullah Mbabe wamewasili nchi Urusi kuzichapa na mabondia wa Urusi ambao awali Dullah Mbabe aliwataja kuwa wanapiga sana, lakini ameamua kwenda. Dullah Mbabe atapambana na Pavel Silyagin kuwania ubingwa wa Asian Pacific mkanda wa WBO. Twaha Kiduku atapambana na...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dullah Mbabe: Mabondia wa Tanzania msiende Urusi na Kazakhstan

    Bondia wa Tanzania Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amesema hawezi kwenda tena kupigana nchini Urusi na Kazakhstan kwa sababu mabondia wa kule ni wakali sana. Pia amewatahadharisha mabondia wa Tanzania wanaokwenda kule kuwa mabondia wa nchi hizo huwa hawapoi na huwa wanapiga ngumi kama...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wafalme wa Urusi walivyoishi kabla ya Mapinduzi ya Kijamaa

    Hii ni Ikulu ya Alexander aliipendelea sana Tsar Nicholas II Kabla ya Ujamaa walimuamini Yesu
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Biden: Marekani haitaki zogo na China wala Urusi

    Biden ameyasema hayo katika hotuba yake ya kwanza kwa bunge la Marekani, baada ya kutimiza siku 100 tangu aingie madarakani. "Marekani ipo katika hatua ya kusonga mbele tena." Ni sehemu ya maneno ya kutia moyo ambayo ameyasema katika hotuba iliyopindukia takribani saa nzima yenye kugusia masuala...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Urusi yaijibu Marekani kwa kuwatimua wanadiplomasia wake

    Urusi imewataka wanadiplomasia 10 wa Marekani kuondoka nchini humo katika hatua ya kulipiza kisasi baada ya Marekani kuwafukuza wanadiplomasia 10 wa Urusi kwa madai ya udukuzi na kuingilia kati uchaguzi wa Marekani wa mwaka uliopita. Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema John Sullivan, ambaye...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani mbioni kuweka vikwazo vipya dhidi ya Urusi

    Imeripotiwa kuwa Serikali ya Marekani inatarajia kuweka vikwazo dhidi ya Urusi, hatua ambayo imetajwa kuwa majibu dhidi ya mashambulio ya kimtandao yaliyolenga Marekani ikiwemo madai ya kuingilia Uchaguzi wa Urais 2020. Vikwazo hivyo vinavyotarajiwa kutangazwa hivi karibuni vinalenga zaidi ya...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Urusi yasitisha safari za ndege kati yake na Tanzania

    Serikali ya Urusi imesema inapanga kusitisha huduma za anga kati ya Nchi hiyo na Tanzania kuanzia Aprili 15 hadi Juni 01, 2021 kutokana na hali ya mlipuko wa CoronaVirus Serikali imesema itapitia upya zuio hilo ikiwa hali ya mlipuko itatengemaa. Mbali na Tanzania, Taifa hilo pia litasitisha...
  16. El ohinu

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa vita kati ya Urusi na Ukraine

    Wakuu hiki ninachokiona YouTube na nyie mmeshakiona? Mbona inaoneka urusi kapeleka jeshi kubwa sana na vifaa karibu vya aina yote mpakani mwa ukraine akdai anawalinda raia waliopo eastern ukraine ambalo ni eneo la ukraine yan lipo ndani ya ukraine. Wakati huohuo turkey karuhusu marekani...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Urusi yatishia kuifungia Twitter

    Urusi imerudishwa mpango wake wa kuuungia mtandao wa twitter, kwa sasa wameuongezea muda hadi Mei 15 ili waweze kuendana na sheria za Urusi. Mamlaka za Urusi Twitter zimekuwa zikiruhusu maudhui yaliyopigwa marufuku ikiwemo ponographia za watoto na kuchochea kujiua. Machi 10 Urusi ilitangaza...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Urusi: Twitter yapigwa faini kwa kuweka maudhui yasiyoendana na Maadili ya Nchi hiyo

    Mahakama ya mji mkuu wa Moscow nchini Urusi, imeitoza Twitter faini ya fedha ruble milioni 3.2 kwa ukiukaji wa kiutawala. Kesi iliyowasilishwa na Idara ya Teknolojia ya Habari ya Serikali ya Urusi na Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano ya Umma (Roskomnadzor) dhidi ya Twitter ilisikilizwa katika...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Dikteta Stalin wa Urusi ndiyo anashikilia rekodi ya kuagwa na watu wengi zaidi 1953

    Mnyama ama mtu hatari akifa/akifariki watu huwa wanajitokeza kwa wingi kushangaa. Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote 8 vya kata yetu walimiminika kuja kumwangalia. Huyo ni chatu ambaye wala siyo mwanasiasa achilia...
  20. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Urusi yakanusha tuhuma za kumsaidia Trump

    Urusi imeyaelezea madai ya idara za upelelezi za Marekani kuwa Rais Vladimir Putin huenda alisimamia juhudi za kujaribu kumsaidia Donald Trump katika uchaguzi wa Marekani wa 2020 kuwa yasiyo na msingi. Ripoti ya ujasusi ya Marekani iliyotolewa jana imeongeza maelezo mengine kwenye tuhuma kuwa...
Back
Top Bottom