urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu wa FSB wa Urusi asema Marekani, Uingereza, Ukraine ndizo zilizohusika na shambulio la Moscow

    Wanaukumbi. Mkuu wa Huduma ya Usalama ya Shirikisho la Urusi alisema leo, "Marekani, Uingereza, na Ukraine, ndizo zilizohusika na shambulio la ukumbi wa tamasha la Moscow". Hayo ni madai mazito ... yenye athari za ulimwengu ...
  2. JamiiForums Tanzania (FSB) Usalama wa taifa Urusi waanza kamata kamata ya makundi ya kiislamu

    Hatimaye Urusi imeanza kuongea lugha moja na dunia, hawa watu sio wa kucheka nao, unacheka nao wanakulipua, wanafundishwa chuki tangia utotoni mpaka wanakua watu wazima unafikiri wewe utawabadilisha leo? Nchi yote imetaharuki, hamna pita pita za wanaume waliovaa mikanzu...
  3. JamiiForums Tanzania Uingereza haina uwezo wa kupigana na Urusi hata kwa miezi 2

    Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani. Ukweli huo umekuja baada ya Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo,Grant Shapps kushindwa kupata fungu la...
  4. JamiiForums Tanzania Houth waionya Saudi Arabia pindi ikitoa ushirikiano kwa maadui zake.Waziambia Urusi na China wasiwe na hofu kupita red sea.

    Kiongozi mkuu wa kundi la Houth linalopambana na mataifa matatu yanayoiunga mkono Israel kuendeleza vita Gaza,ameionya Saudi Arabia isije ikafanya kosa la kutoa ardhi yake kufanikisha kushambuliwa kwa Yemen. Onyo hilo limetolewa na Mohammed Ali al-Houthi kupitia mahojiano na kitua cha...
  5. JamiiForums Tanzania Mimi naamini Ukraine na Marekani wapo juu ya huu mpango wa ugaidi nchini Urusi!!

    Kutokana na Uharaka wakujibu Zelensky anahusika moja kwa moja,pia mipango iliyoanzishwa na marekani mapema mwezi huu kuwa kunaweza kutokea shambulizi la kigaidi basi hizo zilikuwa ni propaganda zilizotengenezwa kuiaminisha jamii kuwa ikitokea wasema hata marekani alisha sema! Sasa wakasahu kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini BBC swahili inahimiza Islamic State wamehusika Urusi wakati Urusi inasema Ukraine ndio wahusika?

    Kwanini BBC Swahili inahimiza Islamic State wamehusika shambulio la Urusi wakati serikali ya Urusi inasema Ukraine ndio wahusika? Warusi wanahimiza Ukraine ndio wahusiks lkn BBC swahili hawataki kuripoti hivyo. Kwanini BBC hataki ripoti badala yake wanayo yao mfukoni?
  7. JamiiForums Tanzania Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

    Kufuatia shambulia kubwa kwenye ukumbi wa starehe jijini Moscow ambapo kundi la ISIS lilijitaja kupitia vyombo vya magharibi kuwa ndilo lililohusika.Urusi imeonekana kutoshawishika na uozo wa taarifa hizo. Watu kadhaa walikamatwa mara tu baada ya shambulio hilo kutokea ambapo watu zaidi ya 130...
  8. JamiiForums Tanzania Ukraine wapiga meli mbili za kijeshi za Urusi

    Aise Urusi wana shida, huku wanapigwa na magaidi wa Kiislamu, kule wanapigwa na Ukraine..... Kunao mnasema hao magaidi walitumwa na Ukraine, haya sasa Ukraine watakua waneongeza pigo lingine, Urusi ashikwe hadi wapi ndio afanye kweli, huyu ndiye supapawa mlitegemea awaokoe kutoka kwa Marekani...
  9. JamiiForums Tanzania Makombora ya Urusi yaingia Poland safarini kuelekea Ukraine

    Russia imerusha makombora kuelekea Ukraine yaliyopitia ndani ya Anga la Poland masaa machache yaliyopita na kusababisha Poland kurusha ndege zake F 16 lakini zilisha chelewa na kusababisha mzozo juu ya Air defense zao zilizokua zikikoroma kwenye usingizi mzito Russian missiles are flying...
  10. JamiiForums Tanzania Wiki mbili zilizopota Marekani iliwaonya raia wake waliopo Urusi kuepuka sehemu zenye misongamano ya watu!

