Biden asema Marekani haitokalia kimya mashambulizi ya mtandao ya Urusi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Taifa hilo litajibu ikiwa Urusi itaendelea kutekeleza mashambulizi ya kimtandao dhidi yao.

Akizungumza baada ya mkutano wake wa kwanza na Vladimir Putin, Biden amesema ameweka wazi kuwa Urusi inatakiwa kuheshimu Sheria au kukabiliana na matokeo.

Amesema anataka kurejesha uhusiano wa Marekani na Urusi baada ya Utawala wa Donald Trump, akisema haamini Rais Putin anataka vita baridi mpya.
=====

The US will retaliate if Russia continues to carry out malicious cyber-attacks against American targets, Joe Biden said on Wednesday, after holding “good and positive” talks in Geneva with Russia’s president, Vladimir Putin.

Speaking after their first face-to-face summit, Biden said he had made clear the Kremlin had to “abide by the rules of the road” or face unspecified consequences. Putin was aware the US possessed “unrivalled” cyber capacities, Biden stressed.

After three hours of talks, Biden said he wanted to reestablish US-Russian relations on a predictable and pragmatic footing, after the chaos and embarrassment of the Trump era. He did not believe Putin wanted a new cold war, but admitted he did not know if his Russian counterpart would change his behaviour.

The US president added: “It’s about self-interest and the verification of self-interest. Or, as the old expression goes, the proof of the pudding is in the eating”.

The summit held at a picturesque 18th-century mansion overlooking Lake Geneva ended on an optimistic note, with both leaders cautiously praising the other. Biden said their discussions had been “good”, without “strident action” or a “hyperbolic atmosphere”.

Speaking in his solo press conference, Putin said the discussions were conducted without “hostility”. “Quite the contrary,” he said. He described Biden as a balanced and experienced person who “spoke the same language”, and who had talked fondly about his family and mother.

Putin added: “It showed an understanding of his moral values. That’s all quite attractive. It doesn’t mean we looked into each other’s eyes or souls. We have to represent our countries. The relationship is a pragmatic one.”

The summit – carried out amid low expectations – got results. Both sides agreed that their ambassadors would return to their posts in Moscow and Washington, at a date to be fixed.

The Kremlin recalled its envoy to the US after Biden described Putin in a TV interview as a “killer”. His US counterpart, John Sullivan, flew home in April. Their return represents modest progress in relations, following a long and bitter period of acrimony.

Source: The Guardian
 
It seems kikao Chao Cha Jana hawakufikia muafaka Mambo mengi. Hivyo watafanya Tena another high level meeting.

Pili kutokufanya press pamoja ni kuonyesha kutokukubaliana Mambo mengi lakini pia kutokuaminiana hata chembe hivyo kutaka kila team iandae press yake yenyewe.

Tutaona soon sanctions zikifutwa au kuongezewa.
 
US wakidukuliwa wanalialia lkn wakidukua wao wanasema ni kwa usalama wa us hawa jamaa ni ndumilakuwili
 
Joe bwanaa. Anaitisha Urusi Kama vile anaitishia shelisheli ..
Joe tafadhali tambua Russia Ni MTU mzima mwenzako
 
Hawa marais wa marekani wananichekeshaga sana ikija suala la kudeal na mr putin,,
Putin ni chuma kweli kweli,wanapoteza mda kutoa vitisho..
 
Hawa marais wa marekani wananichekeshaga sana ikija suala la kudeal na mr putin,,
Putin ni chuma kweli kweli,wanapoteza mda kutoa vitisho..
Marekani anajua bado ananguvu alizokuwa nazo miaka 20 iliyopota kiala mtu anamkimbiza ukimwekea sunction mwezako anakuacha hapo wanatafutwa njaia nyingine hamumuoni machina kamuacha hapo na android yake pamoja na ISS yake ,
 
Back
Top Bottom