Ndio tumekubali tutakula kwa urefu wa kamba zetu,lakini unajua Kuna mbuzi wanakamba moja tu..?
Wewe unakamba nyingi na nyengine wawezakuwa umezisahau ila zipo!.. sikufundishi ila sijui umewawaza wenye kamba moja..?
Kula,kunywa,Kodi,usafiri na gharama zao zote za maisha hutegemea kamba hiyo...
Taarifa zinazojiri mtandaoni sasa ni tuhuma za ubadhirifu uliofanywa na Mweyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke bibie Almishi Hassal, ambaye anatuhumiwa kuunda vikundi hewa vya wanawake na vijana kisha kufanikisha uchotwaji wa zaidi ya Tshs milioni 300 za Halmashauri ya Temeke zilizopaswa kukopeshwa...
Nakukumbusha mheshimiwa rais mliidhinisha pesa za upanuzi wa viwanja kadhaa vya ndege hapa nchini na cha Mkoa wa Mara hapo musoma kikiwa ni kimojawapo.
PICHA: Sehemu ya mji wa musoma unavyoonekana kutokea juu.
Taarifa tulizo nazo pesa ilitolewa ili kufidia wananchi waliopo kwenye eneo la...
Kuna magari almaarufu kama daladala , haya magari yakisimamishwa na Polisi hasa hawa wa usalama barabarani dereva akisimama tu JAMBO LA AJABU SANA KONDA HUSHUKA KAMA NINJA NA KUKIMBILIA KWA POLISI NA MARA HIYO HIYO POLISI hukenua meno na kuruhusu gari iondoke.
Nachojiuliza Mkuu wa Polisi haoni...
Serikali imeweka mafao makubwa serikalini, bungeni na mahakamani kwa viongozi wakubwa inakuwaje pamoja na kuwa wana uhakika wa kupaa mapato makubwa sasa na maisha yao yote bado wanakuwa vibaka wa kula kwa urefu wa kamba zao?
Mwenyezi Mungu atusaidie kwenye hili wanataka nini hasa?
Majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kikao baina yake na Mawaziri na Manaibu wa Serikali ya awamu ya Sita aliowateua siku chache zilizopita,
Katika hotuba yake miongoni mwakauli zilizozua utata katika kikao kile ni pale Rais Samia Suluhu Hassan alipowaambia viongozi hao kuwa, "...
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!
Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton...
Rais Samia, jana akiongea na mawaziri aliwaambia wajipimie ila wasivimbiwe tena mbele ya TV ya umma. Nilipigwa na butwaa ila nikahisi mambo yafuatayo.
1. Rais hajui kwamba mali anazowaambia mawaziri wajipimie ni za wananchi wanao msikiliza na kwamba wananchi wanataka alinde mali zetu kama kiapo...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake.
Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi.
Rais amesema...
Kuna binti nlimwonesha dalili ya kumtaka Kimapenzi, ila sikumtongoza direct, kaishia kunitangaza kwa rafiki zake kuwa namtaka, Hajawahi kunikosea chochote na mm sijawahi kumkosea chochote, nashangaa sahiv tukikutana anabadilisha njia tusionane, au saa ingine akiniona anakimbia kabisa..Yani...
Kuna mabadiliko makubwa ya urefu wa watu duniani leo ukilinganisha na enzi za mababu zetu, kwa sasa wastani wa urefu wa watu umeongezeka kulinganisha na miaka 1,00 iliyopita na moja ya mambo yaliyochangia hilo ni kuboreka kwa maisha ya watu katika maeneo mengi duniani.
Watu leo ni warefu zaidi...
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia ametoa Sh700 milioni kwa ajili ya ujenzi wa skimu ya Usense na kuboresha uzalishaji wa zao la mpunga linalolimwa katika skimu hiyo iliyopo Kata ya Uruwira Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi.
Naibu Waziri wa...
DAWASA Mbagala Charambe imekuwa ikisambaza maji yasiyofaa kwa matumizi, hali hii imekuwa kwa miaka sasa kiasi cha kusababisha wakazi kuchimba visima vyao, tofauti kubwa ni visima vya DAWASA kuwa na maji yenye chumvi nyingi sana kama ya baharini tofauti na ya watu binafsi
Kuacha kutumia maji ya...
ZAIDI YA BILIONI 200 KUTUMIKA KUTANDAZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WENYE UREFU WA 4244KM KWA KUTUMIA MIUNDOMBINU YA TANESCO
"Tunamshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha zaidi ya bilioni 200 kwa lengo la kutandaza Mkongo wa taifa wenye urefu wa 4244Km kwa kushirikiana...
Kwanza natanguliza salam ya Eid Mubarak kwa ndugu zetu waislam wa Tanzania na duniani kwa ujumla. Narudi sasa kwenye mada husika. Ndugu zangu wakati mama wa nchi anakabidhiwa nchi na waliopewa mamlaka ya kumkabidhi nchi kutokana na muongozo wa katiba, aliwahi kutoa onyo mapema ili baadae...
Wakuu Ukisikia Mungu Kaumba Kwa Mfano Na Urefu Sahihi Hapa Ndipo Kwenyewe Wakuu. Hii Mbegu Itakuwa Ya Nchi Gani? Maana Sio Kwa Urefu Huu [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Habari wana JF,
Kuna vitu huwa tunaviona vya kawaida katika jamii lakin kumbe vinaathiri maisha ya baadhi ya watu. Nina mdogo wangu ana umri wa miaka 19 yeye amekuwa akiathiriwa na suala la ufupi. Yani kiufupi anapoteza pesa zake nyingi kutafuta dawa ya kuongeza urefu, mara leo kaagiza kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.