    Na yakatimia kweli! Intelligence ya Marekani ni habari ingine kabisa. But that doesn’t mean it’s foolproof https://youtu.be/M665-CETLH4?si=X_wFcE6FcXOZJAI6 Hii hapa habari kutoka New York Post, ya tarehe 8 mwezi huu...
  11. JamiiForums Tanzania Shambulio la Kigaidi Urusi vifo vyafikia 93

    Idadi ya Watu waliouawa kwenye shambulizi katika eneo la Crocus City Hall Nchini Urusi imefikia 93 huku majeruhi wakiwa ni zaidi ya 140. Shambulizi hilo la kigaidi ambalo Kikundi cha Kigaidi cha ISIS kimedai kuhusika nalo, limetokea usiku wa kuamkia leo ambapo Vijana walioficha sura zao...
  12. JamiiForums Tanzania Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

    Habari za hivi punde no kwamba, Shirika la habar la Serikali ya urusi RUSSIA TODAY (RT) limeripoti kwamba magaid hao wamekamtwa mkoani BRYANSKI walipokua katika juhudi za kutoroka kupitia mpaka wa Ukraine na wamebainika kua na mawasiliano na wenzao walioko Ukraine. Pia ripoti kutoka shirika la...
  13. JamiiForums Tanzania Vifo vyafikia 80 huku ISIS waki-claim kufanya ugaidi huo Urusi.

    Nafikiri sasa Russia watajionea wenyewe chungu ya hawa radicals na caliphates ambao wamekuwa wakiwa-support kiaina. Wengine wana sema huo ni mpango wa CIA. Wengine wana sema ni mchongo wa Ukraine. Ila all in all, Rest in Peace kwa wahanga wote wa ugaidi wa kipumbavu kwa njia ya udangangifu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

    Wametoa taarifa kwenye mtandao wa Telegram kwamba wao ndio walihusika........ Putin alikua ameanza kujenga uhusiano na magaidi ya hii dini, hakujua nyoka haachi asili yake ISIS claims responsibility for attack in busy Moscow-area concert venue that left at least 40 dead ISIS has claimed...
  15. JamiiForums Tanzania Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130

    Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema. Moto mkubwa uliteketeza paa la jengo hilo na video ya kusisimua inaonyesha watu waliokuwa kwenye tamasha wakipata hifadhi huku milio ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Marekani, Irani na Urusi wafanya mazoezi ya pamoja ya majeshi ya baharini

    Sisi mashabiki tunadhani wenzetu wanawaza kupigana tu, kumbe sometimes wanakaa pamoja na kufanya vitu pamoja. Mwezi february mwaka huu majeshi ya marekani, urusi na Iran yalifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya hindi. Mazoezi hayo yalikuwa hosted na India. Unaweza kupata taarifa hizo...
  17. JamiiForums Tanzania Urusi yaua wafuasi wa Dola ya Kiislamu (IS)

    Russian authorities on Sunday said they had killed six suspected Islamic State group fighters in the southern Muslim-majority Caucasus republic of Ingushetia. Special forces from the FSB security agency cornered the six people in a building in the town of Karabulak and "neutralized" them in an...
  18. JamiiForums Tanzania Urusi ilipozuia nafaka kelele zilikuwa kubwa.Israel imezuia vyakula vyote na maji wanaolia ni watu wa Gaza peke yao

    Unafiki wa dunia umefikia kiwango cha juu kiasi kwamba ni wachache sana wanaoumia wenzao wanapopata shida. Urusi ilipotishia kuzuia nafaka zisitoke Ukraine Ulaya nzima walipiga makelele wakiilaani Urusi kutumia chakula kama silaha ya vita.Urusi ikasikia na wakaachia meli ziondoke na nafaka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yaikataza isiwape silaha Urusi lakini yeye anaipa Ukraine na Israel

    Ukiskia duniani kuna maajabu ndio haya. Marekani anapiga kura ya turufu UNO dhidi ya Ukrain au Palestina akipiga China au Russia America anakasirika Anasambaza silaha akisambza mwengine kosa. Haya maajabu ya mwaka. Yanatakiwa yawe ktk vitabu vya maajabu ya dunia
  20. JamiiForums Tanzania Nchimbi: Uhusiano wa Tanzania na Urusi kuboreshwa kunufaisha pande zote

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa CCM, chini ya Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kudumisha uhusiano na urafiki wa muda mrefu kati ya Tanzania na Urusi, ukilenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…