Kwanini BBC swahili inahimiza Islamic State wamehusika Urusi wakati Urusi inasema Ukraine ndio wahusika?

Putin hajasema Ukraine wamehusika, amesema walikuwa wanakimbilia mpakani mwa Ukraine na kuna watu huko Ukraine walikuwa wanawasiliana nao, hii ni taarifa tata ili kuwakanganya watu na kuficha uzembe wake kwa kudharau onyo la US.
 
Kwanini bbc swahili inahimiza islamic state wamehusika shambulio la Urusi? wakati serekali ya Urusi inasema Ukrain ndio wahusika? Warusi wanahimiza ukrain ndio wahusiks lkn bbc swahili hawataki kutoa kuripoti hivyi
Kwanini bbc hataki ripoti badala yake wanayo yao mfukoni?

Propaganda za HAMASI zimewashinda sasa mmehamia UKRAINE.
 
Russian President Vladimir Putin has delivered a public address, calling the attack a barbaric act of terrorism and vowing to punish the perpetrators. He also accused Ukraine of preparing a "window" to help the suspects escape. Kyiv has staunchly denied any role in the attack
 
Putin hajasema Ukraine wamehusika, amesema walikuwa wanakimbilia mpakani mwa Ukraine na kuna watu huko Ukraine walikuwa wanawasiliana nao, hii ni taarifa tata ili kuwakanganya watu na kuficha uzembe wake kwa kudharau onyo la US.
Russian President Vladimir Putin has delivered a public address, calling the attack a barbaric act of terrorism and vowing to punish the perpetrators. He also accused Ukraine of preparing a "window" to help the suspects escape. Kyiv has staunchly denied any role in the attack
 
Russian President Vladimir Putin has delivered a public address, calling the attack a barbaric act of terrorism and vowing to punish the perpetrators. He also accused Ukraine of preparing a "window" to help the suspects escape. Kyiv has staunchly denied any role in the attack
Huo uchunguzi Putin aliufanya kwa muda gani? Hata kama ingekuwa kweli ndio hivyo, kuwasadia hao watu kutoroka sio lazima na wala haiwezi kumaanisha wao ndio waliwatuma, inawezekana Ukraine akawa anafuata tu ile kanuni ya "adui wa adui yako ni rafiki yako" hivyo wakaamua kuwasaidia.
 
Hao bbc wamefanya lini
 
Putin hajasema Ukraine wamehusika, amesema walikuwa wanakimbilia mpakani mwa Ukraine na kuna watu huko Ukraine walikuwa wanawasiliana nao, hii ni taarifa tata ili kuwakanganya watu na kuficha uzembe wake kwa kudharau onyo la US.
Kama watu waliokuwa wanafanya naoawasiliano wako Ukraine ni wazi watu wa usalama wa Ukraine walitambua uwepo wao
 
Washambuliaji waliokamatwa hawajataja km ni wanachama wa isis wanasema tu wamelipwa wafanye shambulio
isis ndo wamekir mbona mnajitia uchiz , ukraine mnaiwaza sn , kama ukraine anaweza fanya hivyo kwann hawakufanya hivyo tangu zamani
 
Putin ye aendelee kugonga palepale kwenye ugoko wa ukraine watajisema tu.
 
isis ndo wamekir mbona mnajitia uchiz , ukraine mnaiwaza sn , kama ukraine anaweza fanya hivyo kwann hawakufanya hivyo tangu zamani
Hiki kikombe hakiepukiki kwa Ukraine
Screenshot_20240325-153046_RT News.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom