Uingereza haina uwezo wa kupigana na Urusi hata kwa miezi 2

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,913
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani.

Ukweli huo umekuja baada ya Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo,Grant Shapps kushindwa kupata fungu la nyongeza kwa ajili ya bajeti ya wizara yake.

Baada ya kikwazo hicho cha fedha ndipo naibu kamanda mkuu wa majeshi,Sir Rob Magowan akasema mbele ya bunge kuwa kwa hali ilivyo basi nchi yake haina uwezo wa kupigana na Urusi kwa kurushiana marisasi mfululuzo hata kwa miezi miwili.

Sir Magowan akamalizia kwa kusema kwa sasa hawana silaha za kutosha kwenye hazina zao. Akawauliza wabunge kwani si kweli? ........that’s true, isn’t it?”

UK military ‘couldn’t fight Russia for longer than two months’

Shekhe! Si umefunga lakini?

Mbona unaanza kuandika kitu cha uwongo dhahiri?

Urus mwenyewe hawezi kuingiza pua kwa Mwingereza kijinga kama alivyowafanyia Ukraine
Wewe ambaye hufungi haijakusaidia kitu kula kula ovyo.Umeshindwa kusoma na kuona kuwa sijaleta uwongo wowote.
 
Imekuwaje hawana silaha lakini wameazisha viwanda Ukraine utengenezaji silaha ,kaka angu PUTIN awe makini
 
Opinion over fact
Uingereza ilifanikiwa kutawala nchi nyingi duniani sababu nchi nyingi zilikuwa ni dhaifu sana na yeye alikuwa janjajanja tu. Leo hii nchi nyingi duniani zina uwezo mkubwa hasa wa kijeshi. Ninadhani hata Iran inaweza kumpiga Uingereza, ila Uingereza isimame yenyewe bila backup ya Marekani.
 
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani.

Ukweli huo umekuja baada ya Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo,Grant Shapps kushindwa kupata fungu la nyongeza kwa ajili ya bajeti ya wizara yake.

Baada ya kikwazo hicho cha fedha ndipo naibu kamanda mkuu wa majeshi,Sir Rob Magowan akasema mbele ya bunge kuwa kwa hali ilivyo basi nchi yake haina uwezo wa kupigana na Urusi kwa kurushiana marisasi mfululuzo hata kwa miezi miwili.

Sir Magowan akamalizia kwa kusema kwa sasa hawana silaha za kutosha kwenye hazina zao. Akawauliza wabunge kwani si kweli? ........that’s true, isn’t it?”

UK military ‘couldn’t fight Russia for longer than two months’

Urusi hawezi pigana hata na sudani ya kusini. Ni mbwembwe tuuu. Anatumia mikwaraa mingi. Ka ukrain tuu kanakolingana na mkoa wa pwani, kako kanamsigina na hatotoboa, halafu eti anataka kujipima ubavu na uingerezaa?? Au anatafuta lawamaa
 
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani.

Ukweli huo umekuja baada ya Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo,Grant Shapps kushindwa kupata fungu la nyongeza kwa ajili ya bajeti ya wizara yake.

Baada ya kikwazo hicho cha fedha ndipo naibu kamanda mkuu wa majeshi,Sir Rob Magowan akasema mbele ya bunge kuwa kwa hali ilivyo basi nchi yake haina uwezo wa kupigana na Urusi kwa kurushiana marisasi mfululuzo hata kwa miezi miwili.

Sir Magowan akamalizia kwa kusema kwa sasa hawana silaha za kutosha kwenye hazina zao. Akawauliza wabunge kwani si kweli? ........that’s true, isn’t it?”

UK military ‘couldn’t fight Russia for longer than two months’

Weeh., Kama Ukraine inabidi Russia atumie drone za Shaheed kutoka Iran itakuwa Uengereza? ukimgusa mzungu baba umegusa mzinga wa nyuki ajaribu putin aone vumbi kule Russia
 
Back
Top Bottom